Shaka: Watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania

SHAKA: TUTEGE MASIKIO TAREHE 09 RAIS ANA JAMBO KWA WATANZANIA.

Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka amesema mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 itakua imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 100 kwa namna Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan alivyo na utayari na umakini kwa watanzania.

Pamoja na hayo, Shaka amesema watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania.

#KaziIendelee
#TunaImaniNaSamia
Tutayatega masikio yetu kumsikiliza mwenyekiti wa CCM na Rais wetu KIPENZI🙏

ADUMU CHIFU MKUU HANGAYA
ADUMU MH.RAIS SSH
ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI MH.SSH 💪

#KaziIendelee
#TunaImaniNaMh.RaisSSH
 
SHAKA: TUTEGE MASIKIO TAREHE 09 RAIS ANA JAMBO KWA WATANZANIA.

Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka amesema mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 itakua imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 100 kwa namna Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan alivyo na utayari na umakini kwa watanzania.

Pamoja na hayo, Shaka amesema watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania.

#KaziIendelee
#TunaImaniNaSamia
Wasaka urais kuelekea mwaka 2025 kuondolewa rasmi ndani ya Baraza la Mawaziri siyo!? Uamuzi huu unapaswa kuangaliwa kwa uangalifu mkubwa sana.

Uwepo wa wateule wa JPM ndani ya baraza bado una umuhimu mkubwa sana kwa utengamano wa CCM ya sasa. Ili kuthibiti pilikaplika za hapa na pale, ni vyema wakazidi kuwepo.

Natambua kauli ya "niguse ninuke" iliyotolewa kule jimbo la kusini wakati wa ziara ya PM inafungua "codes" fulani muhimu ili kuhalalisha mabadiliko tarajiwa. Hamasa inafanyika ili kuondoa makapi ya 'champion" wa Chato.

Ila tahadhari ichukuliwe kama washika hatamu wameazimia kumundoa mtu huyu na huyu katika wizara hizo nyeti kwa muda huu. Ni vyema wavute sunira, ili kwa "timing" kubwa akapanguliwa mmoja baada ya mwingine kuliko kuwaondoa wote kwa pamoja. Kwa pupa hii, hakika chama twawala kinakwenda kupasuka rasmi katika makundi mawili na kuelekea katika kifo chake.
 
Mama samia anafalsafa nzuri Sana tatizo lipo kwa wasaidizi wake
Ile kauli mbiu ya "kazi iendelee" ilitosha kujua kuwa ana ulemavu wa maono. Kama kweli hii ni Awamu tofauti na ya aliyemtangulia alipaswa awe na Kauli inayosadifu uhalisia. Sasa kazi iendelee kwenda wapi? Na kazi ipi sasa iendelee? Ni Statement ambayo ni indefinite and unrealistic.
 
Ccm unaidharau. Unaona watu wake hawana akili ya kutunza chama na kukilinda. Unadhani hawana umoja.
 
Hivi ni lini araonekana Raisi mwenye maono na Falsafa? Mwl. Nyerere, Mkapa na Magufuli wote hao ulikuwa ukiwasikiliza unaona wamebeba Falsafa na maono Fulani. Hebu tusaidie maono na Falsafa yake
Dikteta alibeba maono ya damu
 
Wasaka urais kuelekea mwaka 2025 kuondolewa rasmi ndani ya Baraza la Mawaziri siyo!? Uamuzi huu unapaswa kuangaliwa kwa uangalifu mkubwa sana.

Uwepo wa wateule wa JPM ndani ya baraza bado una umuhimu mkubwa sana kwa utengamano wa CCM ya sasa. Ili kuthibiti pilikaplika za hapa na pale, ni vyema wakazidi kuwepo.

Natambua kauli ya "niguse ninuke" iliyotolewa kule jimbo la kusini wakati wa ziara ya PM inafungua "codes" fulani muhimu ili kuhalalisha mabadiliko tarajiwa. Hamasa inafanyika ili kuondoa makapi ya 'champion" wa Chato.

