Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

Ina maana mwanamke kutongozwa ni dharau au ni wewe ndie unamdharau Mkude kwa kumuona hana hadhi ya kumtongoza Barbara?

Mo Dewji ni fundi wa nini?! Sio kocha wala mchezaji! Sio Engineer wala Technician! Sasa ufundi wa Mo unatoka wapi?

Ina maana kwako Pisi Kali ni mwanamke asiyeenda shule na mvivu mvivu; ama?

Kwani hao akina Hando wamehoji uwezo wa Barbara kuongoza Simba au wamezungumzia suala la Barbara kutokewa na Mkude? Tangu lini mwanamke kutongozwa ikawa ni mfumo dume?!

Hakika njaa kali hatari manake ulivyotoa povu utadhani ni wewe ndie umetongozwa!
[emoji38][emoji1787][emoji23][emoji28]
 
Kuna issue ya mchezaji Jonas mkude kusimamishwa na team yake ya simba kwa utovu wa nidhamu, sababu haijatajwa hadi leo.

Lakini kama kawaida ya mambo ya mtandao kuna speculations ikawa inasema MKUDE ALIMTONGOZA CEO WA SIMBA aitwaye Barbra Gonzalez

Huwezi epuka maneno kama hayo mtandaoni lakini dakika 3 zilizopita kwenye kipindi cha sports headquarters amcho bado kipo hewani kina Francis mhando na imma kapanga wamefanya JAMBO LA KISHENZI SANA, naomba ninukuu.

"Nasikia Mkude kakitokea chombo cha fundi, si unajua ni pisi kali ile" aisee kwanza ni dharau sana kwa wanawake wanachokionyesha hawa jamaa sana kwa wanawake. Na hapo wakisema chombo cha fundi wanamaanisha Mo Dewji

Tunajua kuna kampeni kubwa sana ya kuivuruga Simba kupitia media na it is well organised, ila makanjanja kuweni na heshima, Barbra siyo pisi kali ni mwanamke msomi na mchapakazi

Ukisikia mfumo dume ndiyo huu sasa wa jamii yetu, Barbra Gonzalez haangaliwi usomi wake na uchapakazi wake anaangaliwa kama chombo cha starehe na urembo wake ndiyo unamponza zaidi.

Shame on you Efm sikutaraji kusikia ujinga huo redioni
Nina mitazamo kadhaa kuhusu Wewe Ndugu...

1. Una uelewa mdogo
2. Unapenda Kukurupuka
3. Ni Mbea na mpenda Majungu
4. Mnafiki
5. Muongo ( Mwongo )

Siko upande wa Mchezaji Mkude au CEO Gonzalez kwani wote hawa ni Watu wawili ambao wana Majukumu yao tofauti ya Kiutendaji. Nilichokishangaa mno Kwako ni kusema kuwa CEO Gonzalez ni Msomi na Mchapakazi hivyo hawezi Kutongozwa na Kutombwa vile vile. Kwahiyo unataka Kutuaminisha kuwa Wanawake Wasomi, Matajiri na Maarufu hawatombwi na Wanaume wa Kawaida tu hapa duniani?

Nina data ( taarifa ) za kutosha tu kuhusu huyo CEO wako Gonzalez na Mwekezaji Mo Dewji ( tena za Kibinafsi kabisa ) ila kwa leo nawastahi wote.
 
kanywe chai kwanza halafu usome mara mbili ulichokiandika
 
Ina maana mwanamke kutongozwa ni dharau au ni wewe ndie unamdharau Mkude kwa kumuona hana hadhi ya kumtongoza Barbara?

Mo Dewji ni fundi wa nini?! Sio kocha wala mchezaji! Sio Engineer wala Technician! Sasa ufundi wa Mo unatoka wapi?

Ina maana kwako Pisi Kali ni mwanamke asiyeenda shule na mvivu mvivu; ama?

Kwani hao akina Hando wamehoji uwezo wa Barbara kuongoza Simba au wamezungumzia suala la Barbara kutokewa na Mkude? Tangu lini mwanamke kutongozwa ikawa ni mfumo dume?!

Hakika njaa kali hatari manake ulivyotoa povu utadhani ni wewe ndie umetongozwa!
😀😀😀😀📌📌🔨
 
Nina mitazamo kadhaa kuhusu Wewe Ndugu...

