warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #21
.....uwiiiii!!!!!
Nimelia sana.....
Ngoja nipange kamati.
Dinazarde na Heaven Sent.....Mtaenda kutuletea Madera.
Heaven on Earth na geniveros....mtaenda kutuletea vanga la kuimba msibani.
Mrembo by Nature na miss neddy....mtaenda kukodi watu wa kuja kulia msibani, si unajua mjini biashara huria
princess sayuni na tatiana.... mtaenda kukodi kiberenge cha makaburini.
ram na mamakibunju mje na mafuta ya uto
qn of sheba, maatope na Bulldog.....muwahi msibani ili mtupe updates.
miss strong....twende kula ubuyu kwanza
Kweli kabisa mdau mwenzetu yule wa maubuyu lazima tumfariji, warumi na Dinazarde nadhani tutahudhuria mazishi tukamfariji mdau wetu, leo ntaenda kukesha ili nipate umbea wa uko msibani
Last edited by a moderator: