Shambulio dhidi ya Mbowe: Kamanda Giles Muroto (RPC Dodoma), umewaona wa kuwakamata? Nakutajia...

wewe mwenyewe umevunja sheria muroto alisema usiseme wewe umesema ushaharibu ushaidi........na kuhusu bungeni si kuna kinga kesho mtu akikana maneno yake imeisha hiyo.....kira mtu ashinde mechi zake
 
1. a. Tujibu kwanza kwanini serikali imemwondolea ulinzi KUB tangu issue ya COVID-19 na haijamrudishia?
b. Swali kwamba alikuwa wapi peke yake bila ulinzi saa 6/7 ni swali ambalo hupaswi kuhoji wewe labda mpelelezi wa kesi ili kujaribu kuunganisha a, b,c. Hii ni kwa sababu mtu anao uhuru wa kutembea muda wowote, na kwamba hana ulinzi inamaanisha kuhalalisha afanyie tendo ovu.

2. Aliyemkimbiza hospitali anaweza kuwa mtu yeyote, lakini haindowi ukweli kwamba ameshambuliwa
3. A. Yes, inawezekana ukaongozana na mtu akavamiwa na akashambuliwa wewe usiguswe
B. Unaweza usishanbuliwe hata kaa wamekuona
Maswali mengine yote yaliyobaki, kama yalivyo hayo hapo juu, ni ya kipuuzi kwa sababu matukio ya kijinai kama kushambulia mtu mambo mengi hutegemeana na motive behind!
 
Mimi siishi England na sio Mzungu

Ni Mzaliwa wa wilaya ya Moshi Mjini......na SIJAWAHI kutoka nje ya nchi hii ......

Anyways.......thanks. Nadhani simu ilijichanganya
Ungeishia kkwenye mstari wa mwisho bila ya ule wa kwanza ingeleta maana zaidi.

Kwa sababu huo mstari wa kwanza unakusuta sana. Kama wewe sio mzaliwa wa huko, hukuwa na lazima ya kuitumia lugha hiyo!

Basi, hili tumelimaliza.
 
Hawawezi kushughulikiwa kwa sababu wako ccm. Ingekua ni wapinzani sasa hivi wangesafirishwa hadi dar kusaidia polisi
 
  • Mimi kama Sehemu ya Polisi Jamii naomba kutoa ushauri kwa RPC Muroto katika Uchunguzi wa waliohusika na shambulio oa Kiongozi wa KUB Mhe. Mbowe aanze na Hawa:
  1. SPIKA JOB NDUGAI.
  2. PETER LIJUALIKALI(MB).
  3. LIVINGSTONE LUSINDE(MB).
  4. DAVID SILINDE(MB).
Kauli za Hawa watu 4 zinaonesha wanajua vizuri Sana kilichomtokea Mhe. Mbowe.
Madai kuwa Mhe. Mbowe alikuwa amelewa CHAKARI kunaibua hoja muhimu sana hapa. Hawa WABUNGE pamoja na Spika wahojiwe hicho wanachosema kuwa Mhe. Mbowe alikuwa amelewa CHAKARI hiyo saa 6 usiku wao walikuwa wapi muda huo? Kuna ushahidi wa kimazingira hapa. Kuwa yawezekana kabisa huo ulevi wa Mhe. Mbowe(kama ni kweli) Ulitengenezwa maksudi kwa namna 2:
1---Kutilia madawa ya kulevya kwenye kinywaji kwa Nia ya kumdhulu.
2---Kuwekewa dawa za Usingizi kwenye kinywaji kwa Nia ya kumdhulu.

Haiwezekani wote washabikie tu ulevi wa mtu na kuhusiana kuumizwa kwa na ulevi. Hapa iko namna! Hawa jamaa wanajua zaidi ya huo ulevi wanaodai eti ndo umesababisha Mhe. Mbowe kuumizwa.
 
Dola letu sijui kama lipo huru kiasi hicho
 
Angalia wabunge waliotoa hizo kauli - wote ni wale wabunge wajinga. Wenye akili, wawe wa CCM au upinzani, huwezi kusikia kauli za kipumba.vu kama hizo toka katika vinywa vyao. Wameachwa wajinga ili watu wote wawafahamu vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunajua kuwa Mbowe anaponzwa na Lissu. Ukifika muda tutayasema yote. Kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2020. Kwanza tumalize hili la Mbowe.


