Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,508
- 1,566
Usihuzunike, Nipo jirani na wewe mkuu.....mi naishi kiyegea...Anaishi mbezi beach mi nakaa magubike? Mshahara 620.000 subject to deductions wambebe tu[emoji57][emoji57][emoji57]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usihuzunike, Nipo jirani na wewe mkuu.....mi naishi kiyegea...Anaishi mbezi beach mi nakaa magubike? Mshahara 620.000 subject to deductions wambebe tu[emoji57][emoji57][emoji57]
Sasa Wastaarabu hawapendaki "show off"Tatizo watu wanaanza chini na nyie ila mkipata mnabadilika utafikiri sio mlioteseka pamoja..... ndiyo maana watu wanaamua kujilipua na madrug dealer kama hao.
Ila kwa hili Shamimu atakua anajuta sana alikua na mume mstaarabu sana mwanzo.
Yani i wish wanawake wangekaa kulielewa hili tu. Waathirika wakubwa wa kupenda makuu ni wanawake wa kimjini mjini wasiojua kutafuta kwa jasho ndio hawajuagi kuridhika. Yani ni ubishoo na kutaka makuu tu ndio maana vijana wanawakimbia wanaangukia kwa mababu au wauza unga maana mziki wa kuhudumia malaki si mchezo.Maisha ya mashindano ndo yanayotutesa wanawake. Mtu anataka aonekane na yeye baabkubwa. Tukijifunza kuridhika tutaishi kwa raha
Mstaarabu ila hakua na hela kama Abdul.....nadhani hiko kilichangia.Sasa Wastaarabu hawapendaki "show off"
wanapenda sana matanuzi wacha wakasote nao kutesa kwa zamuMadada wa mujini
Unajua it all depends na umeishi vipi na jamaa yako kipindi akiwa hana kitu. Unaweza kuwa umeanza nae chini ila ulikuwa unamnyanyasa throughout the journey. Mara sometimes umnyime sex...mara umkejeli... Wengine wanendaga mbali na kufanya usaliti juu! Kidume unavumilia tu ila ile chuki moyoni unakuta bado ipo tu, siku ukikamatia mpini lazma mwanamama aisome namba.Tatizo watu wanaanza chini na nyie ila mkipata mnabadilika utafikiri sio mlioteseka pamoja..... ndiyo maana watu wanaamua kujilipua na madrug dealer kama hao.
Ila kwa hili Shamimu atakua anajuta sana alikua na mume mstaarabu sana mwanzo.
Hahahaha, kwema kabisa kiongoziMzee baba habari yako kiongozi,
Mambo ya mjini hayo
Maisha ya mjini yanapumbaza sana, kuna watu wanaofanya vitu ambavyo wewe unaweza kuvifanya ila utashangaa hayo mafanikio mbona wewe huyapati kama wao.? Mji una balaa sana huu, mtu ni mtangazaji wa redio tu mshahara ni chini ya million ila anapush discovery 3 hahah! Katangaze wewe uone sasaMkuu yaani hapa mjini ukifuatilia maisha ya watu utajiuliza hivi nakwama wapi? Kiukweli Maisha mjini yako faster kuliko dunia yenyewe. Shortcut za mafanikio zinatutesa vijana wengi.
Hao akina SHAMIM na wenzake, it was just a matter of when NOT if. hakuna marefu yasiyo na mwisho. unajiuliza dada/kaka mshahara ni million moja (kabla ya makato), unataka weekend uwe Ramada na usukume Range au discovery. Utaweza wapi?
Mimi naamini hata JPM aondoke madarakani leo, Tanzania ya JK haitarudi tena. Vijana tupambane turidhike na kidogo tunachokipata huku tukipambana kuboresha Maisha yetu.
Maisha ya mkato ndo hayo ya akina Kitilya na mzee wa IPTL Rugemarila. Pesa ameiba za kutosha leo anaozea jela wakati pesa zinatafunwa na wengine. Dunia ina mengi jamani..khaa!
