Aise ni kweli Babaangu hata Masawe anajua.Kabila letu hili kikubwa "PESA" hizi mambo za ustaarabu, utu, tupilia mbaliii aisee babangu.sisi ni PESA tu haijalishi zinatoka kwenye matambiko, kuua, kupakatwa na mwanaume mwezio, kuiba, rushwa, kamali, dhuluma hiyo hatujali. la kutokea ni ajali kazini, sisi ni pesa pesa ni sisi.
mhenga huyoooo...watoto wa Jana tusome tunyamaze tuliiHuyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.
Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.
Wana biashara zao zinazoonekana kubwa tu kupitia instaUtatupa presha na hao ni akina mama vibubu?
Inawezekana pia ni namna pia ya ku recruit punda, wanatafutwa wale desperate wanapewa dili ya kubeba unga.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kumbe kuna wengine wameacha funguo kwake?
Hahaaa...kuna watu wajinga jamani kaajjj
Wana biashara zao zinazoonekana kubwa tu kupitia insta
Inawezekana pia ni namna pia ya ku recruit punda, wanatafutwa wale desperate wanapewa dili ya kubeba unga.
Hahaha kumbe behind the scene kuna magumashiNimekusoma mkuu, ni kama mama vibubu nae zake zilionekana hivyo.
uKuna kabinti kamoja kakiunga bundle kanaenda kwenye page ya resty_fish_bbq ama salometsyi ama askvin farms mara zanana. Yani ana admire watu wa design hio sana na anawish siku afanye awe kama hao.
Namwambia it took a lot of hard work and committment! Na pia mtaji...usidhani ukiwa na kamilion ka 1 unaweza yafanya yale kisa uliskia alianza na mtaji wa elfu 7,10,20 hahahah! Tulia mafanikio ya mtu yana siri kubwa sana. Dont take it lightly!
Hahaha ndio hao hao tu. Wacha tuuachie muda uhukumuu
Huyo rest food bbq naye Ana vibubu trunker na yeye.
Plus plus dreads Kama za bint Mwasha.
πππππ anakwambia anza na ulichonacho tu...shenziii kabisa sasa we tia laki yako biasharani sehemu haieleweki uone kama kuna mtu atakuja hapo!Ukiwakuta wanaongelea mafanikio sasa utasema ngoja nichukue laki na Mimi nianze kazi ya vitumbua hutoboi ng'oo
Zinakuwa geresha tu, behind the scene watu wanapush keteKweli kabisaaa biashara za mjini zina siri nyng
Dogo anamiliki coaster na bajaji kama zote hapa town! Zimekula muhuri wa 26#.Umenikumbusha Nyandu Tozi na biashara yake ya samaki, sijui alikuwaga anawatupa wapi
We si umesoma na Shamimu, kamtembelee pale Central atakupa mkanda wote. Au ukiona vipi mtafute Steve Nyerere atakupa habari zote, inasemekana ni yeye ndiye anawatafutia mapunda hapa mjini.
Haahaa bongo bahati mbaya aisee. Biashara za kino_clan nyingi zinaendeshwa kwa nguvu za ziadaUnaweza fungua saluni ya kusasa kuliko zao lakini ukaishia kufunga na hasara juu, unajiuliza nimekwama wapi? Kumbe heeehe..mjini haramu zinabeba watu.
Wewe una ka laki 5 kako unaona bora uanze mdogo mdogo tu..Aisee hela inakata unaona husogei hahah af mwenzio ana kibubu unaona anajaza noti kana kwamba ndio faida amepata kwenye business yake.Wanakuambia nlianza biashara na mtaji wa 50000/ Ona sasa Nna bilion[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha wanyooshwe tu
Ova
Hahaha mjini mambo mengi sana... Mwenzako biashara ya ubuyu eti hadi kanunua kiwanja na kujenga. Kaanze wewe uone kama hata pesa ya kununua bodaboda utaipataWewe una ka laki 5 kako unaona bora uanze mdogo mdogo tu..Aisee hela inakata unaona husogei hahah af mwenzio ana kibubu unaona anajaza noti kana kwamba ndio faida amepata kwenye business yake.
πππππππHahaha mjini mambo mengi sana... Mwenzako biashara ya ubuyu eti hadi kanunua kiwanja na kujenga. Kaanze wewe uone kama hata pesa ya kununua bodaboda utaipata
Unaishia kusema life is not fair.. Kumbe kuna vitu behind the scene.... Wadada wa mjini wanawahadaa sana wenzao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asee mi ndio maana huwa nakamua kwa uwezo tu. Hamna haja ya kujitesa kama sina kikubwa ni sina tu nikipata nainjoy daima siwezi kujitesa for fame! Wacha wanawake wahangaike na sikuhizi wanachanwa maboga for lifestyle!Unaishia kusema life is not fair.. Kumbe kuna vitu behind the scene.... Wadada wa mjini wanawahadaa sana wenzao