warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Mwandishi wa habari maarufu wa magazeti pendwa nchini, kupitia kampuni ya global publishers, Shakoor jongo Kupitia ukurasa wake wa instagram
aliandika;
Tanzia Ndugu zangu, rafiki zangu napenda kuwapa taarifa kuwa leo asubuhi nikiwa naenda kazini nilipigiwa simu na kuambiwa nirudi nyumbani nilivyofika nimekuta msiba ambao kwangu ni mkubwa sana kaka yangu tegemezi yaani kwa ukoo mzima wa mzee Jongo.
Baada ya wazee wote kufariki na yeye kuachiwa majukumu ya kuongoza ukoo, anayeitwa Kitwana Jongo amefariki.
Kiukweli nimeathirika sana kisaikolojia nayaona kabisa majukumu ya mbele yangu ya kuongoza ukoo.