Msela Baharia
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 766
- 1,104
Ntafutie eka 5kuna eka bado zipo mkuu,nicheki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntafutie eka 5kuna eka bado zipo mkuu,nicheki
zipo mkuu,utanipigiaNtafutie eka 5
kwema mzee?Ntafutie eka 5
Mkuu sema ukweli kutoka kibao cha Mbuga ya sadan hadi hapo Miono kijijini ni Km3? Na je kutoka hapo kijijini hadi shamba ni km ngap? Kuwa mweli maana kama.mteja ukimpata hamtaishia kwenye simu mtaenda hadi shamba na uongo utabainika kuanzia hapo. Be realistic!Miono iko wilaya ya bagamoyo,km 3 kutoka stend,la binafsi sio la kijiji
nafikiri haukuelewa nilicho mjibu ,aliuliza kutola miono stend center mpaka kwenye shamba ndo nikamjibu km tatu.na wala sio kutoka barabara ya lami pale.mandela。kutoka kwenye kibao cha sadani km 9.zimeandikwa na mwingine pia juuMkuu sema ukweli kutoka kibao cha Mbuga ya sadan hadi hapo Miono kijijini ni Km3? Na je kutoka hapo kijijini hadi shamba ni km ngap? Kuwa mweli maana kama.mteja ukimpata hamtaishia kwenye simu mtaenda hadi shamba na uongo utabainika kuanzia hapo. Be realistic!
Kwema, harakati vp mkuukwema mzee?
fresh kaka,tunakomaa,vipi uko?Kwema, harakati vp mkuu
umbali gani toka main road?Kiwanja kinauzwa mabwe pande sqm 600
Umeme upo,bei ni 5m
0736770052 kwa maelezo zaidi
Kutoka bunju stendi kwenda huko ni 5kmumbali gani toka main road?
inabidi akuachie namba chapUmbali
Umbali gani na barabara, naweza kulipa mara 2 mpaka 3?