Shaka: TFS mkimaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa itatoka wapi?

Kwani CCM si ndiyo inatawala? sasa anajilalamikiaje mwenyewe? au CCM haina control kwamba kila chombo cha serikale yake kinajifanyia kinavyotaka? Hawa watu waache cheap politics za danganya toto
Duuuh hivi somo la CIVICS lilikupita kule shuleni?!!! 🀣
 
Kura yangu haitakwendamo kwa Cherehani ita kwendaga Kwa ToroliπŸ˜†πŸ˜†
 
Kuna mtu aliposhika uongozi watu walifurah Sana, alikemea Sana dhuruma n.k, lakin sasa mpaka leo tunajiuliza huyu shetan ametokea wapi kumuingia mpaka sasa hv watu wengi wanajuta...

So huyo Shaka, ni mtu mwema sana ata mm binafs namkubali,kwanza ana Hekima ya maneno. So ajilinde Sana na kuulinda Sana moyo wake usipatwe na mapepo Kama mtu yule...
 
Shana =Samia =Daniel
 
Hao Tfs wamekuwa kama askari wa wanyama pori Kazi yao kukimbizana na watu wa mikaa.

Bora umewasemea wasio na sauti kiongozi
 
Shaka Safi Sana Mkuu,
Lazima kusimama na wanachi ndio uzalendo
Fukuza hao mbwa wanaomuharibia rais wetu

Waache kuitia doa serikali hii inayomcha Mungu fukuza kabisa hao hata kama ni waziri fukuza kabisa
Bado wale jamaa wa wanyama pori wanatesa Sana watu..

Wao Tfs kama wameshindwa kuzuia uharibifu wa misitu huko misituni mkaa ukiingia mjini wasiwabughudhi watu .
 
Shaka anasiasa safi sana huyu jamaa,
Lazima tuwe na viongozi watakao simama na wananchi wakati wote,
Shaka anahuruma sana ndio maana anaweza kusimama upande wa wananchi
Magemu ni wanyama kabisa hawa watu,
Shaka fukuza hao watu
Kumbe shaka ana uwezo wa kufukuza waajiriwa wa serikali.
 
Amesepa na mkuu wa mkoa pale Shinyanga
Ni lazima viongozi wa serikali wajue kuwa tunapozitafuta kura za watanzania tunapata tabu sana....mno kuwashawishi watanzania wenzetu.....mwishowe hutupa DHIMA....hatuwezi kuwasaliti kile WALICHOTUAMINI.....

#SiempreCCM
#NchiKwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…