Naomba uniTAG mkuu tafadhari.
 
Umeandika andika, lakini hakuna hoja ya msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ni mpumbavu....
alipokufa chacha wangwe mlisema mbowe kamuua. yakapita
aliposhambuliwa mheshimiwa tundu LISU mkasema mbowe kamshambulia bila kutoa sababu
leo kashambuliwa mbowe mwenyewe tena baada ya misukosuko unaongea mavi hapa ati alilewa bila kusema huo ulevi aliuanza lini hadi kuanguka juzi
mara mnamhusisha na kimada na ujinga mwingine.
kama unayaamini haya unayoyasema tulete wachunguzi toka nje tuone
 
1.Kuna muda maalumu wa KUB kurejea nyumbani,unajua majukumu yake na ratiba aliyokuwa nayo?
2.Wanaodai alikuwa kalewa na alkuwa na kimada walikuwa wanamfuatilia kwa interest ipi?
3.Iweje tukio hili lijiri muda huu na si kabla?
4.Kwa nini waongeaji wakubwa ni "makapi" ya CDM?
5.Mswada wa kinga unalenga kuficha na kulinda nini ambacho tawala za awali hawakuwa nazo,hofu ya nini?
6.Dhana ya kutohusisha tukio na siasa nani kaianzisha na kwa nini?

Kwa anayefikiria sawa (si kutumia "masaburi") ana jibu; nani MHUSIKA MKUU NA LENGO NI "VITISHO"
 
1.Kuna muda maalumu wa KUB kurejea nyumbani,unajua majukumu yake na ratiba aliyokuwa nayo?
2.Wanaodai alikuwa kalewa na alkuwa na kimada walikuwa wanamfuatilia kwa interest ipi?
3.Iweje tukio hili lijiri muda huu na si kabla?
4.Kwa nini waongeaji wakubwa ni "makapi" ya CDM?
5.Mswada wa kinga unalenga kuficha na kulinda nini ambacho tawala za awali hawakuwa nazo,hofu ya nini?
6.Dhana ya kutohusisha tukio na siasa nani kaianzisha na kwa nini?

Kwa anayefikiria sawa (si kutumia "masaburi") ana jibu; nani MHUSIKA MKUU NA LENGO NI "VITISHO"
 
Baada ya tukio la TAL kupigwa njugu walihinasibu kwamba hawataki ulinzi wa Serikali watajilinda wenyewe mosi, na pili walipoamua kwenda kujiweka quarantine wale walinzi wa eneo Lile wapiondolewa.

KUB anaweza hata asirudi nyumbani alale huko huko aliko swala la msingi anatakiwa awe na ulinzi.

CHADEMA watakua wamekomaa kisiasa pale tu watakapoacha kuishi kwa dhana na kujikita katika uhalisia.
 
KAMA WALIJINASIBU KUJILINDA IWEJE WAENDELEE KUPEWA ULINZI HADI KORONA NDIYO WAONDOLEWE? NA CCTV ZILIKUWA ZAFANYA KAZI AU LA WAKATI WA TUKIO? NA KAMA NDIYO,PICHA WAPI ILI KUKATA KIU YA JIBU?
 
Hii Serikali ya CCM ni ma HINTALAMWE wa Tanzania, hawaoni shida yeyote kumwaga damu za watu kwaajili ya madaraka. Inasikitisha sana.
 
Mzee tupatupa njoo hapa , kwenye Bwalo la Magereza kilosa upate hata mbili za baridii.
 
KAMA WALIJINASIBU KUJILINDA IWEJE WAENDELEE KUPEWA ULINZI HADI KORONA NDIYO WAONDOLEWE? NA CCTV ZILIKUWA ZAFANYA KAZI AU LA WAKATI WA TUKIO? NA KAMA NDIYO,PICHA WAPI ILI KUKATA KIU YA JIBU?
Walinzi walikua pale kwake!. Kwani hujaona benki zikiwa na ulinzi toka polisi na kwa auxiliary polisi pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…