Shaka: Watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania

Kumbe,sasa tutawapiga chini Ili wasake Urais vizuri na wakaoneahe huo umuhimu wao Kwa wananchi sawa mkuu,stay tuned.
 
Kwani uongo? Weka takwimu za ulinganisho kama unabisha.
Mnalinganisha Vichuguu mbele ya MILIMA Hahahaa Kama nilivyoandika awali komenti zenu zimejaa vichekesho tu na wala hakuna la maana lolote lile la kujibu
 
Ridhwan kuukwaa Uwaziri? Huyu mama hana la maana la kutwambia zaidi ya uongo mwingi. Ngoja tusubiri labda kwa mara ya kwanza ataongea la maana.
Hivi uwa anaenda msikitini kweli huyu Miss Royal Tour
 
CCM hamna jipya - mnaitawala Tanzania kwa siasa za ulaghai.

 
Hivi ni lini araonekana Raisi mwenye maono na Falsafa? Mwl. Nyerere, Mkapa na Magufuli wote hao ulikuwa ukiwasikiliza unaona wamebeba Falsafa na maono Fulani. Hebu tusaidie maono na Falsafa yake
Utulivu, upendo na kuponya makovu ya Mwendazake
 
Hivi ni lini araonekana Raisi mwenye maono na Falsafa? Mwl. Nyerere, Mkapa na Magufuli wote hao ulikuwa ukiwasikiliza unaona wamebeba Falsafa na maono Fulani. Hebu tusaidie maono na Falsafa yake
Utulivu, upendo na kuponya makovu ya Mwendazake
 
Naona Mh Mama Samia ana anza kupotoka.
Kipindi cha mwenda zake, Ccm na viongozi wa Serikali walijenga tabia ya kumuabudu mwanadamu mmja kuliko Mungu jadi kufikia mahali pa kumfananisha na Yesu. Sasa taratibu huu ujinga wana anza kuupeleka kwa Mh. Samia. Nishauri bure, Mama Samia wewe ni mtumishi tuu, mamlaka uliyo nayo umepewa na Mungu, usikubali kutukuzwa. Kubali kuheshimiwa. Neno toka Biblia takatifu lina sema Kila ajikwezae ATASHUSHWA. Na kila Ajishushae ATAKWEZA. Wakanye wanao jipendekeza kwako kukufanya mkuu kuliko Mungu. Bwana wa Majeshi aliwaagiza wanadamu alio wapa madaraka kwenda kuongoza na sio kutawala. Usikubali kuwa mtawala. Kawe kiongozi.
 
Ni mambo ya tozo.
 
Alishasema yeye hawezi kuhesabu matofali
 
Tunataka utuwekee Takwimu za miezi 6 ya hao Marais wako na sisi tutakuwekea.
Pengine kipindi Mkapa anaingia madarakani ulikuwa mtoto wa miaka 2 hujashuhudia uongozi wa mzee Mwinyi na Mwalimu Nyerere ni kuwa umewasoma na kusimuliwa halafu unataka nipoteze mda wangu Hahahaa dah.
 
Achana na majinga hayo,Yana chuki na Rais wasasa
 
ni kweli isee aliagiza mifuko ya lailoni iwe mwisho kutumia ndani ya miezi miwili tu ikapotea yoote akaagiza viloba nisivione mtaani vikapotea ingawa kwa sasa vimerudi kwa mgongo wa double kick magufuli alikuwa na sauti ya MAMLAKA..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…