Nimesoma na Shamimu Bungo PS akiwa darasa la saba mimi nipo darasa la tano lkn pia nilimkuta Morogoro Sec. Ki ukweli ni dada anayependa mambo makubwa tangu akiwa shule ya msinhi. Sishangai kwa haya ninayo yasikia kumuhusu. Ni dada wa mujini hasaa tangu ajiwa binti mdogoo.
Na siamini kwa story zake za kuuza unga miaka yote hiyo angeweza kuweka unga ndani
muweke na rizmoko prince umo ...ilikuwa ni dream campus mkuu...Hiyo Shule ilikuwa imeenea !!
na inasemekana bashite ame monopolize hii biashara kutoka katika kufanywa kiholela na watu wengi mpaka kufanywa na watu wachache alionao karibu yeye mwenyewe. yaani sasa hivi wanaouza unga ni madoni wachache tu.Kamanda IGP na Mh. Rais.....hivi kwanini Bashite asichunguzwe naye kujihusisha na vijana wauza madawa ya kulevya? Hapa lazima kutakuwa na kitu tu, watu wengi sana wanamuhusiisha Bashite na hii biashara haramu.
Yessss sasa Mwamvuta Makamba nimesoma nae darasa moja kpnd Mzee Makama RC Morogoro. Alikuwa dada mmoja simple sana ghafla mujii ukambadilisha hahahaaa mjini siji ng'ooooo acha nibaki Matombo.
@mrangi kama kawaida...Mama yake yuko ndani na siku ile emba anakamatwa sisi tulikuwa pembeni tunakunywa pombe
Emba ndy alimponza mama yake
Mama alingilia kuzuia emba asidakwe
Ndy varaganti ikatokea
Mama na mwana wote wakangolewa
Sisi tulitulia tuli tunaendelea na kinywaji
Walipigwa sana mama na mtoto
Ila kuna watu wakasema sijui nani alishuka kutoa amri wakamatwe lkn syo kweli
Ule mchezo mwanzo mwisho tulkuwepo
Na wiki nzima walikuwa wanafatiliwa
Ndomana pale saloon kuna mpaka madem walikuwa wanajifanya Kuja Sukari kmbe wanawasoma tu
So mama na mtoto wako ndani mpaka sahv
Ova
[emoji90][emoji90]Now we know.
Huyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.
Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.
Kwa hali hiyo utazidi kuwa masikini mileleAnaishi mbezi beach mi nakaa magubike? Mshahara 620.000 subject to deductions wambebe tu[emoji57][emoji57][emoji57]
Jina lako linatafsiri Yale unayoyaongea kwa kweliSaf sana haya Mambo ndio napenda kuyasikia...chadema watapinga watasema anaonewa au serikali inataka kick
Umezoea habari mbaya na unazifurahia haswa sio kosa lako ndio ulivyolelewaSaf sana haya Mambo ndio napenda kuyasikia...chadema watapinga watasema anaonewa au serikali inataka kick
Huyo Shamim Ndiyo Yule Wa Clouds Mtangazaji Ama?Ndiyo raha ya maisha ya maigizo. Shamimu akitoka jela atarudia kuzungumza lugha yake ya nyumbani (Kiswahili) na kuishi maisha ya kawaida kama awali. Alikuwa fake mno.
Yaani mi nilikua nasema wenzetu wanaishije hapa mjini sisi wengine hatutoboi hata kidogo...!!!huyu Dada amejua kupoteza watuKumbe aliishi maisha ya maigizo huku akiwapiga changa la macho.
Wameumbuka vibaya mnooMnasemaga mange muongoo,haya sasa
OvaaaaMama yake yuko ndani na siku ile emba anakamatwa sisi tulikuwa pembeni tunakunywa pombe
Emba ndy alimponza mama yake
Mama alingilia kuzuia emba asidakwe
Ndy varaganti ikatokea
Mama na mwana wote wakangolewa
Sisi tulitulia tuli tunaendelea na kinywaji
Walipigwa sana mama na mtoto
Ila kuna watu wakasema sijui nani alishuka kutoa amri wakamatwe lkn syo kweli
Ule mchezo mwanzo mwisho tulkuwepo
Na wiki nzima walikuwa wanafatiliwa
Ndomana pale saloon kuna mpaka madem walikuwa wanajifanya Kuja Sukari kmbe wanawasoma tu
So mama na mtoto wako ndani mpaka sahv
Ova