Shaka: Tulikotoka ni kuzuri, tuliko ni kuzuri zaidi, tunakokwenda kila mtu atafurahi zaidi ya leo

Kazi inafanyika Tanzania tuache maneno mengi,Ukiangalia kasi ya maendeleo inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan lazima tukubali kuwa hakika kazi inafanyika,
 
Huyu mswahili huwa simuelewi hata anafanya nini zaidi ya kusifia upuuzi
 
Namkubali Sana huyu Mwamba
 
 
Nonsense
 
Shaka ni jembe Sana aise, Kazi inaijua Asante kwa kuimarisha CCM yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…