jaytravo Member Joined Dec 4, 2018 Posts 56 Reaction score 25 Jul 4, 2025 #1 Shamba lipo Tanga Korogwe ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100 Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150 dalali ukileta mteja 10% ya kwako Miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14 0615636384 0653172333
Shamba lipo Tanga Korogwe ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100 Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150 dalali ukileta mteja 10% ya kwako Miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14 0615636384 0653172333
Walt white JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 316 Reaction score 802 Jul 4, 2025 #2 Sawa, dalali nikija na mteja ana 300 wewe uchukue yako 150 inayobaki yangu si fresh?
jaytravo Member Joined Dec 4, 2018 Posts 56 Reaction score 25 Jul 16, 2025 Thread starter #3 Walt white said: Sawa, dalali nikija na mteja ana 300 wewe uchukue yako 150 inayobaki yangu si fresh? Click to expand... Niwewe tu
Walt white said: Sawa, dalali nikija na mteja ana 300 wewe uchukue yako 150 inayobaki yangu si fresh? Click to expand... Niwewe tu
S Sophoganyi Senior Member Joined Jun 27, 2017 Posts 104 Reaction score 241 Jul 18, 2025 #4 Walt white said: Sawa, dalali nikija na mteja ana 300 wewe uchukue yako 150 inayobaki yangu si fresh? Click to expand... Akupe na 30% ya hio 150 alafu ile 200 ni yako pia. Shikamoo dalali
Walt white said: Sawa, dalali nikija na mteja ana 300 wewe uchukue yako 150 inayobaki yangu si fresh? Click to expand... Akupe na 30% ya hio 150 alafu ile 200 ni yako pia. Shikamoo dalali
L Labiance21 Member Joined Jul 15, 2025 Posts 60 Reaction score 72 Jul 20, 2025 #5 Sasa hao mgambo hawasumbui huko?maana kijiji kikijaa mgambo naona litakuwa tatizo.