Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Emba botion kwenye motion (katika sauti ya dògo hamidu a.k.a nyandū tozi) hivì dogo hamidu nae karara mbére au bado anasikirizia wazee mpaka wamjie
Enzi nipo mkoani nkajua Dogo hamidu ni MTU Wa front kumbe ye mwenyewe chawa tu Wa boya flani.

Biashara ya madawa bongo ikifanyika ujue kuna Baraka ya vigogo Wa serikali na ndio maana ikienda tofauti wanaenda okotwa kama panya vile.refer huyo Abdul eti drug lord unajificha kwenye ceiling board kama sio upuuzi ni nini si bora uache hiyo biashara haramu,unafanya biashara haramu alafu unakuwa mtumwa Wa vigogo flani serikalini.

Ukiachana na huko Mexico na Colombia,hapo south kwenyewe drug lord humsogelei kizembe,mpaka umpate ujue kuna damu zimemwagika,drug lord na serikali ni vitu viwili tofauti kabisa.drug lord ana jeshi lake kama waasi sasa ma drug lord Wa kibongo kutuchapia dada zetu na upuuzi upuuzi mwingine Wa kujiharibia maisha Tu yeye na familia yake
 
1089269

1089274

Hawa watasimuliwa kizazi hadi kizazi mpaka ujio wa Massiah
 
Nimesoma na Shamimu Bungo PS akiwa darasa la saba mimi nipo darasa la tano lkn pia nilimkuta Morogoro Sec. Ki ukweli ni dada anayependa mambo makubwa tangu akiwa shule ya msinhi. Sishangai kwa haya ninayo yasikia kumuhusu. Ni dada wa mujini hasaa tangu ajiwa binti mdogoo.
Alizaliwa Moro sec mwaka gan?
 
Steve anafahamiana na hao wote kwajili ya kuwatafutia wanawake kwa mfano,Waziri Mkubwa hawezi kwenda kutongoza mdada wa Bongo movie au Bongo flavour night club so,anatumwa Steve kama fundi mitambo...kumbuka kuwa wanamuamini sana Steve kwa kuwa wapo nae kwenye chama dola!
😂😂😂😂😂😂 ati niniii?
 
Zeze aka Shamim Mwasha namkumbuka enzi za forum ya DarHotwire miaka ya 2004/2005. Funny how Mzee Mengi (owner of DarHotwire, an affiliate of IPPMEDIA) went down with this bi.tch on almost exactly the same day.
amazing
 
Yeye ndiyo muanzilishi wa vibubu challenge na akawa anauza hivyo vibubu vya chuma, sasa ili mtu usitamani kuchukua hela ilikua ukitaka unanunua kibubu unamuachia funguo maana zile funguo zina no...ikifika dec unaenda chukua funguo zako.
Hahaha unaonekana nawewe ni mmoja wa wafuasi wa kibubu! Mtafata funguo zenu selo! 😂😂😂
 
Ila wauza Unga wote wako hivyo jeuri na ukatili, Nsembo nilikuwa namuogopa namuona mkatili mno Yale macho yake. Kabla hawajasombwa wote maana ni kama wameisha wote kwa kweli maskani yao ilikuwa jirani na nyumbani hivyo vituko jamani Kuna siku walimfungia jamaa kwenye buti mchana kutwa wakaliacha gari juani wa karudi usiku bado jamaa akagoma kuonyesha mzigo kaupeleka wapi wakaondoka nae mdogo wangu wakiume a kasema heri kuokota chupa kuliko hii biashara kwa kweli
Jamaa ni mafia, na demu wake nae anaonekana kamanda sana...kama Bonie & Clyde, patners in crime!
 
Back
Top Bottom