Shakira kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kukwepa kodi

Shakira kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kukwepa kodi

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Mwanamuziki Shakira (45) kufikishwa katika Mahakama ya Uhispania kwa tuhuma za kukwepa kodi ya Paundi Milioni 12.9 (Tsh. 32,314,500,000)

Mahakama imemuamuru mwimbaji huyo kutoka Colombia kujibu mashtaka 6 ya uhalifu wa kodi, ila tarehe ya kesi bado haijapangwa

Shakira amekuwa akikana tuhumu hizo mara kadhaa na inaelezwa iwapo atapatikana na hatia anaweza kufungwa miaka 8 au faini ya Tsh. 53,169,200,000
===

Colombian music star Shakira will stand trial in a Spanish court for allegations of tax fraud amounting to €14.5m (£12.9m).

A Barcelona court has ordered the singer to stand trial for six alleged tax crimes, although a date has not yet been set.

Spanish prosecutors want to jail the superstar for eight years and fine her €23.8m if she is found guilty.

The 45-year-old has repeatedly denied any wrongdoing.
 
Wenzetu hawana mchezo na mambo ya kukwepa kodi
Kuna nchi fulani hapa angepeta

Ova
 
Waseme tu kuwa hawajapendezwa na kitendo chake Cha kumuacha mkatalunya

Kama watarudiana nadhan kes itasamehewa
 
Back
Top Bottom