steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Nimesoma na Shamimu Bungo PS akiwa darasa la saba mimi nipo darasa la tano lkn pia nilimkuta Morogoro Sec. Ki ukweli ni dada anayependa mambo makubwa tangu akiwa shule ya msinhi. Sishangai kwa haya ninayo yasikia kumuhusu. Ni dada wa mujini hasaa tangu ajiwa binti mdogoo.
Daah,kumbe wewe ni Bungo mate na Morosec mwenzangu pia?
Ulimaliza mwaka gani mkuu??