Shamba la bibi

Shamba la bibi

Mkandara

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2006
Posts
15,806
Reaction score
9,011
Nasema hivi: - Siasa za Tanzania leo, hakuna Kiongozi wala Mwanasiasa hata mmoja anayeweza diriki kumkosoa rais Samia na serikali yake hadharani na bila kumung'unya maneno kwa sababu moja tu - Kila mmoja wao leo anakula kwa urefu wa kamba yake.

Ndiyo, nimesema na anayebisha anitajie japo mmoja wa mfano katika Upinzani wa Kisiasa..
 
Mchungaji Msigwa amesema juzi kuwa ufisadi umerudi kwa Kasi sana tokea Samia ashike nchi.

Heche pia amemkosoa Sana Kila wakati hajawahi msifia sifia.

Pia Tundu Lissu ni Leo tu kasema Mama Samia ni wale wale tu mafisadi maana ni mkuu wa nchi ana mamlaka yote ila hachukuliwi hatua mafisadi.

List ni ndefu
 
Ni kama umezaliwa dk hii. Lissu mbona leo kaiponda serikali kuhusu CAG
Mkuu ebu wasikilize vizuri wote wanakwepa kusema ama kutaja jina la Rais Samia. Watamtaja waziri, Bunge, Chama, Taasisi au Kiongozi mwingine na hata wakatumia neno Serikali lkn hutasikia "Serikali ya rais Samia" imeshindwa kufanya kadhaa wa kadhaa! Hakuna anayethubutu kumkosoa wazi wazi Rais, wao wanamwita Mama sio! Mimi nimegundua hilo kwa sababu Mama amejua kulea wanawe..

Ni kama viongozi wetu wanavyoshindwa kukemea Ushoga hadharani ama.kuonyesha nini msimamo wao kuhusiana na Ushoga..
 
Cyprian Musiba a.k.a Mwanaharakati Huru anaweza kumskosoa rais Samia. Huyu hali hata kwa urefu wa vidole vyake.
Imeisha hiyo.. wako wapi kina Musiba leo? Wachungaji na Upinzani wote Kimyaaaa "Mbwa kala Mbwa"
 
Nasema hivi: - Siasa za Tanzania leo, hakuna Kiongozi wala Mwanasiasa hata mmoja anayeweza diriki kumkosoa rais Samia na serikali yake hadharani na bila kumung'unya maneno kwa sababu moja tu - Kila mmoja wao leo anakula kwa urefu wa kamba yake.

Ndiyo, nimesema na anayebisha anitajie japo mmoja wa mfano katika Upinzani wa Kisiasa..
Hauko sahihi
 
Nakubaliana na wewe Mkandara 100% kuwa nchi sasa ni SHAMBA LA BIBI. Nionavyo mimi msemo wa UREFU WA KAMBA ni sawa na ule wa TAKHRIMA wa enzi ya Kikwete. Tusipoangalia tunaweza tukarudi kama ilivyokuwa kabla ya 2015 na nchi kupoteza matrilioni badala ya kutumika kujengea nchi.😢😭😭😭

Lakini mna ushahidi wa hao mnaowaona wamehongwa chochote na utawala wa Samia, hasa wapinzani? au ni huko kutotaja kwao jina la Rais ndio ushahidi wenyewe?

Kwangu ushahidi nilionao wa wale wanaopiga pesa ndefu wakati huu, au niseme awamu hii, ni wale waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, na Samia akaishia kuwaita stupid.
 
Kuna pahala nimesema Wamehongwa? Mimi nasema kuwa hakuna Kiongozi au Mwanasiasa yeyote ambaye anaweza ama aliweza ikosoa Serikali ya Rais Samia. Watazungusha na kuzunguka mbuyu kutaja CCM, Waziri sijui DPP lkn wote hawa hakuna anayediriki kulitaja jina la rais anapokosoa maana kwao sii Pakavu..
 
Nakubaliana na wewe Mkandara 100% kuwa nchi sasa ni SHAMBA LA BIBI. Nionavyo mimi msemo wa UREFU WA KAMBA ni sawa na ule wa TAKHRIMA wa enzi ya Kikwete. Tusipoangalia tunaweza tukarudi kama ilivyokuwa kabla ya 2015 na nchi kupoteza matrilioni badala ya kutumika kujengea nchi.😢😭😭😭

Eeeh bana haswaaa, kumbe umenielewa! Haya za miaka?
 
Nasema hivi: - Siasa za Tanzania leo, hakuna Kiongozi wala Mwanasiasa hata mmoja anayeweza diriki kumkosoa rais Samia na serikali yake hadharani na bila kumung'unya maneno kwa sababu moja tu - Kila mmoja wao leo anakula kwa urefu wa kamba yake.

Ndiyo, nimesema na anayebisha anitajie japo mmoja wa mfano katika Upinzani wa Kisiasa..
Mkuu Mkandara , upo?.
Kama she is doing so good na hakuna cha kukosoa, unataka Mama akosolewe tuu ili kuonyesha anakosolewa?.
P
 
Then hakuna sababu ya kulalamikia report ya CAG sii anafanya vizuri? Hawa wote wanachambua chini chini tu wakizunguka!

Kama wakweli, let them say kama wakati wa Mkapa, JK, JPM waliwataja kwa majina na vyeo vyao. If she's soo good, why have multi party! Sii bora tushindanishe watu kama wakati wa Chama kimoja?

Watu wamefisadi fedha tayari halafu mnataka zifuatiliwe na Bunge baada ya kuibiwa! Watuhumiwa ni hao hao Wabunge! does it make sense?
 
Then hakuna sababu ya kulalamikia report ya CAG sii anafanya vizuri? Hawa wote wanachambua chini chini tu wakizunguka!
Mama as Mama, she is doing great, ila bado kuna baadhi ya wasaidizi wake wanamuangusha, hao watupishe!.
Kama wakweli, let them say kama wakati wa Mkapa, JK, JPM waliwataja kwa majina na vyeo vyao.
Mambo ya kutajana tajana kwa vyeo na majina ni mambo ya kishamba!. Wastaarabu hawataji taji majina, ndio maana niliwahi kushauri we don't need strong leaders wa kufoka foka, tunahitaji an effective system, you mess, no one tells you ume mess, system ina ku detect na kuku eject, rais hana haja ya kuhangaika kutumbua tumbua, you mess today, kesho rais unajikuta resignation letter yako mezani kwake!
If she's soo good, why have multi party! Sii bora tushindanishe watu kama wakati wa Chama kimoja?
Kwani Tanzania tuna vyama vingi in a real sense of multi party?. Tanzania tuna jina tuu la nchi ya multi party but the reality ni tuna chama kimoja tuu, the one and only, kiki play the game of politics na mfano vyama, au vyama makapuku!, hivyo hakina mshindani wala mpinzani!.
Watu wamefisadi fedha tayari halafu mnataka zifuatiliwe na Bunge baada ya kuibiwa! Watuhumiwa ni hao hao Wabunge! does it make sense?
Kwanza kwenye ripoti ya CAG, kila ubadhirifu unaotajwa wa fedha za umma, sio lazima fedha hizo ziwe ni zimeibiwa!. Fedha nyingine ni matumizi mabaya tuu lakini hakuna fedha yoyote iliyoibiwa!.
P
 
Back
Top Bottom