Shamba la mitik linauzwa lipo Tanga Korogwe kijiji mgambo

Shamba la mitik linauzwa lipo Tanga Korogwe kijiji mgambo

jaytravo

Member
Joined
Dec 4, 2018
Posts
56
Reaction score
25
Shamba lipo Tanga Korogwe ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100
Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150
dalali ukileta mteja 10% ya kwako

Miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14
0615636384
0653172333
mtiki 2 (1).jpeg
mtiki 1 (1).jpg
mtiki 3.jpeg
 
Sawa, dalali nikija na mteja ana 300 wewe uchukue yako 150 inayobaki yangu si fresh?
 
Sasa hao mgambo hawasumbui huko?maana kijiji kikijaa mgambo naona litakuwa tatizo.
 
Back
Top Bottom