Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tulia utaelewa hii ni awamu ya Sita, awamu ya Wananchi na sio viongoziWamewashika wangapi na wangapi wamewajibishwa ? Bila kufanya hivyo hizi ni Siasa tu...
Huyu mwamba anakuja vizuri Sana kwenye siasa,Shaka : TFS mkimaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa hili itatoka wapi? | CCM haitakubali watanzania walioko maeneo ya hifadhi kuishi Kama wakimbizi kwenye nchi yao,
|Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayowahusu wakala wa misitu Tanzania (TFS) kupiga wananchi wetu hadi kuwavunja miguu kwa kisingizo cha kuwakamata na mkaa au kuwabambikizia kesi zisizo na msingi wowote wa kisheria,Kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho, Serikali ya Mama Samia imejipambanua tusimamie sheria bila kuleta mateso|manyanyaso na hata udhalilishaji uliopitiliza|
|Chama Cha Mapinduzi kitamuelekeza Waziri Wa Maliasili na Utali Dk Ndumbaro juu ya kadhia hii, Vijana wake wakishawamaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa hili itatoka wapi? Nyakati zote Rais Samia amekuwa akisimama na Wananchi wake kamwe hatuwezi kufumbia macho uchonganishi huu kwa kisingizio eti kuvunja sheria|
|CCM haitakubali kuona wananchi kwenye maeneo ya hifadhi ya misitu wakiishi kama wakimbizi katika kwenye nchi yao. TFS acheni uonevu na unyanyasaji wa wananchi wanaopakana na misitu hususan hapa Jimbo la Ushetu| alisema Shaka
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Kahama Kampeni CCM.
View attachment 1968067
View attachment 1968068
View attachment 1968070
View attachment 1968071
View attachment 1968072
View attachment 1968074
Degree ya unafiki. LaanaturahShaka : TFS mkimaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa hili itatoka wapi? | CCM haitakubali watanzania walioko maeneo ya hifadhi kuishi Kama wakimbizi kwenye nchi yao,
|Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayowahusu wakala wa misitu Tanzania (TFS) kupiga wananchi wetu hadi kuwavunja miguu kwa kisingizo cha kuwakamata na mkaa au kuwabambikizia kesi zisizo na msingi wowote wa kisheria,Kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho, Serikali ya Mama Samia imejipambanua tusimamie sheria bila kuleta mateso|manyanyaso na hata udhalilishaji uliopitiliza|
|Chama Cha Mapinduzi kitamuelekeza Waziri Wa Maliasili na Utali Dk Ndumbaro juu ya kadhia hii, Vijana wake wakishawamaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa hili itatoka wapi? Nyakati zote Rais Samia amekuwa akisimama na Wananchi wake kamwe hatuwezi kufumbia macho uchonganishi huu kwa kisingizio eti kuvunja sheria|
|CCM haitakubali kuona wananchi kwenye maeneo ya hifadhi ya misitu wakiishi kama wakimbizi katika kwenye nchi yao. TFS acheni uonevu na unyanyasaji wa wananchi wanaopakana na misitu hususan hapa Jimbo la Ushetu| alisema Shaka
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Kahama Kampeni CCM.
View attachment 1968067
View attachment 1968068
View attachment 1968070
View attachment 1968071
View attachment 1968072
View attachment 1968074
CCM na CCM mnagombania nini enyi wanafikiTFS tunawakumbusha.....
Moja ya MAJUKUMU ya AFISA WANYAMAPORI ni:-
Kufuatilia utekelezaji wa miongozo mbalimbali ya uhifadhi wa wanyamapori.
Hapo juu haliko KUVUNJA RAIA MIGUU......
Hapo juu haliko KUUA RAIA WALIPA KODI NA MISHAHARA YENU.......
Kongole kwake komredi El Comandante Shaka Hamdu Shaka👏👊😍
#SiempreJMT
#NchiKwanza
Mbona Sabaya nae ni CCM,CCM na CCM mnagombania nini enyi wanafiki
Relax mkuu....CCM na CCM mnagombania nini enyi wanafiki
Ndio tunashangaa ccm vs ccm ngoja nichukue jembe nikalime hayatuhusuMbona Sabaya nae ni CCM,
Kwani ccm si ndio Dola na dola ndio ccm.Relax mkuu....
Basi huna hoja yenye mantiki....TFS ni lini ikawa CCM?!!! Khaaa 😲😲
Kweli UPINGAJI huweza kuwa ni kilema cha maumbile......🤣
Vivaaa👊💪😍VIVA SAMIA VIVA
Bado hujarelax tu mkuu wangu?!!! 🤣Kwani ccm si ndio Dola na dola ndio ccm.
Acheni unafiki kujilizaliza watanzania sii wajinga wanajua unafiki mnaofanya
Chama kilipewa dhamana na polisi jeshi na usalama sio wananchi. Ndio maana tunawashangaa hiyo kuhilizaliza ya kinafikiBado hujarelax tu mkuu wangu?!!! 🤣
CCM ni chama kilichopewa dhamana ya kuunda SERIKALI....CCM si serikali....ugumu wa kuelewa hilo unatokea wapi kaka?!! 🤣🤣
Naongelea CCM....Chama kilipewa dhamana na polisi jeshi na usalama sio wananchi. Ndio maana tunawashangaa hiyo kuhilizaliza ya kinafiki
Maneno bila matendo ni kutwanga maji kwenye kinu.
Hao wa misitu ni jeuri sana. Bila kuwachukulia hatua wanakuona kituko tu.
Hao wa misitu ni jeuri sana. Bila kuwachukulia hatua wanakuona kituko tu.