Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Huyo shamim si ndiyo alikuwa kutwa kuhojiwa sjui khsu mambo ya women empower Blh Blh kibao
Mara mjasiriamali anajifanya kuwapa wenzak elimu...yote ilikuwa zuga
Lazima siku ilikuwa anase ndicho Hicho kimewakuta
Acha washikishwe adabu maana walishaona mdebwedo kazi hyo

Ova
 
Yessss sasa Mwamvuta Makamba nimesoma nae darasa moja kpnd Mzee Makama RC Morogoro. Alikuwa dada mmoja simple sana ghafla mujii ukambadilisha hahahaaa mjini siji ng'ooooo acha nibaki Matombo.
Njo Tu dadangu ntakupokea mjini wala usiwe na hofu.
 
Makamanda wanakuja muda mbaya...SAA 8 usiku ni muda wa show huo....

Kweli serikali hailali.

Sidhani kama kisheria imekaa sawa, kuna muda maalumu wa kumpekua mtu, hilo zigo watasota kama mahabusu mpaka itakapoamuliwa vinginevyo, hapo utasikia tuu ushahidi haujakamilika na kesi haina dhamana acha wasote ndani wameua nguvu kazi ya nchi, japo nnawaonea huruma kwa kuwa ni watu ambao nnawajua kidogo
 
Lakini hapo mmoja wao anaweza akakana akasema huo mzigo sio wake na haujui , kesi ikabaki Kwa mmoja
Hivi Serikali ni kipofu???? Serikali inajua matendo ya Raia wake wote na wala awashindwi kukujua.Wanajua matapeli wote,wauza madawa,wanunua mali za wizi,etc...Raia mbele ya Serikali ni kama wale samaki wa Aqualium,una la kuficha...siku yako ikifika ,unanyakuliwa tu!! Hii awamu ya tano aijawai tokea na sijui kama itakuja kama hiii...Wauza unga wengi na wahalifu wapo ndani kwa sasa,wakiwemo hawa maharufu na wasio maharufu.utakataaje wakati wenzio wamekutaja??? Je kama yeye ndie aliempa yule binti wa kizungu aliekamatwa wiki chache zilizopita??? ikaja kuwa kwenye simu ya yule dada wa kizungu imeonekana walikuwa wanawasiliana?? ikaja wakakamatwa wale Wanaijeria wakakuta pia ushahidi wa kuwa pia walikuwa wanawasiliana nae...na pengine walikuta ata lile gari waliokuwa wanatumia wale Wanaijeria umiliki ni wakwake???? Utakataajae 400Grams hapo???.
kwa kifupi ni kuwa wengi wa Watanzania ni mazuzu....Kwingineko watu wanafanya hizi deal chafu...kutafuta mtaji ,then wanakuja anzisha biashara halali wanaa acha kabisa kabisa milele...Watanzania unakuta mtu anauza Madawa toka enzi ya Rais Mwinyi mpaka leo hii,anakuja julikana wapi aachi,siku ya siku ukishikwa Serikali inakuja na ushahidi juu yako mpaka unashangaa.Wameua vijana wengi,na ata kusababisha wengine kufungwa maisha huko nchi za nje...acha wapate malipo ya maovu yao...Mungu ibariki Tanzania
 
Sidhani kama kisheria imekaa sawa, kuna muda maalumu wa kumpekua mtu, hilo zigo watasota kama mahabusu mpaka itakapoamuliwa vinginevyo, hapo utasikia tuu ushahidi haujakamilika na kesi haina dhamana acha wasote ndani wameua nguvu kazi ya nchi, japo nnawaonea huruma kwa kuwa ni watu ambao nnawajua kidogo
kama vile akuna muda maalumu wa Wauza unga kuuza au kupokea huo Unga pia akuna muda maalumu wa Serikali kushughulikia ishu kama hizi na isitoshe Serikali aipangiwi muda wa kufanya kazi...Kwa Mungu miezi yote 12 ni Miezi ya haki....na sio Mwezi wa Ramadhani pekeee
 
Anaishi mbezi beach mi nakaa magubike? Mshahara 620.000 subject to deductions wambebe tu[emoji57][emoji57][emoji57]
Sijui ndio umeandika nini hapa......sometimes bora mtu ukae kimya usicomment chochote maana unaandika kitu hakieleweki unajaza tu nafasi ta comment.......
 
Nani yule l...ydia
Tena hkuna Mwanamke mpmbv kma yule
Yule alijingiza kwenye matumizi ila meli ilipokamata nanga Hali ilikuwa tete
Kutoka kukaa kwenye apartment ya $1000 kwa mwezi mpaka kukaa kwenye chumba kimoja na wenzake mwananyamala si mchezo
Kama unasema huyo mke wa husen anaitwa L alikuwa hafai hata kdg

Biashara ya ngada ipo siku utalipa tu
Kwa kwenda jela,kufa,kuingia kwenye matumiz mwenyewe

Ova
Nilimuonea huruma mno, alizoea kuchezea Pesa sasa zimekata yaani kawehuka vibaya walikuwa wakimfunga kamba wenyewe wanamsema.
 
Dogo Hamidu kakimbia kabisa hata ile nyumba yake alokuwa kapanga mitaa ya Garden kutwa kuipaka rangi akijifanya anatoa shombo la samaki kairudisha Aisee kimbunga hiki si cha nchi hii
 
Nilimuonea huruma mno, alizoea kuchezea Pesa sasa zimekata yaani kawehuka vibaya walikuwa wakimfunga kamba wenyewe wanamsema.
Mchimba kisima kaingia mwenyewe hiyo
Ila jeuri sana Alikuwa,Kuna siku alinijibu shit
Kuna sehemu mmoja nlikuwa naosha Gari si unajua tena ngalangala....akaja na audi
Akamuambia yule jamaa aliyekuwa ananioshea kuwa hivi mwenye hii Gari anakupa bei jamaa a Kam jibu 3000,L akamwambia achane nalo aoshe lke atampa
20000/ mm nlipomskia nkasemea mbovu L
Maana tayari wkt ule kichwani nlishavesha
L namjua kitamboo kbla hjawa na H...
Kwanza sura yke ngumu
Kuna siku sasa nlikutana naye Mico dispensary mwembejini kaletwa na bajaji hoi
Nilishamuona ana dalili ya Uteja nkamfata akawa ananikwepa....
Nlimindigi sana alifanya bday yke masaki mdg wake mmoja baunsa si alinikaribisha tukaenda na wana Kufika yeye kutuona akawambia jamaa sisi haturuhusiwi
Bday yke aliunguza mln 15 aliwalika wajinga jinga na wasanii
Sahv mamaee anaisoma #

Ova
 
Dogo Hamidu kakimbia kabisa hata ile nyumba yake alokuwa kapanga mitaa ya Garden kutwa kuipaka rangi akijifanya anatoa shombo la samaki kairudisha Aisee kimbunga hiki si cha nchi hii
Mdhamini wao si yule mtu mrefu
Yule ndy anawapa jeuri
Mtu mrefu mwenyewe alikimbia kwa madiba anakujaga kwa kujiiba bongo
Huyo dogo naye kipuz alikuwa anamtia emba ujinga tu
Sasa mama yuko ngome mtoto yuko ngome
Mama alijiona ana connection kubwa marafiki watamsaidia lkn jiiii

Ova
 
Back
Top Bottom