MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 2,929
- 3,710
Enzi nipo mkoani nkajua Dogo hamidu ni MTU Wa front kumbe ye mwenyewe chawa tu Wa boya flani.Emba botion kwenye motion (katika sauti ya dògo hamidu a.k.a nyandū tozi) hivì dogo hamidu nae karara mbére au bado anasikirizia wazee mpaka wamjie
Biashara ya madawa bongo ikifanyika ujue kuna Baraka ya vigogo Wa serikali na ndio maana ikienda tofauti wanaenda okotwa kama panya vile.refer huyo Abdul eti drug lord unajificha kwenye ceiling board kama sio upuuzi ni nini si bora uache hiyo biashara haramu,unafanya biashara haramu alafu unakuwa mtumwa Wa vigogo flani serikalini.
Ukiachana na huko Mexico na Colombia,hapo south kwenyewe drug lord humsogelei kizembe,mpaka umpate ujue kuna damu zimemwagika,drug lord na serikali ni vitu viwili tofauti kabisa.drug lord ana jeshi lake kama waasi sasa ma drug lord Wa kibongo kutuchapia dada zetu na upuuzi upuuzi mwingine Wa kujiharibia maisha Tu yeye na familia yake