Shambulio dhidi ya Mbowe: Kamanda Giles Muroto (RPC Dodoma), umewaona wa kuwakamata? Nakutajia...

Ahaaa! Kumbe wabunge hao walikuwepo kwenye tukio. Walimuona Mbowe kalewa akiwa na dadapoa. Afande Muroto, waite hao wasaidie polisi.
 

He is correct!
Kuna clip moja kwenye YouTube ilionekana siku 1 tu na iliondolewa kabla haijaenda viral!
Sikuwahi kui- download lakini ilikuwa inaashiria tishio la kifo Cha Kiongozi mmoja Mkuu wa Upinzani (very likely) ilimlenga Mbowe!
Aliyekuwa akisema hayo ni Mtu mmoja anajiita Nabii hivo alikuwa akitoa unabii
Acha tu mkuu inasikitisha sana ametamka na kasema bunge lijalo wanauhakika 100% watarudi na kuipitisha hiyo hoja ya kessy kwa kishindo hata kama Rais hataki wao wataongeza tu.

Acha waongeze tu...Marehemu Nkurunziza alitaka kubadili Katiba aongoze kwa miaka 30 (2005~2035) lakini Warundi wakapiga kelele ndipo akaamua kuishia mwaka huu 2020 na Mungu naye akaamua kumpumzisha milele....!!
CCM wathubutu, sanasana wataambulia kilichomtokea Pierre!
Ni hayo tu!
 

Kwani hao walio zungumzia tukio zima na kuhalalisha ndani ya Bunge ushahidi waliupata wapi !!?.Waachwe tu waongee hata kama wana vunja Sheria!!.Uhakika wa walicho kizungumza ni kipi !?.Jeshi la Polis na hao wabunge ni nani wa kusikilizwa !!?
 
Jibu hoja za ruhi acha kupagawa na kuongea lugha chafu, Kama huwezi jibu kaa kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mvamizi anayo sababu, hivyo mvamizi ni yeyote mwenye sababu ya uvamizi huo. Na huyo ni yule ambaye uwepo wa mvamiwa haumpi amani mvamiaji. Sisi wengine wote ni mashabiki wa hilo tukio.
 


Kazi ya polisi siku hizi ni kuchonga uongo kama wa Lissu. Sababu kubwa ni hao hao wa serikalini ndiyo wamefanya haya
 

Unadhan kwanini wanahusisha serikali na sio majambazi?

Kwani mlevi akiwa ametoka kulewa hana haki ya kuvamiwa?

Hoja sio yy kuwa na walinzi hoja ni eneo natwa kuwa linatakiwa kuwa na ulinzi swali ni je mbona ulinzi haukuwepo?
 
Unadhan kwanini wanahusisha serikali na sio majambazi?

Kwani mlevi akiwa ametoka kulewa hana haki ya kuvamiwa?

Hoja sio yy kuwa na walinzi hoja ni eneo natwa kuwa linatakiwa kuwa na ulinzi swali ni je mbona ulinzi haukuwepo?
Kwani mlevi akiwa ametoka kulewa hana haki ya kuvamiwa?

NI HAKI YAKE TENA YA KIKATIBA KABISA HATA KUVUNJIWA YAI

Natania bana usije ukanimind bure
 

RIP Pierre Nkurunzinza, mwanamichezo uliyeichezea hadi katiba na sheria!.
Ujumbe maridhawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…