Plot4Sale Shamba la ekari 100 linauzwa kwa milioni 12

Plot4Sale Shamba la ekari 100 linauzwa kwa milioni 12

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Shamba la ekari 100
linauzwa, Tshs milioni 12 (laki 1.2 kwa eka 1)

zao la korosho inakubali Sana hapo.

SHAMBA lipo wilaya ya manyoni kijiji cha (....) mkoa wa singida.

Shamba linakubali sana zao la KOROSHO

mazao mengine yanayokubali hapa ni karanga, alizeti, ufuta, njugu, mihogo, viaz vitamu, kunde, choroko, mbaazi, yote yanakubali.

Shamba liko km 9 kutoka Manyoni mjini

Hakuna chanzo cha maji ndani ya shamba.
(Ila yakichimbwa yapo kwa wingi)

Shamba linamilikiwa na watu watatu (wameunga mashamba yao na kuamua kuyauza)

HAKUNA UTATA WALA MGOGORO

biashara inafanyika chini ya uongozi wa serikari ya Kijiji.

Mawasiliano

+255683011003 (call au sms) or whatsapp

IMG-20210709-WA0031.jpg
IMG-20210709-WA0030.jpg
IMG-20210709-WA0029.jpg
 
Kwa sababu hili ni Tangazo ni vema ukaweka Kijiji kabisa ili watu wajue Sasa unapoficha kulikuwa na haja gani ya kututangazi mkuu?
 
Kwa sababu hili ni Tangazo ni vema ukaweka Kijiji kabisa ili watu wajue Sasa unapoficha kulikuwa na haja gani ya kututangazi mkuu?
Mawasiliano yapo mkuu biashara huwa haiishii hapa.
 
Nimejitahidi kuangalia, ila sijaona kabisa dalili ya uwepo wa shamba hapo. Anyway, nakutakia kila la heri katika uuzaji wako.
 
Ukifika milioni 5 naomba unicheki haraka
 
Back
Top Bottom