Ila tahadhari ichukuliwe kama washika hatamu wameazimia kumundoa mtu huyu na huyu katika wizara hizo nyeti kwa muda huu. Ni vyema wavute sunira, ili kwa "timing" kubwa akapanguliwa mmoja baada ya mwingine kuliko kuwaondoa wote kwa pamoja. Kwa pupa hii, hakika chama twawala kinakwenda kupasuka rasmi katika makundi mawili na kuelekea katika kifo chake.
Kila CCM inapotabiriwa KUFA huzidi kupata AFYA ,NGUVU NA KUSTAWI ZAIDI.....💪

Ilisemwa hivyohivyo alipohama Komredi Augustine Lyatonga Mrema.....

Ilisemwa hivyohivyo alipoondolewa madarakani hayati About Jumbe Mwinyi......

Ilisemwa hivyohivyo alipofukuzwa hayati Maalim Seif Sharrif Hamad....

Ilisemwa hivyohivyo walipotimuliwa wale G55 wahafidhina wa TANGANYIKA YAO....

Ilisemwa hivyohivyo ALIPOHAMA Komredi mtunduizi Laigwanan El Comandante Edward Ngoyai Lowassa.....leo yuko tena CCM 🤣🤣🤣

SIEMPRE CCM
HASTA LA VICTORIA CCM
ALUTA CONTINUA 💪😍
 
Ridhwan kukwaa Uwaziri? Huyu mama hana la maana la kutwambia zaidi ya uongo mwingi. Ngoja tusubiri labda kwa mara ya kwanza ataongea la maana.
Mkuu wewe kuanzia Kikwete unampinga, kaja yule dikteta pia umempinga na tulimpinga wote, Hata huyu mama nae pamoja na uungwana wake Bado mkuu wewe haumkubari!?? Ebu tuambie ni Nani angefaa hawe Rais,
Mkuu unajipa mastress ya bure aisee
 
Ile kauli mbiu ya "kazi iendelee" ilitosha kujua kuwa ana ulemavu wa maono. Kama kweli hii ni Awamu tofauti na ya aliyemtangulia alipaswa awe na Kauli inayosadifu uhalisia. Sasa kazi iendelee kwenda wapi? Na kazi ipi sasa iendelee? Ni Statement ambayo ni indefinite and unrealistic.
KAZI INAENDELEA kwa haya:-

-Ununuzi wa ndege(Airbus 2 zinashuka keshokutwa)
-Uendelezo wa ujenzi wa SGR
-Uendelezo wa ujenzi wa BWAWA LA MWALIMU NYERERE
-Kuendelezwa makao makuu ya Dodoma
-Ujenzi wa Uwanja wa ndege MSALATO
-Kusambazwa kwa umeme vijijini
-Kusambazwa kwa maji vijijini
-N.k n.k n.k
2935120_Screenshot_20210920-071756.png
 
Naam wote hao hawakufanya lolote la maana kwa Watanzania zaidi ya kuwa na sera MUFILISI, wizi, ubadhirifu ná ufisadi wa kutisha na hata reports za CAGs Assad na Kichere zinasema hivyo. So why should I issue my congratulations to people with mediocre performance!? 😳😳😳

Mama hana uungwana wowote ni muongo wa kutupa ndani ya nchi hadi ya nje anasema uongo. Hotuba yake ya kwanza katika jukwaa kubwa kuliko yote duniani #UNGA kasema uongo kuhusu demokrasia na haki za binadamu nchini, kambambikia kesi mbaya Mbowe. Anawadhalilisha na kuwatesa viongozi, wanachama, wapenzi na mashabiki wa Chadema nchini utadhani ni wakimbizi!!!!

Nani kakudanganya kusema ukweli kuhusu nchi yangu kunanipa stress!? Hebu acha HIZOOOO!!!!

Mkuu wewe kuanzia Kikwete unampinga, kaja yule dikteta pia umempinga na tulimpinga wote, Hata huyu mama nae pamoja na uungwana wake Bado mkuu wewe haumkubari!?? Ebu tuambie ni Nani angefaa hawe Rais,
Mkuu unajipa mastress ya bure aisee
 
Mkuu wewe kuanzia Kikwete unampinga, kaja yule dikteta pia umempinga na tulimpinga wote, Hata huyu mama nae pamoja na uungwana wake Bado mkuu wewe haumkubari!?? Ebu tuambie ni Nani angefaa hawe Rais,
Mkuu unajipa mastress ya bure aisee
.....Mbowe ,Makamu wake Salum Mwalimu ,Waziri wa fedha Godbless Lema ,waziri wa ulinzi Mzee Kigaila ,Waziri wa Tamisemi John Mnyika ,Waziri wa mambo ya nje ERYTHROCYTE ,waziri wa michezo Sugu ,Waziri wa mambo ya ndani BAK ,waziri wa Elimu Mmawia.....🤣🤣🤣
 
