Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Mchimba kisima kaingia mwenyewe hiyo
Ila jeuri sana Alikuwa,Kuna siku alinijibu shit
Kuna sehemu mmoja nlikuwa naosha Gari si unajua tena ngalangala....akaja na audi
Akamuambia yule jamaa aliyekuwa ananioshea kuwa hivi mwenye hii Gari anakupa bei jamaa a Kam jibu 3000,L akamwambia achane nalo aoshe lke atampa
20000/ mm nlipomskia nkasemea mbovu L
Maana tayari wkt ule kichwani nlishavesha
L namjua kitamboo kbla hjawa na H...
Kwanza sura yke ngumu
Kuna siku sasa nlikutana naye Mico dispensary mwembejini kaletwa na bajaji hoi
Nilishamuona ana dalili ya Uteja nkamfata akawa ananikwepa....
Nlimindigi sana alifanya bday yke masaki mdg wake mmoja baunsa si alinikaribisha tukaenda na wana Kufika yeye kutuona akawambia jamaa sisi haturuhusiwi
Bday yke aliunguza mln 15 aliwalika wajinga jinga na wasanii
Sahv mamaee anaisoma #

Ova
Ila wauza Unga wote wako hivyo jeuri na ukatili, Nsembo nilikuwa namuogopa namuona mkatili mno Yale macho yake. Kabla hawajasombwa wote maana ni kama wameisha wote kwa kweli maskani yao ilikuwa jirani na nyumbani hivyo vituko jamani Kuna siku walimfungia jamaa kwenye buti mchana kutwa wakaliacha gari juani wa karudi usiku bado jamaa akagoma kuonyesha mzigo kaupeleka wapi wakaondoka nae mdogo wangu wakiume a kasema heri kuokota chupa kuliko hii biashara kwa kweli
 
Mdhamini wao si yule mtu mrefu
Yule ndy anawapa jeuri
Mtu mrefu mwenyewe alikimbia kwa madiba anakujaga kwa kujiiba bongo
Huyo dogo naye kipuz alikuwa anamtia emba ujinga tu
Sasa mama yuko ngome mtoto yuko ngome
Mama alijiona ana connection kubwa marafiki watamsaidia lkn jiiii

Ova
Mama aliiweka kana kwamba mtoto wake alikuwa na ugomvi na mtu fulani ndo anawafanyizia ila tunaowajua tunajisemea kwendeni huko mtupumzishe, sasa kumepoa na heshima ipo mahala pake kwa kweli.
 
Ila wauza Unga wote wako hivyo jeuri na ukatili, Nsembo nilikuwa namuogopa namuona mkatili mno Yale macho yake. Kabla hawajasombwa wote maana ni kama wameisha wote kwa kweli maskani yao ilikuwa jirani na nyumbani hivyo vituko jamani Kuna siku walimfungia jamaa kwenye buti mchana kutwa wakaliacha gari juani wa karudi usiku bado jamaa akagoma kuonyesha mzigo kaupeleka wapi wakaondoka nae mdogo wangu wakiume a kasema heri kuokota chupa kuliko hii biashara kwa kweli
Duh...wauza ngada Wana roho mbaya
Sema nsembo alijisahau alikuwa hajui kama wanamlia timing
Mke wake ndy alikuwa muongo kujifanya mjasiriamali na zile motivational talks
Kmbe watu wanaojua wanafaham ni mishe gani inampa hela.....
Acha wakanyee ndoo tu
Watoto zao watachukuliwa na ndg zao wawalele

Ndugu wenyewe wale wa Magomeni mhhh!
 
