Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

....Msije tu wiki ijayo mkatuambia kumbe kilichokamatwa sio Heroin bali Unga wa Dengu bibie alikuwa anataka kumpikia mumewe visheti !! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa unga wa ugali ndiyo ufichwe kwenye siti ya nyuma ya gari? Shamimu kajilostisha mwenyewe kwa tamaa za kijinga, she knew jamaa alikuwa muuza madawa ya kulevya na muuwaji ila hilo hakujali alijali kuonekana mjini aking'aa huku akijiita mtoto wa Kiislam kwa kupotosha watu.
 
Halafu kwa nini hawa wanaokamatwa wanakutwa na kiasi cha Grams 300/400 tu?


Wenye makontena yao kina Kinje na Ridhiwani wamejificha huko South na hapa Bongo. Kama alivyosema mkuu wa upelelezi, ikiwa unajuwa kuna watu wanajihusisha na hii biashara haramu wapigie simu wafanye kazi, polisi inataka ushirikiano wetu. Mimi naanza kwa kuwataja Ridhiwani na Kinje.
 
Asante mkuu umemaliza.
 

Tamaa za kijinga hizi. Unakuwa mtumwa wa tamaa mpaka unaangamiza watoto wa watu kwa madawa ya kulevya huku ukifunga ramadhani na kuomba Mungu akusamehe. Kayapata aliyokuwa anayatafuta.
 
Yessss sasa Mwamvuta Makamba nimesoma nae darasa moja kpnd Mzee Makama RC Morogoro. Alikuwa dada mmoja simple sana ghafla mujii ukambadilisha hahahaaa mjini siji ng'ooooo acha nibaki Matombo.

Matombo?

Unafanywaje huko?
 
Natamani siku nipate mtu anieleze haya madawa wanayamezaje mpaka hatua ya mwisho ya kuyatoa. Kpn yapo tumboni je wanaruhusiwa kula nk...

We si umesoma na Shamimu, kamtembelee pale Central atakupa mkanda wote. Au ukiona vipi mtafute Steve Nyerere atakupa habari zote, inasemekana ni yeye ndiye anawatafutia mapunda hapa mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…