Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

hukunielewa,kuan watu wanaamini kwamba barbra ni demu wa Mo kawekwa pale kama favour na hajui anachokifanya ,sasa ukichanganyia na issue ya mkude tangu juzi maneno yako mtandaoni ya kutosha haswa kwenye groups za wanayanga
Nimejaribu ku point out kwamba Barbra kasoma ana exposure na mambo ya business kitu mabacho ndicho cha muhimu kwa CEO yeyote hayuko pale kama technical director sijawahi kusikia hao watangazaji wa Efm wakimuita Ceo wa chelsea Marina Granovskaia kwamba ni pisi kali hizi ni dharau tu kwa barbra ndiyo maana nikasisitiza hata kama wamechukua fungu la wale jamaa kui demonise simba wamtunzie heshima dada wa watu au kama wana mabeef na Mo asiwe colatteral damage
Hata Mrisho gambo akiwa dc huko Tanga alishawahi kushtakiwa kwa kudhalilisha wanawake kusema wana degree za chupi wamepata kazi kwa kulalwa ni tatizo kubwa sana comments za huu uzi zimedhihirisha hilo
Umesahau Regina lowassa alivyotomaswa makalio kuna watu walishangilia kisa mme wake alikuwa chadema kipindi hiko?na esther matiko je?dole la makalio lile?
Naonya mapema tu sababu kuna siku CEO wetu yatamkuta haya katika jamii hii iliyojaa ma pervets
Nimekuelewa vyema mkuu
 
weka evidences hapa otherwise hii ni moja ya hoja mnayomezeshwa na mikia wenzenu.

Huwa mnasema Yanga hawana hela sasa hiyo hela ya kumwaga kwenye media si bora waeekeze kwenye maboresho ya kikosi.
yanga hawana hela GSM wana hela nyingi sana toka wakiwa wanajiita home shopping centre
 
Kuna issue ya mchezaji Jonas mkude kusimamishwa na team yake ya simba kwa utovu wa nidhamu, sababu haijatajwa hadi leo.

Lakini kama kawaida ya mambo ya mtandao kuna speculations ikawa inasema MKUDE ALIMTONGOZA CEO WA SIMBA aitwaye Barbra Gonzalez

Huwezi epuka maneno kama hayo mtandaoni lakini dakika 3 zilizopita kwenye kipindi cha sports headquarters amcho bado kipo hewani kina Francis mhando na imma kapanga wamefanya JAMBO LA KISHENZI SANA, naomba ninukuu.

"Nasikia Mkude kakitokea chombo cha fundi, si unajua ni pisi kali ile" aisee kwanza ni dharau sana kwa wanawake wanachokionyesha hawa jamaa sana kwa wanawake. Na hapo wakisema chombo cha fundi wanamaanisha Mo Dewji

Tunajua kuna kampeni kubwa sana ya kuivuruga Simba kupitia media na it is well organised, ila makanjanja kuweni na heshima, Barbra siyo pisi kali ni mwanamke msomi na mchapakazi

Ukisikia mfumo dume ndiyo huu sasa wa jamii yetu, Barbra Gonzalez haangaliwi usomi wake na uchapakazi wake anaangaliwa kama chombo cha starehe na urembo wake ndiyo unamponza zaidi.

Shame on you Efm sikutaraji kusikia ujinga huo redioni
Hapana shida vyombo vyetu vya habari vinatoa hajira kwa wasio na fani
 
Hivi nafasi ya CEO aliipataje?

Kazi ilitangazwa?

Qualifications zilikuwa zipi?

Kuna applicants wengine aliopambana nao?

Unadhani selection yake iliangalia nini ukilinganisha na interviewees wengine (kama walikuwepo)?

Ukiyajibu hayo maswali, utaelewa kwamba hiyo nafasi kaipata kwa sababu ya yeye kuwa na ukaribu na Fundi.

Simba walikuwa very unprofessional kwenye recruitment ya hiyo post ya CEO, na haya ndiyo matokeo yake.
Tatizo nyie profesheno maneno meeengi ila mfukoni hamna kitu, sasa simba waache kumsikiliza anaewasaidia wakusikilize wewe unaefanya mambo kiprofesheno? Utakuwa ni ujinga wa kiwango cha SGR
 
Tatizo nyie profesheno maneno meeengi ila mfukoni hamna kitu, sasa simba waache kumsikiliza anaewasaidia wakusikilize wewe unaefanya mambo kiprofesheno? Utakuwa ni ujinga wa kiwango cha SGR
nakuhakikishia leo Mo akisema anapumzika mwezi wasaidie kuendesha team watakimbiana hapa,yanga walijaribu kupitisha bakuli wanakumbuka kilichowapata hawana hamu ya kurudi huko tena,
Hawa watu wakiona team inasafiri kwa ndege wachezaji wanatunzwa vizuri wanafurahia tu ila .....
 
