Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Nimesoma na Shamimu Bungo PS akiwa darasa la saba mimi nipo darasa la tano lkn pia nilimkuta Morogoro Sec. Ki ukweli ni dada anayependa mambo makubwa tangu akiwa shule ya msinhi. Sishangai kwa haya ninayo yasikia kumuhusu. Ni dada wa mujini hasaa tangu ajiwa binti mdogoo.

Daah,kumbe wewe ni Bungo mate na Morosec mwenzangu pia?

Ulimaliza mwaka gani mkuu??
 
Mamalaka ya kupambana na kuzuia dawa za kulevya imemtia nguvuni Abdulndinda na mkewe jijini dar wakiwa na heroin kilo kadhaa.
Hivi hawa jamaa hawajui hiyo biashara hailipi kwa sasa?
Ni bora pesa haramu waliopata wangeibadilishia biashara kuliko sasa wanafilisiwa hata walichokusanya,shit
 
Kamanda IGP na Mh. Rais.....hivi kwanini Bashite asichunguzwe naye kujihusisha na vijana wauza madawa ya kulevya? Hapa lazima kutakuwa na kitu tu, watu wengi sana wanamuhusiisha Bashite na hii biashara haramu.
na inasemekana bashite ame monopolize hii biashara kutoka katika kufanywa kiholela na watu wengi mpaka kufanywa na watu wachache alionao karibu yeye mwenyewe. yaani sasa hivi wanaouza unga ni madoni wachache tu.
 
Yessss sasa Mwamvuta Makamba nimesoma nae darasa moja kpnd Mzee Makama RC Morogoro. Alikuwa dada mmoja simple sana ghafla mujii ukambadilisha hahahaaa mjini siji ng'ooooo acha nibaki Matombo.

Aah,basi kama ulisoma na mwamvita ulikuwa mbele yng,mimi nilimaliza na mdogo wake darasa moja,Thuwein Makamba,enzi za ticha Achimpota, R. I. P to him,ticha bora kabisa wa hesabu za primary pale Moro,naye huyu Thuwein alikuwa dogo poa sana,hakuwa na makuu kabisaaa
 
Mama yake yuko ndani na siku ile emba anakamatwa sisi tulikuwa pembeni tunakunywa pombe
Emba ndy alimponza mama yake
Mama alingilia kuzuia emba asidakwe
Ndy varaganti ikatokea
Mama na mwana wote wakangolewa
Sisi tulitulia tuli tunaendelea na kinywaji
Walipigwa sana mama na mtoto
Ila kuna watu wakasema sijui nani alishuka kutoa amri wakamatwe lkn syo kweli
Ule mchezo mwanzo mwisho tulkuwepo
Na wiki nzima walikuwa wanafatiliwa
Ndomana pale saloon kuna mpaka madem walikuwa wanajifanya Kuja Sukari kmbe wanawasoma tu
So mama na mtoto wako ndani mpaka sahv

Ova
@mrangi kama kawaida...
 
Ndiyo raha ya maisha ya maigizo. Shamimu akitoka jela atarudia kuzungumza lugha yake ya nyumbani (Kiswahili) na kuishi maisha ya kawaida kama awali. Alikuwa fake mno.
Huyo Shamim Ndiyo Yule Wa Clouds Mtangazaji Ama?
 
Lbda ufaham jambo moja kuwa wanachofanya mamlaka wakiwa wanajua unauza unga hata kama ni Nairobi na sio dar na kila wakikutfta wanaona hawakupati basi wanakubambikia Mzigo. Ni kweli hao wahusika wanauza ngada lkn sio kupitia dar
 
Mama yake yuko ndani na siku ile emba anakamatwa sisi tulikuwa pembeni tunakunywa pombe
Emba ndy alimponza mama yake
Mama alingilia kuzuia emba asidakwe
Ndy varaganti ikatokea
Mama na mwana wote wakangolewa
Sisi tulitulia tuli tunaendelea na kinywaji
Walipigwa sana mama na mtoto
Ila kuna watu wakasema sijui nani alishuka kutoa amri wakamatwe lkn syo kweli
Ule mchezo mwanzo mwisho tulkuwepo
Na wiki nzima walikuwa wanafatiliwa
Ndomana pale saloon kuna mpaka madem walikuwa wanajifanya Kuja Sukari kmbe wanawasoma tu
So mama na mtoto wako ndani mpaka sahv

Ova
Ovaaaa
 
Back
Top Bottom