Shaka: TFS mkimaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa itatoka wapi?

Shaka: TFS mkimaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa itatoka wapi?

Kwani CCM si ndiyo inatawala? sasa anajilalamikiaje mwenyewe? au CCM haina control kwamba kila chombo cha serikale yake kinajifanyia kinavyotaka? Hawa watu waache cheap politics za danganya toto

images (26).jpeg
 
Hawa ndio wanasiasa tunaowataka...sie yule mpuuz* anayepost video na kukatika viuno Instagram akijifanya Mwalimu.
Natamtabiria makubwa sana katika siasa za Tz Katibu Mwenezi. Namuona vile kama ana mwanzo wa akina Sita, Msekwa, Mangula au Jakaya ndani ya CCM.
 
Jamaa kanyooka sana,
Awafukuze tu hata kama ni waziri atoke,
Unavunjaje watu miguu?
Mnoo.....😍

Inasikitisha sana Komredi...

Wasipokemea kina Komredi Shaka na sisi basi hayo maovu YATAENDELEA.......
 
Watu hawashtuki tu Serikali ya Rais Samia niya "UTU" sana, Lazima waache mambo ya kuwabambika watanzania kesi na kuwavunja miguu halikubaliki kabisa,

Shaka amekuwa kiongozi mwenye utu sana nafsini mwake kwenye hili tunamuunga mkono 100%,Tusikubali watu wamchonganishe Rais na wananchi wake,
Tuendelee kuwatetea wananchi wetu,

Nikweli Shaka ni kiongozi mzuri na nimwadilifu sana ,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Shaka Safi Sana Mkuu,
Lazima kusimama na wanachi ndio uzalendo
Fukuza hao mbwa wanaomuharibia rais wetu

Waache kuitia doa serikali hii inayomcha Mungu fukuza kabisa hao hata kama ni waziri fukuza kabisa
Hakika mkuu.....lengo lao ni kuichafua tu serikali sikivu ya awamu ya 6.....
 
Shaka usionee huruma mtu fukuza kabisa,
Kwanini watese watu wetu?
Fukuza na anza na waziri wao,
Tunataka serikali inayoheshimu watu wake zama za uonevu zilikufa,

Chapa kazi Shaka fukuza hao wote huko Kahama
😍
 
Shaka anasiasa safi sana huyu jamaa,
Lazima tuwe na viongozi watakao simama na wananchi wakati wote,
Shaka anahuruma sana ndio maana anaweza kusimama upande wa wananchi
Magemu ni wanyama kabisa hawa watu,
Shaka fukuza hao watu
Nikweli Shaka ni mtu mwema sana tuendelee kumwombea sana,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Nikweli Shaka ni mtu mwema sana tuendelee kumwombea sana,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Mwema mno mkuu wangu.....

Mzalendo haswaaa.....

Komredi Shaka Hamdu Shaka ameivishwa vyema ITIKADI YA CHAMA CHETU....hakuokotwa tu huyo.......
 
Shaka fukuza hao pumbafu kabisa,

Wanavunja watu miguu wamewazaa?

Nyie Magemu nawachukia sana kabisa,

CCM safi sana kusimama na wananchi,

Mama Samia hawa wanakuharibia sana kama hujui
Shaka akishasema Waziri kazi kwake,

Tutegemee hawa watu kuondolewa kazini,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Kiongozi wetu KAONGEA.....

Mzalendo Shaka Hamdu Shaka AMENENA......💪

TFS wajue ya kwamba CCM imepewa dhamana kulinda usalama na maslahi ya watanzania.....

Hilo ni AGANO.....

#NchiKwanza

#SiempreCCM
Mkuu nakusalimu kwa jina la JMT,

SHAKA ANAJIMBANUA TUMWOMBEE


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Shaka Safi Sana Mkuu,
Lazima kusimama na wanachi ndio uzalendo
Fukuza hao mbwa wanaomuharibia rais wetu

Waache kuitia doa serikali hii inayomcha Mungu fukuza kabisa hao hata kama ni waziri fukuza kabisa
😍😍😍 Tuendelee kuchapa kazi kwa bidii
 
Na wewe Una Tabia kama za Shaka
Bramo sijaanza kukujua leo mkuu wangu.....

Una maneno machafu.....
Unapenda kuwachafua watu unaokinzana nao kihoja......

Badala ya kusimamia HOJA unaleta VIOJA tu.....

Hebu ionee aibu nafsi yako mkuu.....
 
Back
Top Bottom