.....Mbowe ,Makamu wake Salum Mwalimu ,Waziri wa fedha Godbless Lema ,waziri wa ulinzi Mzee Kigaila ,Waziri wa Tamisemi John Mnyika ,Waziri wa mambo ya nje ERYTHROCYTE ,waziri wa michezo Sugu ,Waziri wa mambo ya ndani BAK ,waziri wa Elimu Mmawia.....
 
Ridhwan kukwaa Uwaziri? Huyu mama hana la maana la kutwambia zaidi ya uongo mwingi. Ngoja tusubiri labda kwa mara ya kwanza ataongea la maana.
Yaani kwa kiongozi wa nchi sasa hivi ndiyo tunaye mama Yuko makini anapiga kazi Hana longolongo ni mtu wa matokeo hivi viti anavyofanya hamvioni kweli au kama kawaida yenu kubisha Kila kitu? Hebu tuambie wewe ulitaka nani awe rais ili akifanya kitu uone kweli kimefanywa n rais? Hebu taja mmoja tu nikuone kama una akili
 
KAZI INAENDELEA kwa haya:-

-Ununuzi wa ndege(Airbus 2 zinashuka keshokutwa)
-Uendelezo wa ujenzi wa SGR
-Uendelezo wa ujenzi wa BWAWA LA MWALIMU NYERERE
-Kuendelezwa makao makuu ya Dodoma
-Ujenzi wa Uwanja wa ndege MSALATO
-Kusambazwa kwa umeme vijijini
-Kusambazwa kwa maji vijijini
-N.k n.k n.kView attachment 1967325
Mbona hii ni kama ni kuiga na sio kuendeleza? Kuendeleza maana yake ni kuasisi tija mpya ambayo haikuwepo awali. Nieleze ubunifu mpya wa kitija katika miradi uliyoitaja tofauti na ule aliouona muasisi wa hiyo miradi?
 
Nahama nchi hii list ikitawala nchi hii wezi watupu
.....Mbowe ,Makamu wake Salum Mwalimu ,Waziri wa fedha Godbless Lema ,waziri wa ulinzi Mzee Kigaila ,Waziri wa Tamisemi John Mnyika ,Waziri wa mambo ya nje ERYTHROCYTE ,waziri wa michezo Sugu ,Waziri wa mambo ya ndani BAK ,waziri wa Elimu Mmawia.....🤣🤣🤣
 
Mbona hii ni kama ni kuiga na sio kuendeleza? Kuendeleza maana yake ni kuasisi tija mpya ambayo haikuwepo awali. Nieleze ubunifu mpya wa kitija katika miradi uliyoitaja tofauti na ule aliouona muasisi wa hiyo miradi?
😳😳Mara moja hii umeshasahau HOJA YAKO kuwa Mh.SSH anakiendeleza kipi katika slogan yake ya "kazi Iendelee" ?!!Khaaaa 🤣🤣🤣
 
Kila CCM inapotabiriwa KUFA huzidi kupata AFYA ,NGUVU NA KUSTAWI ZAIDI.....[emoji123]

Ilisemwa hivyohivyo alipohama Komredi Augustine Lyatonga Mrema.....

Ilisemwa hivyohivyo alipoondolewa madarakani hayati About Jumbe Mwinyi......

Ilisemwa hivyohivyo alipofukuzwa hayati Maalim Seif Sharrif Hamad....

Ilisemwa hivyohivyo walipotimuliwa wale G55 wahafidhina wa TANGANYIKA YAO....

Ilisemwa hivyohivyo ALIPOHAMA Komredi mtunduizi Laigwanan El Comandante Edward Ngoyai Lowassa.....leo yuko tena CCM [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

SIEMPRE CCM
HASTA LA VICTORIA CCM
ALUTA CONTINUA [emoji123][emoji7]
Mkuu, usilinganishe CCM ile ambayo ilikuwa na makada wahafidhina na wenye kuaminika, na hii ya sasa ambayo ni sawa na sikio la kufa.
 
Back
Top Bottom