The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,970
Alihamisha makazi nchi jirani?Vitoto vilivyo zoea urojo havitaki purukushani za uchaguzi 😂😂😂
Japo naunga mkono hoja, ya "ukisusa sie twala...," na siungi mkono hii tabia ya kususa susa.... Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto? na hapa Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM! na Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA is almost dead, due to deadly mistakes! This is your only survival -- do or die. Msirudie kosaHabari za leo wadau.
Chama Cha Mapinduzi kupitia Katibu wake Wa Uenezi komledi Shaka kimesema Vyama vya upinzani viwe huru kabisa Kususia uchaguzi hususani CHADEMA ambao ndio wamekuwa wakisema watasusia chaguzi zozote bila Tume huru na Katiba Mpya.
Shaka amesema wakisusa CCM wao wataendelea kula.
Wanachadema pokeeni dongo Hilo mtaamua kula au kushinda na njaa.👇View attachment 2444592
Nikimuonaga huyu Shaka na yale mambo yake kiasi cha kufikia kuvunja familia za watu leo yupo ngazi za juu sana huko CCM akiwaacha kwa mbali wacha Mungu, watu smart na wenye akili zao huwa inanipa fikara zaidi juu ya fumbo la maisha.Habari za leo wadau.
Chama Cha Mapinduzi kupitia Katibu wake Wa Uenezi komledi Shaka kimesema Vyama vya upinzani viwe huru kabisa Kususia uchaguzi hususani CHADEMA ambao ndio wamekuwa wakisema watasusia chaguzi zozote bila Tume huru na Katiba Mpya.
Shaka amesema wakisusa CCM wao wataendelea kula.
Wanachadema pokeeni dongo Hilo mtaamua kula au kushinda na njaa.👇View attachment 2444592
Jikite kwenye hoja achana na maisha binafsi ya mtu.Nikimuonaga huyu Shaka na yale mambo yake kiasi cha kufikia kuvunja familia za watu leo yupo ngazi za juu sana huko CCM akiwaacha kwa mbali wacha Mungu, watu smart na wenye akili zao huwa inanipa fikara zaidi juu ya fumbo la maisha.
Wataginduaje wakati wanaendelea kuchaguliwa?Siku CCM watapogundua Wapinzani wao sio CHADEMA ni Wananchi, watakuwa wamechelewa sana.
Wanachi gani? Hawa aina yako? HheheeeeSiku CCM watapogundua Wapinzani wao sio CHADEMA ni Wananchi, watakuwa wamechelewa sana.
Mbona ana hoja nzuri tu Tena ya mustakabali wa kizazi Cha Sasa na kijacho? Au nawe ni mmoja wao wa zile tabia za kimombasa?[emoji3][emoji3]Jikite kwenye hoja achana na maisha binafsi ya mtu.
Huyo ndiye mwenyewe mhusika.Mbona ana hoja nzuri tu Tena ya mustakabali wa kizazi Cha Sasa na kijacho? Au nawe ni mmoja wao wa zile tabia za kimombasa?[emoji3][emoji3]
Lakini hao wananchi si ndio wenyewe waliyotaka hiyo katiba mpya sasa inakuaje tena waone katiba mpya ni hitaji la wanasiasa?Ni kweli alichosema huyo jamaa, mbinu ya kususa haiwezi kuwa na nguvu sana kwasababu CCM itawaambia vyama rafiki vyao vya upinzani washiriki, nao watashiriki huku wakisema ulikuwa huru na haki, na wakija waangalizi wa kimataifa nao waseme hivyo, na shughuli ndio iishie hapo.
Bila kufanyika jitihada za ziada, naona haya madai ya Katiba Mpya, na Tume Huru ya uchaguzi yatakuwa endelevu yasiyojulikana lini utakuwa mwisho wake, hivyo kuendelea kuinufaisha CCM.
Naona kuna haja sasa kwa Chadema kuhakikisha wanapeleka somo la umuhimu wa Katiba Mpya kwa makundi mengine ya jamii ikiwemo kilimo, uvuvi, wafanyabiashara na kada nyingine.
Ili hawa wakishapewa somo na kulielewa, nao wageuke walimu, waanze kupaza sauti zao kwa pamoja, kwa kufanya hivyo kwanza itasaidia kuondoa dhana kwamba madai ya Katiba Mpya ni ya Chadema, au ya kisiasa, lakini pia, itayafanya madai ya Katiba Mpya yachukuliwe kwa uzito zaidi, na kuleta impact kubwa zaidi ya ilivyo sasa hivyo kuwa na uwezekano mkubwa wa kufikia malengo kwa wakati.
Lini walionesha Kutaka? Mbona tunawaona Chadema tuu huko front?Lakini hao wananchi si ndio wenyewe waliyotaka hiyo katiba mpya sasa inakuaje tena waone katiba mpya ni hitaji la wanasiasa?
Kinachofanya ionekane Katiba Mpya ni hitaji la kisiasa ni kutokana na mpiga debe mkuu kuwa chama cha siasa, hii ndio sababu inayotumiwa na CCM kuwafunga midomo wapinzani wao kuhusu hayo madai.Lakini hao wananchi si ndio wenyewe waliyotaka hiyo katiba mpya sasa inakuaje tena waone katiba mpya ni hitaji la wanasiasa?
Mchicha mwiba?Nikimuonaga huyu Shaka na yale mambo yake kiasi cha kufikia kuvunja familia za watu leo yupo ngazi za juu sana huko CCM akiwaacha kwa mbali wacha Mungu, watu smart na wenye akili zao huwa inanipa fikara zaidi juu ya fumbo la maisha.
Mchicha mwiba?Nikimuonaga huyu Shaka na yale mambo yake kiasi cha kufikia kuvunja familia za watu leo yupo ngazi za juu sana huko CCM akiwaacha kwa mbali wacha Mungu, watu smart na wenye akili zao huwa inanipa fikara zaidi juu ya fumbo la maisha.
Kwahiyo si kweli kwamba wananchi ndio walitaka katiba mpya? Kwahiyo nini kilitokea?Lini walionesha Kutaka? Mbona tunawaona Chadema tuu huko front?
@Mshana Jr unazeeka vibaya brother, unauliza makande upareni?Mchicha mwiba?