Victoire Shamimu kasoma arts HKl, maana alikuwa hawezi hesabu
Sasa ukiwaachia si watarudi ku revenge au unadhani wao hawajui nani kawachomea?Ulizia shikuba na chonji wana muda gani jela halafu ndio utajua kama na hawa watatoka hivi karibuni
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yani i wish wanawake wangekaa kulielewa hili tu. Waathirika wakubwa wa kupenda makuu ni wanawake wa kimjini mjini wasiojua kutafuta kwa jasho ndio hawajuagi kuridhika. Yani ni ubishoo na kutaka makuu tu ndio maana vijana wanawakimbia wanaangukia kwa mababu au wauza unga maana mziki wa kuhudumia malaki si mchezo.
Saloon nywele laki 3 au zaidi,pedicure ,manicure , Outing viwanja vya maana anywe pombe anazokunywa Uwoya, Umlipie apartment ya USD 800-1000 kwa mwezi na ununue simu kila toleo jipya la iphone likiingia tu mjini. Ye kazi yake kuangalia kim kardashian kavaa nini nayeye avae! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kukutanulia mapaja...kwa hali hio lazma uuze madawa tu hamna namna!
60% ya wadada waliokuwa wanafuata bidhaa china walikuw wanajiload plummer miaka ya nyuma. Nambua sidhani kama alikosa. Enzi hizo consolidator wa mizigo ya kutoka china alikuwa Muddy Mas.Mrangi heshima yako mkuu,
huyu Nambua au Casandra Cosmetics nahisi nae sio wale wale kweli namuona huko IG anamtetea Sana shamim Mwasha ingawa nilisha mhisi Kabla.
Ndio hapa zile habari zilizokuwapo muda mrefu kwamba mboni alikuwa punda zinaakisi watu aliokuwa na uhusiano naoSana tu ila watu walishajuwa habari zake kitambo na wengi walimweleza ukweli kuwa asijihusishe na Abdul ila kama unavyojuwa tena mademu wa kichagga kwa tamaa, hakutaka sikiliza wenzake akahamua kumpindua rafiki yake Mboni (alikuwa demu wa Abdul) na kisha kuchukuliwa yeye ili awe anahesabu hela haramu na kuendesha magari ya kifahari. Kajitakia mwenyewe, atajiju.
Maisha ya mjini yanapumbaza sana, kuna watu wanaofanya vitu ambavyo wewe unaweza kuvifanya ila utashangaa hayo mafanikio mbona wewe huyapati kama wao.? Mji una balaa sana huu, mtu ni mtangazaji wa redio tu mshahara ni chini ya million ila anapush discovery 3 hahah! Katangaze wewe uone sasa
Hakika hakuna kitakachobadilika, wanaodhani huu mfumo wa maisha ya sasa ni wa mpito hawana clue tu. This system of life is there to stay! Haturudi tena nyuma tujihimu tu kufanya shughuli halali vinginevyo tutaozea jela.
Tatizo watu wanaanza chini na nyie ila mkipata mnabadilika utafikiri sio mlioteseka pamoja..... ndiyo maana watu wanaamua kujilipua na madrug dealer kama hao.
Ila kwa hili Shamimu atakua anajuta sana alikua na mume mstaarabu sana mwanzo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] combination mupyaaaHKI = History, Kiswahili & Inglish?
60% ya wadada waliokuwa wanafuata bidhaa china walikuw wanajiload plummer miaka ya nyuma. Nambua sidhani kama alikosa. Enzi hizo consolidator wa mizigo ya kutoka china alikuwa Muddy Mas.
Nambua na Shamim wanishi kaya moja hapo mbezibeach nyuma ya shoppers na kaya hiyo ina madon zaidi ya 6 wa poda. Ndege wafananao ndio huruka pamoja.