Shaka: TFS mkimaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa itatoka wapi?

Shaka: TFS mkimaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa itatoka wapi?

Ni lazima viongozi wa serikali wajue kuwa tunapozitafuta kura za watanzania tunapata tabu sana....mno kuwashawishi watanzania wenzetu.....mwishowe hutupa DHIMA....hatuwezi kuwasaliti kile WALICHOTUAMINI.....

#SiempreCCM
#NchiKwanza
Nimepende namna jamaa alivyoserious aise
 
Shaka anasiasa safi sana huyu jamaa,
Lazima tuwe na viongozi watakao simama na wananchi wakati wote,
Shaka anahuruma sana ndio maana anaweza kusimama upande wa wananchi
Magemu ni wanyama kabisa hawa watu,
Shaka fukuza hao watu
Wewe kwa Nini ukakate miti na kua wanyama pori huku una ngo'ombe wako ama mifugo mwingine kwako? Tuache siasa tuheshimu Sheria ili kulinda urithi wa vizazi vijavyo. Hatuwezi endelea kuwa waharibifu wa mazingira harafu tusifiane, Hilo hapana. Nafikiri ulimwengu kwa Sasa unakabili athari nzito zitokanazo na uharibifu wa mazingira unaotokana na kauli za wanasiasa uchwara Kama huyu. Wananchi tunzeni mazingira yatutunze. Ukukutwa unawinda porini huku umeacha kuku ama mbuzi ama ng'ombe zizini kwako, wewe Ni haki ya pori.
 
Mimi nashangaa sana.Sasa hivi wanyama (Faru/Tembo) wanathaminiwa kuliko binadamu,sijui tunaelekea wapi?gharama ya Matunzo ya Faru Moja hifadhini yanaweza lisha Kijiji kizima!
 
Kwani ndg.Shaka hayathamini mazingira hayo?!!!

Kwani sisi tunaowakemea TFS kuhusu baadhi ya "kadhia hizo" hatuyathamini mazingira?!!!

Unayathamini wewe peke yako ?!!

Ujumbe umefikishwa.....kutema ama kumeza ni kwao.....

Ni kweli CCM ni chama Cha "siasa".....

Na ni kweli wanaCCM ni wanasiasa.....

Na CCM ndicho kinachounda serikali.....

Tuna wajibu wa kuwasemea wapiga kura wetu.....tafsiri utakavyo na uonavyo.......

#SiempreJMT
#SiempreCCM
#NchiKwanza
 
Mimi nashangaa sana.Sasa hivi wanyama (Faru/Tembo) wanathaminiwa kuliko binadamu,sijui tunaelekea wapi?gharama ya Matunzo ya Faru Moja hifadhini yanaweza lisha Kijiji kizima!
Labda kwa kuwa Faru wanatoweka kwa kasi sana hapa nchini
 
Ccm wanatumia nguvu kubwa sana kwa uchaguzi wanaoshindana wenyewe kwa wenyewe. Kwa nn lakini?
 
Tembo nao wanatoka hifadhini.Wanaua watu na kuharibu mazao Yao.Kama wamezidi kwanini wasipunguzwe na kufanywa kitoweo?
Hao tembo wanaotoka hifadhini na kuvamia makazi ya wananchi bila shaka wanastahili kugeuzwa kitoweo.
 
Watu hawashtuki tu Serikali ya Rais Samia niya "UTU" sana, Lazima waache mambo ya kuwabambika watanzania kesi na kuwavunja miguu halikubaliki kabisa,

Shaka amekuwa kiongozi mwenye utu sana nafsini mwake kwenye hili tunamuunga mkono 100%,Tusikubali watu wamchonganishe Rais na wananchi wake,
Comment of the day
 
Watu wa aina ya shaka ndio ambao hawawezi kabisa kututoa hapa tulipo!
Hawawezi kuja la solutuons ya matatizo badala ya kuropoka na kulalama!
 
Back
Top Bottom