Shame on some Tanzanians in this Forum celebrating the Terror Attack

Pole sana Msapere na wakenya wote kwa janga kubwa na gumu lililotokea Riverside. Wala usipoteze nguvu nyingi kuangalia nani anafurahia ujahili huo, iwe Kenya, Tz au popote duniani. Tupeleke nguvu zetu, misaada na sala zetu kwa waliodhurika kwenye shambulio hilo. Hao wanaofanya huo unyama wapo kila mahali na wanao watu wanawasaidia au kuwashabikia kutokana na itikadi au misimamo yao. Na wengi wanaowashabikia na hata kuwasaidia ni Wakenya zaidi. Hiyo haina maana kuwa Kenya yote au Wakenya wote wanafurahia au kuunga mkono ushetani huo.

Basi tuwe watulivu, tuwe wamoja ili kwa pamoja tuweze kuwashinda maadui zetu ambao tayari wapo miongoni mwetu sisi wenyewe.

Mungu ibariki Kenya, Mungu iponye Kenya, Mungu ibariki Afrika Mashariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madhaifu ya kijeshi ya nchi za Afrika yanafanana. Kama mtu anafurahi kuona askari/ wanajeshi wa Kenya walihenyeshwa na hao watu wachache same could happen kwa UG, TZ.

Magaidi hawaji Tz siyo kwa vile wanatuogopa ila kwakua hawana sababu ya kuja.

Pengine Tzians baadhi hawajui hilo.
 
Kinachotufanya tuwachukie, wewe na nani?
 
Too late for that now.
Mi nasema hao Shabab wamalizwe tu once and for all!
Unahisi Kenya wakijitoa Shabab ndo wataondoka?

Kitu ambacho wengi bado tunabugi ni kuona shabaab kama big deal wakati maadui nyuma yao ndio maadui haswa,
Vita hii haiwezi kuisha kwa kushambulia shabaab tu, ni lazima hizi Agenda za Siri nyuma ya Pazia, (kwa mfano wafadhili wa Shabab) zifuatiliwe kiundani ndio tupate suruhisho,
Hata mimi nashauri kenya waondoe wanajeshi Somalia
 
Nakemea kwa nguvu zote na kijana wa CCM atakayefurahia mambo hayo atafukuzwa uanachama mara moja

 

Pengine ungekuwa umefikiria vizuri zaidi ungesema ni namna gani Somalia Inaweza simama tena,
Kumbuka yanayotokea Somalia hayana Tofauti sana na yale ya Syria, Nigeria, Libya Congo nk, kuna sababu lukuki za kwanini somalia haipaswi kusimama.
Kuna Maslahi ya watu mapana kwenye hizo vita.
 
Hahaha tatizo la ugaidi haunaga mipaka. Ni kama nazi moja iliyooza kwenye gunia lazima uozo usambae.
Na hivi tulivo na waislam wengi naskia tayari vijana wetu wanaenda kutumika huko Somalia na wengine Msumbiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msapere ndio kawaida ya baadhi yao, wenzao wameshakueleza, hao wenye roho nyeusi utawajua kwa rangi zao. Sijasikia hata siku moja mkenya yeyote akifurahia misiba au vifo vinapotokea kwa majirani zetu. Acha mimi nitizame haya yote 'positively'. Hongera wakenya wenzangu, kwa utu, ukomavu na uelewa wenu wa kila mara. Mungu alibariki taifa letu tukufu la Kenya.
 
Unajua kwa nini walipeleka wanajeshi wao kule in the first place? Wakiwatoa watarudi kulekule walikotoka. Rejea pre kibaki times na hali ya usalama especially kwa meli zilizokuwa zinakuja Mombasa.
 
We nawe ufiche ukilaza wako
Ccm inaingiaje kwenye mada hii
Wewe huwafahamu vizuri hawa wakenya
Ukitoa ushauri kinzani naawazo yao hapo mbaya
Tatizo lao nimajisifu
nihawa hawa kutwa husema JWTZ inauliwa na mapanga Congo
Hilo kweli lipo sahihi!!
Tumewaeleza Wakenya wa Jf waache ujinga wakufurahia Marekani kutanua kambi yao Kenya bila kujua wale wana yao na sio kwafaida ya mkenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…