Shambulio la Israel Kwa Iran Limethibitisha Ubora Wa Jeshi la Anga la Israel

Iran haina ndege za kutuma Israel. F-14 Tomcats imezinunua Marekani mwaka 1973 na hakuna aerial refurering Iran.

Hizo F-14 Tomcats ni very inferior mbele ya IDF labda zipigwe zikiwa nyumbani kwao ila sio anga la Israel.
Itume ndege za kazi gani wakati inauwezo wakuitwanga israhell bila kutuma ndege kwani hata hao wazayuni si wamepaki ndege zao kwa jirani wameogopa anga la muajemi
 
Kutumia ndege ni gharama na ni rski pia kwa vita ya mbali ...na ndio maana kila jeshi linaangalia option ya uwekezaji wajiimarishe kwenye tech ipi ...uwekezaji wa wa Iran ndo best option kwa sasa
Ndege za kutuma mpaka Israel hana kwa hiyo anatuma alichonancho ambacho ni makombora tena ya tech za masaada za china na russia.
 
Watanzania wengi mnachukulia vita kama simba na yanga,acheni hizo mambo..
The aim of Israel was not to escalate a war with Iran bali to manifest Israel's capability and strength..in other ways if 4 batteries, military bases were hit by IAF imeonesha kwamba Iran is not immune to Israel attack....
Anything can happen at any time.
Cha msingi ni Kuheshimiana tu....
Hilo ndilo lengo la shambulio la Leo..
Vita siyo nzuri,tusishabikie..
 
We jamaa huna hata aibu, Iran amefanikiwa kuyatungua makombora ya Israel ndio maana mnabwabwaja ila Israel anafahamika na dunia nzima hata wewe mwenyewe deep down in your heart unajua kwamba wanapenda Damu za wanawake na watoto kuliko chochote.

1.ndio taifa pekee Duniani ambalo linatuma makombora kupiga Makaburi, sijui hao wafu wamewakosea nini, unalizungumziaje hili? So far si chini ya makaburi 20 yamelipuliwa Lebanon na Palestine

View: https://m.youtube.com/shorts/SWimDZ-DxLE
2. Wanalipua Misikiti na Makanisa, si Chini ya misikiti 600 na Makanisa yamelipuliwa Lebanon na Palestina, Hamas na Hezbollah wanajificha makanisani? Nina uhakika Kambi za Jeshi walizopiga hazifiki idadi hii


3. Wanapiga mahema na kambi za wakimbizi mbalimbali pamoja na mashule.

Hizo ndio sehemu pendwa za Waisrael hizo nyengine sijui Wali target sehemu za Jeshi ni porojo zenu.
 
Taarifa kutoka Tehran zinadai kwamba wanajeshi wawili wamefariki na kiwanda cha kutengeneza drone kimebomolewa chote. Taarifa zingine zitakuja hivi punde.
 
Looks like Israel's 🇮🇱 attack was a “preparation”:

📡 Destroyed air defense en route to Iran in Syria 🇸🇾 & Iraq 🇮🇶

📡 Destroyed radars of S-300 & S-400 air defense in Iran 🇮🇷

Now that Iran's air defense is fully blinded, Israel can freely attack its nuclear facilities.
_
 
Then Let them attack that nuclear facilities and see how the ME would look alike
 
Acha watiane adabu,hakuna atakaemfuata mwenzake kumpelekea heshima kama wote hawajahangaika kama hivi kuitafuta.

Nasema hivi,piganeni kiume mpaka mkikutana kila mmoja amwamkie mwenzake “shikamoo blaza”
 
Hapo Nyuma Kiongozi wa Irani alijaribu kuwatisha Israel akiwaambia, Wana missile zinazoweza kusafiri toka Iran mpaka Israel Kwa Dakika 6, akamwambia asijaribu kuwashambulia Kwa kutumia Ndege...!

Kwamba Watafanikiwa kushambulia lakini Ndege zao kabla hajijarudi Israel zitakua Majivu.
 
Tusubiri awamu inayokuja!!!
 
Niliwahi kutana na mwanajeshi 1.mkubwa mkubwa tu Katika story Akaniambia katika rada ndege ipo moja tu ya marekani hyo Hakuna rada inayo weza kuinasa katika Angalilote Lile .nahyo ilikuwa miaka ya 2016-7
 
S

Shambulio la Israel limetulizwa kwa asilimia 100 la iran lilipiga shabaa zote waisrael ni wapumbavu mimi Nilidhani watafanya kitu cha maana kumbe ni ushuzi wa ccm..
Haya ni maoni Yako na sio uhalisia kilichotokea Israel, kama una ushahidi wa uharibifu weka hapa
 
Mabeberu hawakutaka Tanzania iwe na bwawa la umeme, sgr lakini Magufuli aliwanyoosha na leo hakuna mgao wa umeme.

Magufuli kiboko ya mazezeta
Mabeberu bado wanaendelea kutujengea vyoo vya shule ili waalimu na wanafunzi wasijisaidie vichakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…