1. Una uelewa mdogo
2. Unapenda Kukurupuka
3. Ni Mbea na mpenda Majungu
4. Mnafiki
5. Muongo ( Mwongo )

Siko upande wa Mchezaji Mkude au CEO Gonzalez kwani wote hawa ni Watu wawili ambao wana Majukumu yao tofauti ya Kiutendaji. Nilichokishangaa mno Kwako ni kusema kuwa CEO Gonzalez ni Msomi na Mchapakazi hivyo hawezi Kutongozwa na Kutombwa vile vile. Kwahiyo unataka Kutuaminisha kuwa Wanawake Wasomi, Matajiri na Maarufu hawatombwi na Wanaume wa Kawaida tu hapa duniani?

Nina data ( taarifa ) za kutosha tu kuhusu huyo CEO wako Gonzalez na Mwekezaji Mo Dewji ( tena za Kibinafsi kabisa ) ila kwa leo nawastahi wote.
yaani hata ukileta video wanabanduana kama mauno ya Rashid Gwajima who cares,si ni mambo ya mtandao hayo?kumbe hata point yangu hujaelewa?KULIKUWA NA ULAZIMA GANI WA EFM KUPELEKA SPECULATIONS ZA MTANDAONI REDIONI?
Ushasema unawastahi sasa na mimi ninchotaka hapa ni EFM siku nyingine wawe wanamstahi Babra kama kiongozi wa simba msomi na mchapakazi siyo kumchukulia kama pisi kali ya kuifanyia mizaha kisa ni wana utopolo
 
Nimeshamaliza hapo kila Kitu hivyo Kazi Kwako tu Kuyatafakari kwani bado hujachelewa kama ukiwa tayari Kubadilika ili ueleweke na Werevu JF.
wewe mwaga mambo ya Mo na barbra leta vitu bwana si mtandao?weka na videos kabisa,unaona sawa redio kama EFM kuchukua matakataka ya mtandao kuweka pale?
kuna issue ya jama mkubwa azam na yanga wanageuzwa na wanaume wenzao lini EFM watalisema?kuna ma sponsor wana kashfa ya kuuza pembe za ndovu,madawa ya kulevya na kukwepa kodi,kudhulumu viwanja na mauaji lini EFM watasema hayo?
Kama ni kuokoteza takataka za mtandaoni ni style yao mpya basi shwari tu
 
Kuna issue ya mchezaji Jonas mkude kusimamishwa na team yake ya simba kwa utovu wa nidhamu, sababu haijatajwa hadi leo.

Lakini kama kawaida ya mambo ya mtandao kuna speculations ikawa inasema MKUDE ALIMTONGOZA CEO WA SIMBA aitwaye Barbra Gonzalez

Huwezi epuka maneno kama hayo mtandaoni lakini dakika 3 zilizopita kwenye kipindi cha sports headquarters amcho bado kipo hewani kina Francis mhando na imma kapanga wamefanya JAMBO LA KISHENZI SANA, naomba ninukuu.

"Nasikia Mkude kakitokea chombo cha fundi, si unajua ni pisi kali ile" aisee kwanza ni dharau sana kwa wanawake wanachokionyesha hawa jamaa sana kwa wanawake. Na hapo wakisema chombo cha fundi wanamaanisha Mo Dewji

Tunajua kuna kampeni kubwa sana ya kuivuruga Simba kupitia media na it is well organised, ila makanjanja kuweni na heshima, Barbra siyo pisi kali ni mwanamke msomi na mchapakazi

Ukisikia mfumo dume ndiyo huu sasa wa jamii yetu, Barbra Gonzalez haangaliwi usomi wake na uchapakazi wake anaangaliwa kama chombo cha starehe na urembo wake ndiyo unamponza zaidi.

Shame on you Efm sikutaraji kusikia ujinga huo redioni
Wote Imma Kapanga na Francis Mhando si watangazaji wa maana, inabidi waende tu kwenye redio za kitoto kama Wasafi au hizi za redio mbao....hawafai kabisa kwani hawana weledi wa utangazaji.
 
walichokifanya jana ni utoto sana na hata kwenye huu uzi nahisi wapo wakijaribu kunionyesha kwamba nime post ujinga na mimi nawakumbusha tu kwamba kuna wadau wakubwa azam na yanga wana tuhuma za ushoga,kuna sponsors wakubwa wa team kubwa wana kashfa za mauaji ukwepaji kodi na kuuza madawa ya kulevya yote hayo unayakuta mitandanoni
Sababu ni utaratibu mpya wa Efm kuokoteza makorokocho ya mtandaoni basi naamini watayarusha na hayo huku wakitumia tafsida kama walivyosifiwa na baadhi ya watu
 
Wale vijana wako very stupid kwa kweli. Si wewe tu uliyelalamika haya hata huko mitaani watu wengi wanawachukia hawa watoto. Hili ndilo tatizo la kuokoteza vijana mtaani bila kujali weledi na kuwapa kazi ya utangazaji. Kuna kina Steve Nyerere, Kingwendu, Mpoki pia, jamaa wako useless mpaka wanakera. Yaani mtu anaongea upuuzi usio na kichwa cha habari wala nini eti watangazaji wanasifia na kucheka wakiwa redioni. Viogozi wa EFM mjitathmini kwa kweli, mnaboa watu wanaojiheshimu na hawa watangazaji wenu.
 