Mama aliiweka kana kwamba mtoto wake alikuwa na ugomvi na mtu fulani ndo anawafanyizia ila tunaowajua tunajisemea kwendeni huko mtupumzishe, sasa kumepoa na heshima ipo mahala pake kwa kweli.
Hakuna cha ugomvi wala nn ile ilikuwa operation maalum ya nyumba hadi nyumba
Wakija toka watakuwa na adabu

Sahv mambo yale syo kbsa kesi yke si mchezo...
Kuna jamaa nawajua waliachaga mambo hyo wakajikita kwenye kilimo muda tu watu wakawa wanawa diss sjui waoga Mara mafala kmbe waliusoma mchzo

Ova
 
Wewe umemuelewa?! Kama umemuelewa hebu nifafanulie alichomaanisha na comment yake isiyoeleweka!
Huyton mtu anazungumzia ulinganishi wa kipato cha jijini na kijijini. Huko magubike night kijijini na hiyo 620k ni mshahara. Then anamalizia na hayo madhara ya kipato.
 
Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA) imemkamata mfanyabiashara, Abdul Nsebo maarufu Abdukandida na mkewe, Shamim Mwasha kwa tuhuma ya kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroin.

Wanandoa hao wanadaiwa kukutwa na dawa hizo zenye uzito wa zaidi ya gramu 400 nyumbani kwao Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam.

Kamishna wa operesheni wa DCEA, Luteni Kanali Fredrick Milanzi amelieleza Mwananchi kuwa, watuhumiwa hao walikamatwa Mei Mosi mwaka huu.

Amesema kukamatwa kwa Nsebo na mkewe kumekuja baada ya kukamatwa kwa mtandao mkubwa wa dawa hizo hivi karibuni.

Amesema maofisa wa DCEA baada ya kupata taarifa walienda nyumbani kwa watuhumiwa hao na kufanya upekuzi na kubaini mfuko ukiwa na dawa hizo za kulevya na nyingine zilikutwa katika siti ya nyuma ya gari.

"Tulifanya upekuzi kuanzia saa 8:00 usiku hadi saa 1:00 asubuhi na tulizibaini dawa hizo zikiwa zimefichwa na matokeo ya awali kutoka kwa Mkemia Mkuu wa Serikali yameonyesha ni dawa za kulevya aina ya heroin.”

“Vitu vingine tulivyomkuta navyo ni simu tano, kadi za benki, hati ya kusafiria pamoja na nyaraka mbalimbali ambavyo vyote tumevichukua,” amesema Luteni Kanali Milanzi

Amesema watuhumiwa hao wana mtandao mkubwa wa kimataifa na kwamba wana majina ya watu wanaoshirikiana nao kutoka nchi mbalimbali ikiwamo Brazil.

Amesema wawili hao bado wanashikiliwa na upelelezi ukikamilika watafikishwa mahakamani.
strange
 
Huko instamadrama huyu sister alikuwa anawatesa kweli wenzake kujibana kuweka pesa kwenye kibubu anajifanya anatoa semina kuishi kwa kutumia kibubu kumbe buku mbili mbili za ngada.

haha! hapa mjini mambo ni mengi, tunakosa muda wa kuyadadisi tu...
 
Ila wauza Unga wote wako hivyo jeuri na ukatili, Nsembo nilikuwa namuogopa namuona mkatili mno Yale macho yake. Kabla hawajasombwa wote maana ni kama wameisha wote kwa kweli maskani yao ilikuwa jirani na nyumbani hivyo vituko jamani Kuna siku walimfungia jamaa kwenye buti mchana kutwa wakaliacha gari juani wa karudi usiku bado jamaa akagoma kuonyesha mzigo kaupeleka wapi wakaondoka nae mdogo wangu wakiume a kasema heri kuokota chupa kuliko hii biashara kwa kweli
hahaha unanikumbusha mbali sana hawa jamaa acha wanyee debe tu
 
Ujue alitaka zaidi. Na huku kwenye mtandao kweli kuna zaidi. Na kesho unaweza ukasikia yuko nje,kilichokamatwa sio unga uliotangazwa
ni ngumu mkemia wa serikali kadhibitisha ni Heroin
 
Back
Top Bottom