Tatizo nyie profesheno maneno meeengi ila mfukoni hamna kitu, sasa simba waache kumsikiliza anaewasaidia wakusikilize wewe unaefanya mambo kiprofesheno? Utakuwa ni ujinga wa kiwango cha SGR

Sasa ndo hapo tajiri kaleta demu wake awe CEO, kila atakayemtongoza amebeba kesi.
 
NDIYO MAANA NIMEWAKUMBUSHA KUNA "PISI KALI MKUU WILAYA"kigogo huwa anasema ni CHOMBO YA FUNDI siyo mbaya wakarusha na hayo maneno hapo EFM.

Sasa redio kubwa kama ile inakuwa kama watoto wadogo bana unaokota uchafu wa mtandaoni unauleta redioni kweli?dah ndo maana mwakyembe alikuw anakazania hawa watu wakasome ethics za utangazaji.
Tatizo la waandishi 'uchwara'.
 
Mbona jamaa wametumia tafsida aisee? Yaani wewe kusema chombo ya fundi ukajua ni Mwamedi!
 
Mbona jamaa wametumia tafsida aisee? Yaani wewe kusema chombo ya fundi ukajua ni Mwamedi!
fumbo mfumbie mjinga mkuu wameokota maneno ya kwenye mitandao haswa ma group ya yanga wakayapeleka redioni kama yalivyo huku wakicheka kwa kebehi tena baada ya imma kapanga kusema anapokea meseji za mashabiki wa yanga kwenye social media nasimu yake wakitaka aendelee kurusha mawe kwa simba wakaibuka na hilo hapohapo
Mwakyembe angeendelea na cheo haya makanjanja angeyasafisha kabisa
 
Kelele zako zote ni sababu ya Simba wala sio Barbra, kwani ni wanawake wangapi wanadhalilishwa hata kwenye jamii inayokuzunguka na hukuifungulia uzi hapa?

Au hakuna dada yake aliye-date na mwanaume alafu hakuolewa nae? Au unahisi huo sio udhalilishaji?

Utapoteza nguvu nyingi kumtetea mtu ambaye level aliyoko kuna gape kubwa sana mpka ulipo ww.
Nimependa comment yako,huko mtaani wanawake wangapi ameshawatetea[emoji23][emoji23]
 
Nilijua wamesema Malaya wa muddy?
haina muda mrefu Barbra watamuita malaya it's just a matter of time,kwenye kampeni mwenyekiti wa ccm wilaya ya tarime alimuita Esther matiko. ni malaya hadi wanawake wa ccm waliokuwepo walishangilia ,matiko huyohuyo alipigwa dole la makalio na askari polisi watu wakashangilia
Hapa tu kuna comments zinashangilia na kuna wanawake wanasapoti hata redioni EFM leo asubuhi walipomuita pisi kali walikuwa wanacheka kwa kebehi
 
insaikitisha sana hayo mambo kupelekwa redioni kigogo kila siku twitter anaongea kuhusu DC fulani kwamba ni kina fulani lakini hawasemi redioni au wanaogopa?kuna mengine ni ya kuyaacha mtandaoni sababu mitandao ni vurugu kubwa kama kilabu cha pombe ila kwenye redio tena inayosikika mikoa mingi kuongea upuuzi kama huo?

YAANI CEO WA SIMBA ANAITWA PISI KALI CHOMBO YA FUNDI?(MO DEWJI) anyway fani yenyewe ya uandishi wa habari ishakuwa takataka siku hizi
Umejuaje huyo Babra ndio pisi kali na huyo fundi ndio Mo Dewji..na hicho chombo (pisi kali) inahusiana vipi na huyo Fundi?

Hapo naona ninyi ndio mnaleta tafsiri zenu mnataja na majina ya watu halafu mnasingizia redio
 
Hivi nafasi ya CEO aliipataje?

Kazi ilitangazwa?

Qualifications zilikuwa zipi?

Kuna applicants wengine aliopambana nao?

Unadhani selection yake iliangalia nini ukilinganisha na interviewees wengine (kama walikuwepo)?

Ukiyajibu hayo maswali, utaelewa kwamba hiyo nafasi kaipata kwa sababu ya yeye kuwa na ukaribu na Fundi.

Simba walikuwa very unprofessional kwenye recruitment ya hiyo post ya CEO, na haya ndiyo matokeo yake.
Kati ya simba na we we nani ni mpumbuvu? Hili jambo lilishazungumzwa bado maswaswa kama were mnajifanya mnaakili kubwa lkn mkifuatiliwa had I Leo unalala kwa baba ako , kula kwa baba ako ,unajua hapa duniani in kutongoza tu.
 
Kati ya simba na we we nani ni mpumbuvu? Hili jambo lilishazungumzwa bado maswaswa kama were mnajifanya mnaakili kubwa lkn mkifuatiliwa had I Leo unalala kwa baba ako , kula kwa baba ako ,unajua hapa duniani in kutongoza tu.

Jifunze kuandika mkuu, kumbe ule mtongozo niliokutongoza nao uliuelewa!

I take that as a compliment.
 
Back
Top Bottom