Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Yule sista anamajibu ukiingia anga zake ni balaaa

Kuna mwanangu alizima akayumba akataka aanguke pale nje saloon yule ssta alipiga simu polis osterbay
Yule sista kiboko yake sisi tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpk akasema Nyie nimewanyooshea mikono
Tulikuwa tnakaa grocery mpk saa kumi usiku
Yeye alikuwa hpendi ashaitaa sana defender Olla mpk akachoka
Siku ya msala wake unatokea tupo pale
Alikuwa anaongea kama chiriku
Uzuri ukimjua mtu hakusumbui

Ova
 
Hahaaa...akakuovatake
 
Kwa mimi hii mara ya 3 nakutana matukio matatu tofauti wote wana Gram 400 hii kitu kuna sinema kubwa sana[emoji1607][emoji1607][emoji1607]
kwa Tanzania gram 400 na kuendelea unachukuliwa kama drug dealer.ukisoma ni kuwa wamekutwa na zaidi ya gram 400.Na sio gram 400 kamili.so wanasema ""mtuhumiwa amekamatwa na zaidi ya Gram 400 za madawa ya kulevya""
Kila nchi ina kiwango cha madawa ambapo ukikutwa nayo either unashtakiwa kama Mtumiaji wa madawa au unashtakiwa kama punda au muuzaji wa madawa,
unaweza soma hapa kwa maelezo na uwelewa zaidi
 
Nini sababu ya talaka yake?
Mange alimsaliti Mzungu na mshikaji mmoja hivi, sasa ilivuja email aliyokua anatuma kwa mwamvita,kuhusu mshikaji alivyo mtamu mpk akataka kumpa tigo...toka hapo ndoa haikua sawa akabeba mimba fasta ya Keanu bado mambo hayakua vzr...!!!mpk kajifungua si unajua wenzetu cheating ni kosa kubwa sanaaa!!!
 
Ukichanganya na mama mkwe hakuwahi kumpenda kwa kupenda kwake mambo makubwa
 
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…