Ha ha haaaa Obagi.. umenikumbusha nimecheka sana.
Ikamvutia kuanzisha bootylicious sijui nini nayo ikamtokea puani akawa anakula pesa za watu mizigo hawipati.. insta alipoanza anza wakilalamika walikula block.. nayo ikafa.
Mange kaangaika sana .. labda siku moja atatoboa... kwa kupitia udaku anaouamini ndio kazi yake.. bila kusahau wivu🤣
Karibu kwangu.Kumbe upo Jirani hivi?Mimi naishi Mtamba-Matombo,baada ya hapo unafika Kangazi unapoelekea Mvuha kabla ya kufika Dutumi unapoelekea Kisaki.Yessss sasa Mwamvuta Makamba nimesoma nae darasa moja kpnd Mzee Makama RC Morogoro. Alikuwa dada mmoja simple sana ghafla mujii ukambadilisha hahahaaa mjini siji ng'ooooo acha nibaki Matombo.
Maisha yangu yote sijawahi kuona bangi,heroin wala cocaine. Hivi kati ya cocaine na heroin ipi ina bei zaidi?
Kuna loopholes nyingi za kuwatoa hawa watu ila watasota sana
Siku hizi kila anayedakwa ni 250gm ambayo ni maisha gerezani
Eeeh.. Mange mwenyewe akamwambia apeleke msosi central aone kama hajamkuta ShamimNiliona hiyo comment, akashushuliwa
Maisha yangu yote sijawahi kuona bangi,heroin wala cocaine. Hivi kati ya cocaine na heroin ipi ina bei zaidi?
Duuh...aiseee.....hahaha....huyu Mange huyu naeMara ya mwisho mange kuja bongo walikutana na Nsembo mahali, Nsembo akachomoa bastola katishia kumpiga Mange, Mange alikimbia mpaka polisi, akwa yuko mikono salama,, leo Mange akirudi akapata msala atathubutu kukimbilia polisi au ndio atakuwa kajipeleka? Maisha yanazunguka kuliko dunia jamani..
Ni zaid ya dealer hyu ni drugs king kabs gram mia nne karib nusu kilo hela ndefu sana tena hiyo pure aijaingia mtaani 200 mil ++ dah balaa
Mange acha zakoThe times have finally caught up with them.Walitesa sana enzi za JK. You could tell it from the lady's eyes she's a criminal. She has that mean, nasty look about her.
Ndio maana wanasema hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.Mafanikio ya binadamu yana siri kubwa sana nyuma ya pazia!
Acheni kumtia kila baya mume aliongeza mke wa pili bila makubalianoKila mchuma janga hula na wakweze
Sasa Mboni Masimba wewe unaweza mfanya mke mkuu ?Tena huyu mwanaume aliyemuoa inasemekana alikuwa mwanaume Mboni Masimba
So Shamimu akamzunguka shoga ake na kudate nae mpk kuoana
Km kawaida ushoga wa mjini kuzungukana
Swali zuli sana hili wajuvi watatueleza....Nashukuru sanaa kwa elimu hiii. Sijuwa najua kuwa kuna mfungaji nilijua huwa ziatoka hivyo hivyo kiwandani. Pale airport wanapopita mashine huwa hazitambui kuwa kuna mzigo tumboni? Maana naona kuna wanaokamatwa wengine wabahatika au ni sual la bahati nasibu?
2013Ni nani huyo.. Picha tafafhali
Matola mapunda mengi yanabeba kilo moja na kuendelea ujue maana hivyo vichenga vya 300 au 400gm ni hasara kwao jamaa ana logic sana kuuliza hilo swali nakumbuka hata kwa dogo wa magomeni walikamata 300 yaani supplier mkubwa wa Nchi za kusini wapate 300 gram tuu hata mimi napata mashaka...Hicho kipimo ndio uwezo wa punda wengi kumeza tumboni, elewa hao hawauzi kete kuna punda hapo lilandaliwa huo mzigo lije kumeza lipandishwe ndege lipelekeke sokoni.
Naam nikweli tajiri huwa hakai na mzigo kama hivyo nyumbani kwake ....hata punda huwa haendi kumezeshwa kwa tajiri ....huwa ni nadra sana
Huyu mdada nilikuwa namuona pale mwenge karibu na Nakiete kwenye boutique yake kumbe anatakatishia pesa paleHuyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.
Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.
wao walivyokuwa wanavipambania kuvipata UTAFIKIRI VINATOA PESA NA SI KUWEKA WEWE PESA.Naomba unieleweshe hapa..hivyo vibubu vyake vinatoa pesa?