Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Huyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.

Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.
Kabila letu hili kikubwa "PESA" hizi mambo za ustaarabu, utu, tupilia mbaliii aisee babangu.sisi ni PESA tu haijalishi zinatoka kwenye matambiko, kuua, kupakatwa na mwanaume mwezio, kuiba, rushwa, kamali, dhuluma hiyo hatujali. la kutokea ni ajali kazini, sisi ni pesa pesa ni sisi.
 
Hahhaha mkuu! Bora wewe uko magubike, hapa Nzihi ndo hatuna habari na hayo macocaine..vijana wanajipigia bamboo juice 24/7
Anaishi mbezi beach mi nakaa magubike? Mshahara 620.000 subject to deductions wambebe tu[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Da watoto masikini, mara zote wauza Unga na wake zao huwa wanaishia pabaya Sana, mke wa Hariri Kawa Chizi wa kufungwa kamba.
Nani yule l...ydia
Tena hkuna Mwanamke mpmbv kma yule
Yule alijingiza kwenye matumizi ila meli ilipokamata nanga Hali ilikuwa tete
Kutoka kukaa kwenye apartment ya $1000 kwa mwezi mpaka kukaa kwenye chumba kimoja na wenzake mwananyamala si mchezo
Kama unasema huyo mke wa husen anaitwa L alikuwa hafai hata kdg

Biashara ya ngada ipo siku utalipa tu
Kwa kwenda jela,kufa,kuingia kwenye matumiz mwenyewe

Ova
 
Hivi walienda kumsachi walienda na mjumbe au mwenyekiti wa mtaa hiyo saa nane ? Au sio lazima kuambatana nao hao ?
Ukiwa muuzaji na wanajua unauza ila wanakosa ushahidi kukumaliza
Sahv Wazee wanakjia na formation ya 4-4-2
Lazima ukaeee hiyo
Acha Waende wakaonje jela huko hata Pata markup huo mama acha akalale kwenye kilago......

Ova
 
Nani yule l...ydia
Tena hkuna Mwanamke mpmbv kma yule
Yule alijingiza kwenye matumizi ila meli ilipokamata nanga Hali ilikuwa tete
Kutoka kukaa kwenye apartment ya $1000 kwa mwezi mpaka kukaa kwenye chumba kimoja na wenzake mwananyamala si mchezo
Kama unasema huyo mke wa husen anaitwa L alikuwa hafai hata kdg

Biashara ya ngada ipo siku utalipa tu
Kwa kwenda jela,kufa,kuingia kwenye matumiz mwenyewe

Ova
Duhhhh
 
Back
Top Bottom