Plot4Sale Shamba linauzwa

Plot4Sale Shamba linauzwa

Miono iko wilaya ya bagamoyo,km 3 kutoka stend,la binafsi sio la kijiji
Mkuu sema ukweli kutoka kibao cha Mbuga ya sadan hadi hapo Miono kijijini ni Km3? Na je kutoka hapo kijijini hadi shamba ni km ngap? Kuwa mweli maana kama.mteja ukimpata hamtaishia kwenye simu mtaenda hadi shamba na uongo utabainika kuanzia hapo. Be realistic!
 
nafikiri haukuelewa nilicho mjibu ,aliuliza kutola miono stend center mpaka kwenye shamba ndo nikamjibu km tatu.na wala sio kutoka barabara ya lami pale.mandela。kutoka kwenye kibao cha sadani km 9.zimeandikwa na mwingine pia juu
 
Kiwanja kinauzwa mabwe pande sqm 600
Umeme upo,bei ni 5m
0736770052 kwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom