Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Ila bado nawaza tu ilikuaje akarudi kwenye biashara kama ni kweli alikamatwa. Maana watu walikua wanajua biashara yake siku nyingi na awamu hii bado akapata ujasiri wa kuweka mzigo ndani.lugumi..akawaepelekaga mbuga za wanyama yeye na mashosti zake kwa milioni kama 28 hivi kula bata ,mr akabaki kuwa mpole tu maana alikuwa kafulia mbaya