Hivi ana shoga kweli zaidi ya Hamisa na lile sagajiHahaaa...wenziwe Walee wanatoboa tu na ndoa zao zinadumu yeye ameachika anabaki kuendeleza chuki!!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]Mange hapana kwa kweli hata mashoga zake wako nae kwa step
kumbe sister nawewe umo eeehHuyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.
Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.
Kipindi mwamvita amehamia kwenye ule mjengo alio tuaminisha ni wake, mange alikuwa anamsifia balaa, kutwa kurusha picha ya mjengo, bi dada mwamvita alirahi jamani, na hivi walikuwa wamegombana, haaa! aliandika huyo kumchamba mwamy hadi huruma..Ila mwamy nae nyumba ya hawara unafungua kwa swala na kaswida juu unalisha na wazazi ubwabwa, mjini kweli HARAMU mpaka uchi umegeuzwa kitega uchumi.Hahaaa...wenziwe Walee wanatoboa tu na ndoa zao zinadumu yeye ameachika anabaki kuendeleza chuki!!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]Mange hapana kwa kweli hata mashoga zake wako nae kwa step
Anajiita nani insta?Ukute mmesahau ujue!
IG huko wanamchamba kwenye page yake Mwasha anajifanya motivational speaker kumbe muuza ngada...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Haahaahaaa! Hamisa! umesahau alivyo wachamba Hamisa na mamake, eti mama Hamisa ni bogus kabisa, tena si mamake Hamisa bali rafiki, kisa Hamisa kaonesha bwana mpya, MANGE rafiki yake wa kweli ni nafsi yake tu.Hivi ana shoga kweli zaidi ya Hamisa na lile sagaji
Upanga ipi eneo ganiHuyo huyo wa upanga mama yao na kina samira
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Anajua akirudi kifuatacho.... Mamaake bado yupo na anavyojua kujishebedua. Kuna siku nilikuwa nae wakapita mateja wameiba boga sokoni akawa anajiongelesha nikamtizama huku najiambia si ndo wateja wa mwanao hao unadhani hili Bata unalo kula linatoka wapi waungishe boga Hilo.
Ilikuwa mwaka gani mkuu?Inasemekana walikuta ndani
Mbona siku hiyo tulikuwa pembeni na saloon yke kwenye kile ki grocery
Mama pale angetulia tu Sema alianza jibu shit....baada ya kuona wanataka mkamata mwanae ndpo alipochezea kichpo
Pale kulikuwa na wasanii fulani nao wakakogeshwa kwenye dimbwi hku wakiambiwa waigize [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sisi kama Kawa tulikuwa tunaendelea kupiga vyombo ila sim usishike no recording
Ova
Emba botion kwenye motion (katika sauti ya dògo hamidu a.k.a nyandū tozi) hivì dogo hamidu nae karara mbére au bado anasikirizia wazee mpaka wamjieEmba bortion na mama yake remina wauza ngada maarufu kino wamefichwana mamlaka kwa sasa. Hela za ngada dada alikuwa anapanda first class flights hizi front waliweka Saloon na kuuza ma lace wig back office au core business ilikuwa ni powderz. View attachment 1088675View attachment 1088680View attachment 1088681
Si anasemaga amelogwa?Hawa wa mama wa mjini sijui wengi yamewapata yapi ha ha nilimuona Dotnata mwaka jana mitaa ya Riverside karibia na nyumbani kwake dah amechoka mbaya
Inawezekana pia kama Sam Wa ukweli vileSi anasemaga amelogwa?
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]..Sana sana utakumbana na chuma ulete tuUkiwakuta wanaongelea mafanikio sasa utasema ngoja nichukue laki na Mimi nianze kazi ya vitumbua hutoboi ng'oo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umenikumbusha Nyandu Tozi na biashara yake ya samaki, sijui alikuwaga anawatupa wapi
Kuna mwingine kitaa eti ana stationary...ana ghorofa nne namuangaliaga tuHahaaa!!yaani hawa watu wanatupwagaaa kaaah!Mungu awalaani sana!
[emoji16][emoji16][emoji16]Nimesoma comments zote (zilizopita kabla ya hii comment yangu) katika uzi kwa mara ya kwanza hapa JF. Nilichogundua, uzi umetwaliwa na wataalam wenyewe wa haya mambo. Wanajua nani yuko wapi na afanya nini. Hata ukiandika P, wanajua P ni nani na anafanya nini!
Nadhani hapa anazungumziwa Abdul Fundikira ex mume wa Jack na sio Abdul nsemboBasi Abdul tabia yake ya kujificha kwenye ceiling body haijaanza juzi [emoji23][emoji23],huezi amin i wanasema Shamim alidanganya polisi kuwa mumewe ayupo,kupekua nyumba ndo wakamkuta darini lol,na kibaya zaidi hiyo sembe iliyokamatwa ilikua ndani ya gar ya bidada,dah shamim huyu fake sana na vibubu vyake ndio maana nilimpuuza[emoji20].Aombe tu Mungu atoke atakua amejifunza jela balaa.
Wachache?...hakuna hata mmojaWadada wa mjini siwaamini hata mmoja wengi wamepata pesa kishenzi na kichafu kwanza sasa hivi ndo nazidi kuwaona bure kabisaaaaa yaani mmegundua wachache sana ndo wamefanikiwa kwa uhalali
Itakuwa Mboni anachekelea huko[emoji16]Hakika waliomtoa tongo za macho ni kina Mboni na akamkomesha Mboni kwa kumuibia bwana ambaye ni Abdul sasa