Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdunguaji hataki kuonyesha pori..bora akutangazie kimya kimyaWeka picha basi we mdunguaji
Hii ni mali yangu mwenyewe na haina udalali. Kuhusu utambulisho kuna hati ya mauziano kutoka kwenye serikali ya mtaa. Ni kimbiji mtaa kwa Morisi. Karibu sana mkuu tuyajengeThis is nice, we dalali au mali yako? Una utambulisho gani wa kumiliki hii mali? Ni Kimbiji mtaa gani?
Snipper mtu akitaka kuja kuliona hilo shamba hasa siku za weekend inawezekana? Vipi maeneo ya jirani kuna watu wameanza kufanya kama makazi?Shamba lenye ukubwa wa ekari 4 linauzwa. Shamba liko Kimbiji wilaya ya Kigamboni, Dsm. Shamba liko mita 800 kutoka barabara kubwa ya Kigamboni Pembamnazi. Bei ni mil 5 kwa kila eka. Umeme upo karibu sana na shamba. Tuwasiliane kwa anayehitaji.
Je haliko katika ramani ya mipango miji? Maeneo mengi yameshawekwa katika mipango miji hivyo mnunuzi lazima apate kuhakiki kwa manispaa y a Kigamboni kama eneo halijapangiwa sughuli na serikali. Kuna watu wamenunua maeneo kumbe sehemu imepitiwa na barabara au ni shule au makaburi.Shamba lenye ukubwa wa ekari 4 linauzwa. Shamba liko Kimbiji wilaya ya Kigamboni, Dsm. Shamba liko mita 800 kutoka barabara kubwa ya Kigamboni Pembamnazi. Bei ni mil 5 kwa kila eka. Umeme upo karibu sana na shamba. Tuwasiliane kwa anayehitaji.
Million 5 zote hizo gharama ni kubwa mnoShamba lenye ukubwa wa ekari 4 linauzwa. Shamba liko Kimbiji wilaya ya Kigamboni, Dsm. Shamba liko mita 800 kutoka barabara kubwa ya Kigamboni Pembamnazi. Bei ni mil 5 kwa kila eka. Umeme upo karibu sana na shamba. Tuwasiliane kwa anayehitaji.
Unachosema ni sawa kabisa. Maeneo mengi ya Dar yamekwishapangiliwa. Kwa pale ni eneo la makazi ingawa kwa sasa panatumika kwa kilimo. Karibu sana mkuuJe haliko katika ramani ya mipango miji? Maeneo mengi yameshawekwa katika mipango miji hivyo mnunuzi lazima apate kuhakiki kwa manispaa y a Kigamboni kama eneo halijapangiwa sughuli na serikali. Kuna watu wamenunua maeneo kumbe sehemu imepitiwa na barabara au ni shule au makaburi.
Weka picha basi we mdunguaji