Kuna issue ya mchezaji Jonas mkude kusimamishwa na team yake ya simba kwa utovu wa nidhamu, sababu haijatajwa hadi leo.

Lakini kama kawaida ya mambo ya mtandao kuna speculations ikawa inasema MKUDE ALIMTONGOZA CEO WA SIMBA aitwaye Barbra Gonzalez

Huwezi epuka maneno kama hayo mtandaoni lakini dakika 3 zilizopita kwenye kipindi cha sports headquarters amcho bado kipo hewani kina Francis mhando na imma kapanga wamefanya JAMBO LA KISHENZI SANA, naomba ninukuu.

"Nasikia Mkude kakitokea chombo cha fundi, si unajua ni pisi kali ile" aisee kwanza ni dharau sana kwa wanawake wanachokionyesha hawa jamaa sana kwa wanawake. Na hapo wakisema chombo cha fundi wanamaanisha Mo Dewji

Tunajua kuna kampeni kubwa sana ya kuivuruga Simba kupitia media na it is well organised, ila makanjanja kuweni na heshima, Barbra siyo pisi kali ni mwanamke msomi na mchapakazi

Ukisikia mfumo dume ndiyo huu sasa wa jamii yetu, Barbra Gonzalez haangaliwi usomi wake na uchapakazi wake anaangaliwa kama chombo cha starehe na urembo wake ndiyo unamponza zaidi.

Shame on you Efm sikutaraji kusikia ujinga huo redioni
Huyo CO wenu hajiheshimu,kuna clip zake anakata viuno......siwatetei iefuemu ila matendo yake ndiyo yanamuhukumu naye
 
fungu limetoka kubwa sana ku demonise simba kwa kila hali kwenye media za makanjanja mmekula hela lakini kuweni na mipaka MTUNZIENI BARBRA HESHIMA YAKE KAMA MWANAMKE MSOMI, msitengeneze mazingira ya nchi hii kwamba Mwanamke ni malaya na hawezi kushika cheo kikubwa bila kulalwa.
Tafuta clip zake ndiyo urudi hapa,yeye mwenyewe hajiheshimu inawezekana ndiyo maana wanamdhihaki......

Ila siungi mko udhalilishaji wa aina yoyote
 
wewe mwaga mambo ya Mo na barbra leta vitu bwana si mtandao?weka na videos kabisa,unaona sawa redio kama EFM kuchukua matakataka ya mtandao kuweka pale?
kuna issue ya jama mkubwa azam na yanga wanageuzwa na wanaume wenzao lini EFM watalisema?kuna ma sponsor wana kashfa ya kuuza pembe za ndovu,madawa ya kulevya na kukwepa kodi,kudhulumu viwanja na mauaji lini EFM watasema hayo?
Kama ni kuokoteza takataka za mtandaoni ni style yao mpya basi shwari tu
Nikisema kuwa una Utindio wa Ubongo uwe unakubali tu Ndugu sawa?
 
yaani hata ukileta video wanabanduana kama mauno ya Rashid Gwajima who cares,si ni mambo ya mtandao hayo?kumbe hata point yangu hujaelewa?KULIKUWA NA ULAZIMA GANI WA EFM KUPELEKA SPECULATIONS ZA MTANDAONI REDIONI?
Ushasema unawastahi sasa na mimi ninchotaka hapa ni EFM siku nyingine wawe wanamstahi Babra kama kiongozi wa simba msomi na mchapakazi siyo kumchukulia kama pisi kali ya kuifanyia mizaha kisa ni wana utopolo
Ficha Ujuha wako tafadhali.
 
Ficha Ujuha wako tafadhali.
nawasikitikia sana kuigeuza redio yenu kijiwe cha kuongelea upuuzi wa ma group ya whatsapp huku mkijifanya mnatukana kwa tafsida, wapuuzi wakubwa nyie
Mwakyembe alikuwa sahihi kupambana na makanjanja yanayookotana mtaani nakupeana kazi
 
Halafu ni kwanini Suala la Mo Dewji kuhisiwa kuwa anamtia CEO Gonzalez limekuuma sana? au na Wewe unataka Ukandamizwe nao na Tajiri Mo?
 
Back
Top Bottom