Ila bado nawaza tu ilikuaje akarudi kwenye biashara kama ni kweli alikamatwa. Maana watu walikua wanajua biashara yake siku nyingi na awamu hii bado akapata ujasiri wa kuweka mzigo ndani.lugumi..akawaepelekaga mbuga za wanyama yeye na mashosti zake kwa milioni kama 28 hivi kula bata ,mr akabaki kuwa mpole tu maana alikuwa kafulia mbaya
ohoooooMeanwhile in south africa, patner... rafiki wa Daud bashite wenyeji wamemchoka ...kifuatacho ITV ni......
View attachment 1088567
Wapo wanaodanganyika ujue. Wanajua kweli yale mafanikio ya watu wanayoyaona Instagram ni kweli watu wamehustle.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazushi tu wale watawadanganya watoto Wageni lbda
Ova
Sijui kawazingua niniMeanwhile in south africa, patner... rafiki wa Daud bashite wenyeji wamemchoka ...kifuatacho ITV ni......
View attachment 1088567
Sampuli mkuu nadhani.Halafu kwa nini hawa wanaokamatwa wanakutwa na kiasi cha Grams 300/400 tu?
Ndg yake madega huyu
Kuna biashara alikuwa anafanya link yke na watu fulani hko ndomana
Wanyamwezi wakamuweka kwenye blacklist
#tupotezeeee
Ova
Nlimkuta siku moja anawadanganya wauza matunda nje pale the Cruz,ohh ukipata 3000 weka bukuMwenyewe siku hizo hizo nilikutana nae 777 nikamuonyesha rafiki yangu umemuona mke wa kaka. Yani rafiki yangu alipanic kujua ndo mke wa Abdul. Akaanza kumsifia ooh she's hardworking, anaongea vizuri sijui nini. Kumbe angejuaaaa
Yule atakuwa ashausoma mchz kaona bora a mute lbda [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya mambo ni ya kuyaacha kama yalivyo. So far naona kinondoni na viunga vyake kwa sasa imetulia kwa kiasi fulani.
Hivi mbunge aliyekuwa supplier bado yupo katika game.?
wazulu wanaanza operesheni ya kitaa ku deal na wauza unga mitaani mwao,wanawataja mitandaoni na kama unavyoona rafiki yake "kiongozi mchukia rushwa,mpenda maadili" Daudi bashite naye yupo kweny listSijui kawazingua nini
Matola mapunda mengi yanabeba kilo moja na kuendelea ujue maana hivyo vichenga vya 300 au 400gm ni hasara kwao jamaa ana logic sana kuuliza hilo swali nakumbuka hata kwa dogo wa magomeni walikamata 300 yaani supplier mkubwa wa Nchi za kusini wapate 300 gram tuu hata mimi napata mashaka...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]Zamani walikuwa wanapekj kwenye mabegi, baada ya mashine kuja imekuwa ngumu, ila zile mashine hazina uwezo wa kuscan tumbo la binadamu, isitoshe ukishaingia kwenye network hii lazima uwajywe waganga wanaoujuwa uchawi haswa, unaweza kupita airport maafisa usalama wanakuona mzungu wakati ni mweusi tii, unatobowa tu.
Watu wanadanganywa sana. Kama huna exposure ukiwasikiliza unaamini uongo waoNlimkuta siku moja anawadanganya wauza matunda nje pale the Cruz,ohh ukipata 3000 weka buku
Sjui hata mm nlianzia mtaji wa laki moja leo Nna mamilion nkasema mama yngu Hawa motivation speakers sasa ni balaa
Kmbe yeye ana plan b
Ova
Nlimkuta siku moja anawadanganya wauza matunda nje pale the Cruz,ohh ukipata 3000 weka buku
Sjui hata mm nlianzia mtaji wa laki moja leo Nna mamilion nkasema mama yngu Hawa motivation speakers sasa ni balaa
Kmbe yeye ana plan b
Ova
Kuna couple moja nao wko mo twn [emoji23] [emoji23]Watu wanadanganywa sana. Kama huna exposure ukiwasikiliza unaamini uongo wao
Yule atakuwa ashausoma mchz kaona bora a mute lbda [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Ndg yake madega huyu
Kuna biashara alikuwa anafanya link yke na watu fulani hko ndomana
Wanyamwezi wakamuweka kwenye blacklist
#tupotezeeee
Ova
Kuna couple moja nao wko mo twn [emoji23] [emoji23]
Wao sjui lini yatawakuta!
Ngj tuishie hpa
Ova
Namjua huyu ..chawa wake ni vijana wa B.O.B ..kina nyandu na byserDogo mmoja mtoto wa remina mama yake alikuwa famous sana Kino
Alikuwa na saloon na mtu wa kwenda China kufata biashara za wanawake
Ova
HAhaa kwa kweliBonnie and Clyde.