Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

huo usomi mbona unausizitiza sana utafikiri dunia nzima kasoma yeye peke yake au alikuletea malalamiko
kwenye angle yote hiyo umeona usomi tu siyo?ma kanjanja mnaharibu sana tasnia ya habari ,matter of the fact is, mlishaiua ile jiheshimuni bana
 
Huyo senzo aliyepitia michakato yote Leo yupo wapi?
 
mkuu kashfa kashfa hata kupitia mitandao ya kijamii zinatufikia kama umeamua kukemea zungumzia na kotekote kwenye radio na mitandao na shauri vyombo husika
 
mkuu kashfa kashfa hata kupitia mitandao ya kijamii zinatufikia kama umeamua kukemea zungumzia na kotekote kwenye radio na mitandao na shauri vyombo husika
basi nimeanza na radio we deal na za social media,kuna haja gani ya kuwa na waandishi wenye vyeti na weledi wana microphones wanasikilizwa wanajiita media personalities halafu wanaropoka upumbavu usio na tofauti na majuma ndala ndefu mwenye katecno chake huku madongo kuinama?
 
hahaha
 
wale walitumia mafumbo hata ukiwashtaki sijui kama utawakuta na kosa lolote
nazishtaki nafsi zao ,wanajua wenyewe walichokifanya hata kama wamechukua fungu la kuidhalilisha simba wawe na mipaka basi
Hizo hela wale tu lakini wazile kwa mpangilio siyo kwa style kama ya leo asubuhi hapo Efm ,hakuna atakayewashtaki ndiyo maana angalizo kubwa nililotoa hapa ni viongozi wa simba wahakikishe wanampa ulinzi barbra maana kuna siku atafanyiwa shambulio la aibu hadharani kama la Esther matiko au mke wa lowassa

na ma pervets yatashangilia kwelikweli huku maknjanja yakifanyia utani redioni

hii ndiyo hali halisi tusidanganyane tushafikia hapo na huu uzi ume prove hilo hata wewe ninayekujibu siku ukisikia CEO kashikwa makalio hadharani utafurahia na kusema haina shida ni pisikali au utasikia simba washikwa makalio na makanjanja yako ya redioni yatafurahia kwa vicheko
Hopeless kabisa
 
Laiti Barbara angekua na sura ya kazi kama ya Ndalichako au Mama Makinda angepewa heshima. Wanawake warembo hawapewi heshima wanayostahili hasa sehemu za kazi.
Kuna mambo ni zaidi ya Mpira, heshima ya mtu ni zaidi ya Simba na Yanga. Tumeunganishwa na utu wetu licha ya Tofauti zetu nyingi. Natumai Simba na hata waandishi wa habari watakemea suala hili kwa uzito unaostahili.
 
Kuna mambo ni zaidi ya Mpira, heshima ya mtu ni zaidi ya Simba na Yanga. Tumeunganishwa na utu wetu licha ya Tofauti zetu nyingi. Natumai Simba na hata waandishi wa habari watakemea suala hili kwa uzito unaostahili.
mkuu tulipofika hali siyo hiyo tena kuna watu kwenye media haswa watangazaji na wandishi wa wa print media kwa miaka mitatu ya simba ku dominate hii ligi wamekuwa na kinyongo kikali sana
nilipotoa angalizo kwamba simba wampe ulinzi barbra sitanii kuna siku atadhalilishwa hadharani hawataamini na itageuka kuwa topic ya utani kwa haya makanjanja ya redioni.
Comments nyingi tu za huu uzi zinanishangaa nalalamika nini,hapo tu unaweza kuona tatizo la jamii kumdharau mwanamke
 
Kwani usomi ni kitu gani mzee si ni maharifa tu alibert eansten aliwahi kusema akili ni uwezo alionao mtu bila kuhusisha maarifa ya darasan

Kuna watu katika jamii wana elimu lakin uwezo mdogo kiakili

Pia kuna watu hawana elimu ila uwezo mkubwa wa kufikili na kupambanua mambo

Watu wenye akili walikaa chini wakavumbua elimu lkn kilichoanz ni akili

I dislike races usiclassfy watu kwa ku2mia kigezo cha kisomo
 
hukunielewa,kuan watu wanaamini kwamba barbra ni demu wa Mo kawekwa pale kama favour na hajui anachokifanya ,sasa ukichanganyia na issue ya mkude tangu juzi maneno yako mtandaoni ya kutosha haswa kwenye groups za wanayanga
Nimejaribu ku point out kwamba Barbra kasoma ana exposure na mambo ya business kitu mabacho ndicho cha muhimu kwa CEO yeyote hayuko pale kama technical director sijawahi kusikia hao watangazaji wa Efm wakimuita Ceo wa chelsea Marina Granovskaia kwamba ni pisi kali hizi ni dharau tu kwa barbra ndiyo maana nikasisitiza hata kama wamechukua fungu la wale jamaa kui demonise simba wamtunzie heshima dada wa watu au kama wana mabeef na Mo asiwe colatteral damage
Hata Mrisho gambo akiwa dc huko Tanga alishawahi kushtakiwa kwa kudhalilisha wanawake kusema wana degree za chupi wamepata kazi kwa kulalwa ni tatizo kubwa sana comments za huu uzi zimedhihirisha hilo
Umesahau Regina lowassa alivyotomaswa makalio kuna watu walishangilia kisa mme wake alikuwa chadema kipindi hiko?na esther matiko je?dole la makalio lile?
Naonya mapema tu sababu kuna siku CEO wetu yatamkuta haya katika jamii hii iliyojaa ma pervets
 
Nimekuelewa vyema mkuu
 
GSM wamemwaga hela sana kwenye media zote kuivuruga Simba

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
weka evidences hapa otherwise hii ni moja ya hoja mnayomezeshwa na mikia wenzenu.

Huwa mnasema Yanga hawana hela sasa hiyo hela ya kumwaga kwenye media si bora waeekeze kwenye maboresho ya kikosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…