Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,740
- 3,548
Upelelezi kuhusu nini tena hapo?!Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA) imemkamata mfanyabiashara, Abdul Nsebo maarufu Abdukandida na mkewe, Shamim Mwasha kwa tuhuma ya kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroin.
Wanandoa hao wanadaiwa kukutwa na dawa hizo zenye uzito wa zaidi ya gramu 400 nyumbani kwao Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa operesheni wa DCEA, Luteni Kanali Fredrick Milanzi amelieleza Mwananchi kuwa, watuhumiwa hao walikamatwa Mei Mosi mwaka huu.
Amesema kukamatwa kwa Nsebo na mkewe kumekuja baada ya kukamatwa kwa mtandao mkubwa wa dawa hizo hivi karibuni.
Amesema maofisa wa DCEA baada ya kupata taarifa walienda nyumbani kwa watuhumiwa hao na kufanya upekuzi na kubaini mfuko ukiwa na dawa hizo za kulevya na nyingine zilikutwa katika siti ya nyuma ya gari.
"Tulifanya upekuzi kuanzia saa 8:00 usiku hadi saa 1:00 asubuhi na tulizibaini dawa hizo zikiwa zimefichwa na matokeo ya awali kutoka kwa Mkemia Mkuu wa Serikali yameonyesha ni dawa za kulevya aina ya heroin.”
“Vitu vingine tulivyomkuta navyo ni simu tano, kadi za benki, hati ya kusafiria pamoja na nyaraka mbalimbali ambavyo vyote tumevichukua,” amesema Luteni Kanali Milanzi
Amesema watuhumiwa hao wana mtandao mkubwa wa kimataifa na kwamba wana majina ya watu wanaoshirikiana nao kutoka nchi mbalimbali ikiwamo Brazil.
Amesema wawili hao bado wanashikiliwa na upelelezi ukikamilika watafikishwa mahakamani.
Mama yake yuko ndani na siku ile emba anakamatwa sisi tulikuwa pembeni tunakunywa pombehuu msimu kupata mdhamana tu ni msala hasa kwa dili hizo na uhujumu uchumi
Namkumbuka mwanangu Emba bortion
Mjini kuna mengi!Jamaa nasikia alikuwaga na vikundi vingi sana vya ujambazi yeye na Tibai-namibia
Hili bus gani mkuu zuri sana[emoji3531]Dah nliskia huo mshindo muda tu
Ngoja nkingia dar maana hapa nasubiria basi lijae!
Ova
View attachment 1088099
Sisi wenyewe tuliambiwa tutulie tusiguse sim Dah si unajua wajanja wa kusoma mchezo tukashtuka kuwa hapa ni ambush wanapigwa mtuhuu msimu kupata mdhamana tu ni msala hasa kwa dili hizo na uhujumu uchumi
Namkumbuka mwanangu Emba bortion
Omary Mahita huyu tunayeambiwa kuwa ni raia mwema?Mahita alikuwa anawaambia kabisa kuwa ishakuwa mbaya. Mara nyingine naskia aliwatafutia zengwe na kuwamaliza na ushahidi wote unaishia. Na hapo ni baada ya baadhi ya wakubwa kuanza kulalamikia ujambazi wake nk.
Kesho kwa mungu tutasema nn...View attachment 1088077
we jamaa na uhakika ntakuwa nakumanya sjaanza Leo kuwa na wasiwasi na ID yako salute sanaMama yake yuko ndani na siku ile emba anakamatwa sisi tulikuwa pembeni tunakunywa pombe
Emba ndy alimponza mama yake
Mama alingilia kuzuia emba asidakwe
Ndy varaganti ikatokea
Mama na mwana wote wakangolewa
Sisi tulitulia tuli tunaendelea na kinywaji
Walipigwa sana mama na mtoto
Ila kuna watu wakasema sijui nani alishuka kutoa amri wakamatwe lkn syo kweli
Ule mchezo mwanzo mwisho tulkuwepo
Na wiki nzima walikuwa wanafatiliwa
Ndomana pale saloon kuna mpaka madem walikuwa wanajifanya Kuja Sukari kmbe wanawasoma tu
So mama na mtoto wako ndani mpaka sahv
Ova
Kwanini wasitoke ikiwa watatoa kisu kirefu?Ila msala wanao maana kutoka sahv ngumu
Na jela maisha watapata tabu sna mpaka azoeee kazi wanayo
Ova
M nilkuja kujua kesho yake asubuh hiyo SKU nlkuwa viloba sanaSisi wenyewe tuliambiwa tutulie tusiguse sim Dah si unajua wajanja wa kusoma mchezo tukashtuka kuwa hapa ni ambush wanapigwa mtu
Ova
Emba bortion ndo nani tena?Mama yake yuko ndani na siku ile emba anakamatwa sisi tulikuwa pembeni tunakunywa pombe
Emba ndy alimponza mama yake
Mama alingilia kuzuia emba asidakwe
Ndy varaganti ikatokea
Mama na mwana wote wakangolewa
Sisi tulitulia tuli tunaendelea na kinywaji
Walipigwa sana mama na mtoto
Ila kuna watu wakasema sijui nani alishuka kutoa amri wakamatwe lkn syo kweli
Ule mchezo mwanzo mwisho tulkuwepo
Na wiki nzima walikuwa wanafatiliwa
Ndomana pale saloon kuna mpaka madem walikuwa wanajifanya Kuja Sukari kmbe wanawasoma tu
So mama na mtoto wako ndani mpaka sahv
Ova
Kila mchuma janga hula na wakwezeHuyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.
Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.
Hamna si unajua ukiwa mzee wa resi nyingiwe jamaa na uhakika ntakuwa nakumanya sjaanza Leo kuwa na wasiwasi na ID yako salute sana
Sure!Show me your friends,I Will tell who you are !!!!@
Hivi ni madizini au midizini?Bungo iko kama unaelekea forest
Unaingia kulia barabara ya kwenda midizini
Ova
Dogo mmoja mtoto wa remina mama yake alikuwa famous sana KinoEmba bortion ndo nani tena?
Sisi wenyewe tuliambiwa tutulie tusiguse sim Dah si unajua wajanja wa kusoma mchezo tukashtuka kuwa hapa ni ambush wanapigwa mtu
Ova