Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

lugumi..akawaepelekaga mbuga za wanyama yeye na mashosti zake kwa milioni kama 28 hivi kula bata ,mr akabaki kuwa mpole tu maana alikuwa kafulia mbaya
Ila bado nawaza tu ilikuaje akarudi kwenye biashara kama ni kweli alikamatwa. Maana watu walikua wanajua biashara yake siku nyingi na awamu hii bado akapata ujasiri wa kuweka mzigo ndani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazushi tu wale watawadanganya watoto Wageni lbda

Ova
Wapo wanaodanganyika ujue. Wanajua kweli yale mafanikio ya watu wanayoyaona Instagram ni kweli watu wamehustle.
 
Ndg yake madega huyu
Kuna biashara alikuwa anafanya link yke na watu fulani hko ndomana
Wanyamwezi wakamuweka kwenye blacklist
#tupotezeeee

Ova

Haya mambo ni ya kuyaacha kama yalivyo. So far naona kinondoni na viunga vyake kwa sasa imetulia kwa kiasi fulani.

Hivi mbunge aliyekuwa supplier bado yupo katika game.?
 
Mwenyewe siku hizo hizo nilikutana nae 777 nikamuonyesha rafiki yangu umemuona mke wa kaka. Yani rafiki yangu alipanic kujua ndo mke wa Abdul. Akaanza kumsifia ooh she's hardworking, anaongea vizuri sijui nini. Kumbe angejuaaaa
Nlimkuta siku moja anawadanganya wauza matunda nje pale the Cruz,ohh ukipata 3000 weka buku
Sjui hata mm nlianzia mtaji wa laki moja leo Nna mamilion nkasema mama yngu Hawa motivation speakers sasa ni balaa
Kmbe yeye ana plan b

Ova
 
Hahaa hapana mkuu ...ila mimi nilikuwa raised kinondoni ..kwenye ile mitaa ambayo ni ghala la uuzwaji wa hayo mavitu ...so nafahamu Story 2..3. tu zinazo wahusu hao watu na hiyo biashara yao .....sio kwamba nafahamu Sana
Matola mapunda mengi yanabeba kilo moja na kuendelea ujue maana hivyo vichenga vya 300 au 400gm ni hasara kwao jamaa ana logic sana kuuliza hilo swali nakumbuka hata kwa dogo wa magomeni walikamata 300 yaani supplier mkubwa wa Nchi za kusini wapate 300 gram tuu hata mimi napata mashaka...
 
Zamani walikuwa wanapekj kwenye mabegi, baada ya mashine kuja imekuwa ngumu, ila zile mashine hazina uwezo wa kuscan tumbo la binadamu, isitoshe ukishaingia kwenye network hii lazima uwajywe waganga wanaoujuwa uchawi haswa, unaweza kupita airport maafisa usalama wanakuona mzungu wakati ni mweusi tii, unatobowa tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]
 
Nlimkuta siku moja anawadanganya wauza matunda nje pale the Cruz,ohh ukipata 3000 weka buku
Sjui hata mm nlianzia mtaji wa laki moja leo Nna mamilion nkasema mama yngu Hawa motivation speakers sasa ni balaa
Kmbe yeye ana plan b

Ova
Watu wanadanganywa sana. Kama huna exposure ukiwasikiliza unaamini uongo wao
 
Nlimkuta siku moja anawadanganya wauza matunda nje pale the Cruz,ohh ukipata 3000 weka buku
Sjui hata mm nlianzia mtaji wa laki moja leo Nna mamilion nkasema mama yngu Hawa motivation speakers sasa ni balaa
Kmbe yeye ana plan b

Ova

Kwa sasa hili ni moja ya tatizo Tanzania,
watu wengi waliofanikiwa wanadanganya jamii iamini wao ni hustlers nawametoka from zero kwa kupitia njia zilizo halali wakati uhalisia wake wengi wao ni wapigaji..
 
Maisha ya matajiri wengi na watu waliofanikiwa Tanzania hayana uhalisia, sometimes unaona bora Magu awanyooshe kwanza tukae sawa na kila mtu apambane kwa haki na kama upigaji usiwe wakuumiza wengine..

Kuanzia kule Bongo movie, Bongo fleva, media industry, kwenye siasa nk hakuna uhalisia kabisa ni mambo ya hovyo yenye kutia kinyaa na kupotosha jamii kwa kiasi kikubwa...KIJANA KUWA MAKINI NA WANAOJIITA WAMEFANIKIWA NA KUPENDA KUTOA USHAURI KWA WEMGINE..
 
Back
Top Bottom