TANZIA Shakoor Jongo wa Global Publishers afiwa na kaka yake

Last edited by a moderator:
Akina Mrembo by Nature, ram, Heaven Sent, Dinazarde, Heaven on Earth, princess sayuni, mamakibunju, miss strong jamani mpendeze kwenye msiba tusije tukatia aibu wana jamii forum, Dinazarde hakikisha mnavaa sare zenu zile mi ndo naenda mjini kushughulikia usafir wa coaster, nadhani tutakutana mwenge, halafu ram muwahi kwenye msiba jaman mkapembue mchele, kamati ya mazishi nadhani akina Matola watasimamia shoo

Hhhhhaaaa unanivunja mbavu usikonde mi najianda muda si mrefu natokelezeaa, na make up tupake ee na kope tubandike eti madameB
 
haswaaaaa....siku hizi mambo ya kuvaa khanga kwenye msiba tuwaachie wakongwe....sie yetu Madera, maderaa, hata dishdash twatupia babu weeeeee .....kwan sh ngapi.... Dinazarde!!!
Mitaani ukuda mwingi acha tukauze sura misibani....
.....usisahau kuvaa na pensi, si unajua watoto wa mbwa wapo kila kona!
 
Hahahaha hyu kaka alivyo mmbea warumi unaiga. naelekea msibani mwenzenu Dinazarde na amu mshafika kwani?
 
Ata kuazima azimeni mtokelezee maana nasikia team mama ubaya na yenyew itakuwepo kwa msiba, msije mkatuangusha bure tukaaibika
 
Last edited by a moderator:
.....uwiiiii!!!!!
Nimelia sana.....
Ngoja nipange kamati.

Dinazarde na Heaven Sent.....Mtaenda kutuletea Madera.

Heaven on Earth na geniveros....mtaenda kutuletea vanga la kuimba msibani.

Mrembo by Nature na miss neddy....mtaenda kukodi watu wa kuja kulia msibani, si unajua mjini biashara huria

princess sayuni na tatiana.... mtaenda kukodi kiberenge cha makaburini.

ram na mamakibunju mje na mafuta ya uto

qn of sheba, maatope na Bulldog.....muwahi msibani ili mtupe updates.

miss strong....twende kula ubuyu kwanza

Hahaha kamati imekamilika mbona. mmbea mwenzetu kafiwa wandugu. manake umbea wake ni zaidi ya kupiga chabo mtaani
 
Last edited by a moderator:
haswaaaaa....siku hizi mambo ya kuvaa khanga kwenye msiba tuwaachie wakongwe....sie yetu Madera, maderaa, hata dishdash twatupia babu weeeeee .....kwan sh ngapi.... Dinazarde!!!
Mitaani ukuda mwingi acha tukauze sura misibani....
.....usisahau kuvaa na pensi, si unajua watoto wa mbwa wapo kila kona!

Nasikia team mama ubaya za insta zitakuwepo so mjipange na pensi uko na viwembe anytime kinanuka uko
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha hyu kaka alivyo mmbea warumi unaiga. naelekea msibani mwenzenu Dinazarde na amu mshafika kwani?

Mi ndo nipo kkoo nashughulikia usafir, maana kuna watu wameni pm watakuwepo so nadhan coaster tatu zitatosha, binamu ujipange , mi mida ya jioni ndo nitatia timu uko nilale kabisa, ntaenda na camera yangu
 
Last edited by a moderator:
si ndio huyu jamaa alisharushiwa mawe na kuitiwa mbwa na mama wema? hahaha jamaa umbea uko damuni na hewani. akipumua ndani anavuta umbea na akipumua nje anatoa umbea. hapa mie MBN na wenzangu wa mambo hata tunainaiga.
 
haswaaaaa....siku hizi mambo ya kuvaa khanga kwenye msiba tuwaachie wakongwe....sie yetu Madera, maderaa, hata dishdash twatupia babu weeeeee .....kwan sh ngapi.... Dinazarde!!!
Mitaani ukuda mwingi acha tukauze sura misibani....
.....usisahau kuvaa na pensi, si unajua watoto wa mbwa wapo kila kona!

Hhhhjaaaaaa lo mbio unazo lakini madam,maana huko utakutana na madam mwenzio Wema akiwa na mbeba mkoba wake lolowapi
 
Last edited by a moderator:
Mi ndo nipo kkoo nashughulikia usafir, maana kuna watu wameni pm watakuwepo so nadhan coaster tatu zitatosha, binamu ujipange , mi mida ya jioni ndo nitatia timu uko nilale kabisa, ntaenda na camera yangu

Binamu na kulala ulaleko si mbu zitakumalizaa
 
hahaha lolowapi kumbe ndo mbeba mkoba? dina bana, leo niko team warumi nimeachia kazi ya kumfuta jasho kwa mwingine. hii ni heshima ya mazishi ya mjomba wa mmbea mwenzetu

Nna wasiwasi hutatugeuka kweli wewe ukahamia Team wema eee sasa hivi lolowapi ndio mbeba mkoba pia mfuta viatu vya wema
 
Last edited by a moderator:
Hhhhhaaaaaa ni sheeeedaaaa

Kamati yetu ilitaka ku print t-shirt za jamii forum sema budget haijatosha, yani uko leo msibani hakuna kulala umbea mwanzo mwisho mpaka kuchee
 
Mwenzangu mimi mwenyew nimeshangaa, eti majukumu yote kwangu sasa ivi, kazi yenyewe ya udaku ndo ategemee kulea ukoo mzima mmh!! Kazi anayo, akazane na umbea sasa atafanikiwa

hakyamungu we warumi siyo mzima.
Nimecheka sana
 
Last edited by a moderator:
Kamati yetu ilitaka ku print t-shirt za jamii forum sema budget haijatosha, yani uko leo msibani hakuna kulala umbea mwanzo mwisho mpaka kuchee

Bina nadhani we unaweza hata usile wallah
 
Aahahahahhh, mie binamu saa tisa tutakutana hapo, navaa sare msiba wa nalino.... hilo dela la leo nadhani Dinazarde atakuja nayo, tutavalia hapo hapo msibani, tuwahi kuona yanayojili hapo

Back
Top Bottom