Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

....Msije tu wiki ijayo mkatuambia kumbe kilichokamatwa sio Heroin bali Unga wa Dengu bibie alikuwa anataka kumpikia mumewe visheti !! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa unga wa ugali ndiyo ufichwe kwenye siti ya nyuma ya gari? Shamimu kajilostisha mwenyewe kwa tamaa za kijinga, she knew jamaa alikuwa muuza madawa ya kulevya na muuwaji ila hilo hakujali alijali kuonekana mjini aking'aa huku akijiita mtoto wa Kiislam kwa kupotosha watu.
 
Halafu kwa nini hawa wanaokamatwa wanakutwa na kiasi cha Grams 300/400 tu?


Wenye makontena yao kina Kinje na Ridhiwani wamejificha huko South na hapa Bongo. Kama alivyosema mkuu wa upelelezi, ikiwa unajuwa kuna watu wanajihusisha na hii biashara haramu wapigie simu wafanye kazi, polisi inataka ushirikiano wetu. Mimi naanza kwa kuwataja Ridhiwani na Kinje.
 
Hivi Serikali ni kipofu???? Serikali inajua matendo ya Raia wake wote na wala awashindwi kukujua.Wanajua matapeli wote,wauza madawa,wanunua mali za wizi,etc...Raia mbele ya Serikali ni kama wale samaki wa Aqualium,una la kuficha...siku yako ikifika ,unanyakuliwa tu!! Hii awamu ya tano aijawai tokea na sijui kama itakuja kama hiii...Wauza unga wengi na wahalifu wapo ndani kwa sasa,wakiwemo hawa maharufu na wasio maharufu.utakataaje wakati wenzio wamekutaja??? Je kama yeye ndie aliempa yule binti wa kizungu aliekamatwa wiki chache zilizopita??? ikaja kuwa kwenye simu ya yule dada wa kizungu imeonekana walikuwa wanawasiliana?? ikaja wakakamatwa wale Wanaijeria wakakuta pia ushahidi wa kuwa pia walikuwa wanawasiliana nae...na pengine walikuta ata lile gari waliokuwa wanatumia wale Wanaijeria umiliki ni wakwake???? Utakataajae 400Grams hapo???.
kwa kifupi ni kuwa wengi wa Watanzania ni mazuzu....Kwingineko watu wanafanya hizi deal chafu...kutafuta mtaji ,then wanakuja anzisha biashara halali wanaa acha kabisa kabisa milele...Watanzania unakuta mtu anauza Madawa toka enzi ya Rais Mwinyi mpaka leo hii,anakuja julikana wapi aachi,siku ya siku ukishikwa Serikali inakuja na ushahidi juu yako mpaka unashangaa.Wameua vijana wengi,na ata kusababisha wengine kufungwa maisha huko nchi za nje...acha wapate malipo ya maovu yao...Mungu ibariki Tanzania
Asante mkuu umemaliza.
 
Nimesoma na Shamimu Bungo PS akiwa darasa la saba mimi nipo darasa la tano lkn pia nilimkuta Morogoro Sec. Ki ukweli ni dada anayependa mambo makubwa tangu akiwa shule ya msinhi. Sishangai kwa haya ninayo yasikia kumuhusu. Ni dada wa mujini hasaa tangu ajiwa binti mdogoo.

Tamaa za kijinga hizi. Unakuwa mtumwa wa tamaa mpaka unaangamiza watoto wa watu kwa madawa ya kulevya huku ukifunga ramadhani na kuomba Mungu akusamehe. Kayapata aliyokuwa anayatafuta.
 
Yessss sasa Mwamvuta Makamba nimesoma nae darasa moja kpnd Mzee Makama RC Morogoro. Alikuwa dada mmoja simple sana ghafla mujii ukambadilisha hahahaaa mjini siji ng'ooooo acha nibaki Matombo.

Matombo?

Unafanywaje huko?
 
Natamani siku nipate mtu anieleze haya madawa wanayamezaje mpaka hatua ya mwisho ya kuyatoa. Kpn yapo tumboni je wanaruhusiwa kula nk...

We si umesoma na Shamimu, kamtembelee pale Central atakupa mkanda wote. Au ukiona vipi mtafute Steve Nyerere atakupa habari zote, inasemekana ni yeye ndiye anawatafutia mapunda hapa mjini.
 
Back
Top Bottom