Mm nlikuwepo pale kuanzia saa tisa issue ikatokea saa mbili usiku hadi saa nneM nilkuja kujua kesho yake asubuh hiyo SKU nlkuwa viloba sana
True mkuu awamu hii sio yakimchezo mchezo hao wanaweza kutoka but watasota sanaHamna si unajua ukiwa mzee wa resi nyingi
Lazima ukutane na matukiooo mjini
Mbona sahv ndomana resi za mituko tume punguza maana kukutana na majanga kawaida tu
Ova
NomaMpaka uwe karibu ya tukio...lazima ulikuwa ba scanner[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sema jamaa alianza kuwindwa kitambo usela mwingi nao ni msalaMm nlikuwepo pale kuanzia saa tisa issue ikatokea saa mbili usiku hadi saa nne
Waliblock mtaa wote haingii mtu hatoki mtu
Sisi wazee walitukuta tuko bize na kilaji tu
Ila walipigika maana mama mtu alikuwa anajbu shit alijua wale wale wazee wa obay kumbe kitengo maalum
Watu walitumwa kwa kazi maalumu
Ndy hadi wazee wazima tukambiwa tutulie Tuendeleee na yetu
Ova
Wamekaa ndani sanaTrue mkuu awamu hii sio yakimchezo mchezo hao wanaweza kutoka but watasota sana
Ukweli mtupu!Uwongo ..tu magumashi bado yanaendelea ...unacho kiona tu ni kwamba goli limehama " ..... wanaopiga magumashi hivi sasa na wale waliokuwa kwenye system ya magumashi zamani ni chui na paka ..so hawa wapiga deal wa sasa kwakuwa wao ndio wapo kwenye system huwa wana amua kuwachoma wapiga deal wazamani ambao system imewabwaga ..ili ionekane kuwa serikali inapiga kazi ....shtuka aise
Mpuz yule dogosema jamaa alianza kuwindwa kitambo usela mwingi nao ni msala
no mkuu life la watoto wengi Wa kino lipo hivo na makundi ingawa wengi wametoboa kwa mfumo huoMpuz yule dogo
Mama alimuendekeza sana
Ova
Huu uchawi upo sana Kongo!Hahahaaaaa uchawi upo aiseeee...nashukuru sana nilitamani niyajue haya.
Na wengi wamekuwa majunkino mkuu life la watoto wengi Wa kino lipo hivo na makundi ingawa wengi wametoboa kwa mfumo huo
😀Omary Mahita huyu tunayeambiwa kuwa ni raia mwema?
hahahaNa wengi wamekuwa majunki
Ova
Dunia ina mambo mengi sana ya siri!Nakumbuka mwaka nadhani 2014 km sikosei nilihudhuria tafrija ya ndoa yao pale Mlimani City, licha ya kuwa ilikuwa ndo ile awamu ya Rais kipenzi cha wengi (JK) lkn mambo waliyofanya mle ndani ni zaidi ya matusi.
Hakukuwa na Zawadi ya in kind, hata hiyo cash ilikuwani Dollar mwanzo mwisho, nadhani wasiotoa zawadi walikuwa kina sie, Majority walikuwa drug dealers nilim-note mmoja wa Morogoro, But kina Kinje walikuwepo pia kwa kifupi hakukuwa na kuchangishana sn nilisikia jamaa alifanya kila kitu mwenyewe.
Walevi walikoma, walafi wa misosi hawatasahau pia.
MC alikuwa Gadner, live band alikuwa Jide wakati Disco ilikuwa chini ya DJ Peter moe, u can imagine how the ceremony was?
Kumbe matusi yoote yale ni issue za kuharibu watoto wa wenzao, Aisee let them go!!!
Kuwa bright darasani hakumaanishi utayaweza na mengine life ni mfumo tofauti na darasani unasoma kitabu kesho unaenda jibu mitihani maisha hayana pa kusoma ndipo ufanye nn watch outHalafu Shamimu was bright darasani tatizo lake ni hilo la udada wa mjini.
Mnapoelekea ni kulana tuGeorge nilimzidi class 1, alikuwa best angu! Wewe inawezekana tunafahamiana!
Pia,Paulo Matter-core siyo mtu wa kumuamini sana!Niliiona daahh ....ile ni aibu kubwa sana kwa kiongozi kuwa na marafiki wanaohusishwa na biashara haramu
Bongo bana .....wengine wanasema Emba alimtukana mwenye mkoa wake......!Hivi mwana amekula mvua ngapi?Mm nlikuwepo pale kuanzia saa tisa issue ikatokea saa mbili usiku hadi saa nne
Waliblock mtaa wote haingii mtu hatoki mtu
Sisi wazee walitukuta tuko bize na kilaji tu
Ila walipigika maana mama mtu alikuwa anajbu shit alijua wale wale wazee wa obay kumbe kitengo maalum
Watu walitumwa kwa kazi maalumu
Ndy hadi wazee wazima tukambiwa tutulie Tuendeleee na yetu
Ova