Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

Ni kina nani hao,naona majina mageni tupu.barbra Gonzalez,kapanga,mo dewi,mkude na kadhalika
 
Kuna issue ya mchezaji Jonas mkude kusimamishwa na team yake ya simba kwa utovu wa nidhamu, sababu haijatajwa hadi leo.

Lakini kama kawaida ya mambo ya mtandao kuna speculations ikawa inasema MKUDE ALIMTONGOZA CEO WA SIMBA aitwaye Barbra Gonzalez

Huwezi epuka maneno kama hayo mtandaoni lakini dakika 3 zilizopita kwenye kipindi cha sports headquarters amcho bado kipo hewani kina Francis mhando na imma kapanga wamefanya JAMBO LA KISHENZI SANA, naomba ninukuu.

"Nasikia Mkude kakitokea chombo cha fundi, si unajua ni pisi kali ile" aisee kwanza ni dharau sana kwa wanawake wanachokionyesha hawa jamaa sana kwa wanawake. Na hapo wakisema chombo cha fundi wanamaanisha Mo Dewji

Tunajua kuna kampeni kubwa sana ya kuivuruga Simba kupitia media na it is well organised, ila makanjanja kuweni na heshima, Barbra siyo pisi kali ni mwanamke msomi na mchapakazi

Ukisikia mfumo dume ndiyo huu sasa wa jamii yetu, Barbra Gonzalez haangaliwi usomi wake na uchapakazi wake anaangaliwa kama chombo cha starehe na urembo wake ndiyo unamponza zaidi.

Shame on you Efm sikutaraji kusikia ujinga huo redioni
We jamaa unakwama wapi? Kwani mtu akisema chombo cha fundi maana yake Ni Babra?Kwani mwanamke msomi hawezi kuwa pisi kali? Wewe ndo umedhalilisha kwa tafsiri zako .
 
Ina maana mwanamke kutongozwa ni dharau au ni wewe ndie unamdharau Mkude kwa kumuona hana hadhi ya kumtongoza Barbara?

Mo Dewji ni fundi wa nini?! Sio kocha wala mchezaji! Sio Engineer wala Technician! Sasa ufundi wa Mo unatoka wapi?

Ina maana kwako Pisi Kali ni mwanamke asiyeenda shule na mvivu mvivu; ama?

Kwani hao akina Hando wamehoji uwezo wa Barbara kuongoza Simba au wamezungumzia suala la Barbara kutokewa na Mkude? Tangu lini mwanamke kutongozwa ikawa ni mfumo dume?!

Hakika njaa kali hatari manake ulivyotoa povu utadhani ni wewe ndie umetongozwa!
Kumtongoza Boss ni kosa
 
Simba na Yanga zilitakiwa ziwe blueprint ya advanced soccer management, lakini mambo wanayoyafanya ni ya kizamani sana.

Labda wanaofaidika na huu utaratibu mbovu wanasumbua kurasimisha.

Mo hajamaliza part yake, isipokuwa amebadilika kuwa mdhamini wa timu, akitoa hela kwa ajili ya uendeshaji wa timu huku akipata nafasi ya kutangaza bidhaa zake.

In short-run, haina shida maana timu inapata matokeo, kitu ambacho wote kama washabiki tunahitaji.

In long-run, Simba tuko pabaya kwa sababu muda wowote akiamua anaweza kusitisha kufanya hivyo kwa sababu yoyote ile, hapo tutahangaika sana. Wakati kama angekuwa aliweka mzigo, sisi tungekuwa kwenye stronghold tofauti na sasa.

Mo katushika, anaweza kuamua chochote ndani ya Simba na hakuna kubisha.
Aisee

Safari ni ndefu mkuu, bado
 
Back
Top Bottom