Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa haha si kitu kimoja hicho[emoji3] Hivi Sniper ni 'mdunguaji' au 'mlenga shabaha'?
Haa haha si kitu kimoja hicho
Nadhani mdunguaji ni sahihi zaidiš¤£
Mkuu bado tu kuna madalali kama wewe wanatangaa biashara bila picha?Shamba lenye ukubwa wa ekari 4 linauzwa. Shamba liko Kimbiji wilaya ya Kigamboni, Dsm. Shamba liko mita 800 kutoka barabara kubwa ya Kigamboni Pembamnazi. Bei ni mil 5 kwa kila eka. Umeme upo karibu sana na shamba. Tuwasiliane kwa anayehitaji.
Kwa kuwa eneo linatumika kwa kilimo ni kwamba halijapimwa linamilikiwa kienyeji. Serikali au mnunuzi atakapotafanya umilikishaji, ramani ya mipango miji ndio itatumika kutengeneza mchoro/ramani ya eneo kulingana na mipango miji. Katika ekari 5, huenda limepitiwa na barabara, eneo la wazi (open space), soko n.k. Mnunuzi mwisho wa siku huenda akajikuta ana kiwanja cha sq.m 2,000 tu ndicho akapata hati ya umiliki. Ni busara mnunuzi kuhakiki na Manispaa ya Kigamboni Idara ya ardhi kabla ya kununua kulingana na ramani ya mipango miji.Unachosema ni sawa kabisa. Maeneo mengi ya Dar yamekwishapangiliwa. Kwa pale ni eneo la makazi ingawa kwa sasa panatumika kwa kilimo. Karibu sana mkuu
Yes.. ni muhimu sana kujiridhisha kwenye mamlaka za ardhi ingawa kuna jirani alipima eneo lake na akawezesha kuchonga barabara kadhaa kwenye maeneo hayo na moja ya barabara inapita pembeni mwa shamba hiloKwa kuwa eneo linatumika kwa kilimo ni kwamba halijapimwa linamilikiwa kienyeji. Serikali au mnunuzi atakapotafanya umilikishaji, ramani ya mipango miji ndio itatumika kutengeneza mchoro/ramani ya eneo kulingana na mipango miji. Katika ekari 5, huenda limepitiwa na barabara, eneo la wazi (open space), soko n.k. Mnunuzi mwisho wa siku huenda akajikuta ana kiwanja cha sq.m 2,000 tu ndicho akapata hati ya umiliki. Ni busara mnunuzi kuhakiki na Manispaa ya Kigamboni Idara ya ardhi kabla ya kununua kulingana na ramani ya mipango miji.
Lakini pia kama ukihitaji coordinates naweza kukupatia ili uende kuwaonyesha watu wa ardhi wakusaidie kukujulisha kama ni eneo la makazi au viwanda au barabara au huduma za afya au huduma zingine za kijamii. Ila kwa sasa inaonekana ni eneo la makazi ingawa kwa sasa linatumika kwa kilimoKwa kuwa eneo linatumika kwa kilimo ni kwamba halijapimwa linamilikiwa kienyeji. Serikali au mnunuzi atakapotafanya umilikishaji, ramani ya mipango miji ndio itatumika kutengeneza mchoro/ramani ya eneo kulingana na mipango miji. Katika ekari 5, huenda limepitiwa na barabara, eneo la wazi (open space), soko n.k. Mnunuzi mwisho wa siku huenda akajikuta ana kiwanja cha sq.m 2,000 tu ndicho akapata hati ya umiliki. Ni busara mnunuzi kuhakiki na Manispaa ya Kigamboni Idara ya ardhi kabla ya kununua kulingana na ramani ya mipango miji.
Mbongo_halisi kazi kwako maana picha tayariMkuu bado tu kuna madalali kama wewe wanatangaa biashara bila picha?