Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Kabila letu hili kikubwa "PESA" hizi mambo za ustaarabu, utu, tupilia mbaliii aisee babangu.sisi ni PESA tu haijalishi zinatoka kwenye matambiko, kuua, kupakatwa na mwanaume mwezio, kuiba, rushwa, kamali, dhuluma hiyo hatujali. la kutokea ni ajali kazini, sisi ni pesa pesa ni sisi.
Aise ni kweli Babaangu hata Masawe anajua.
 
Kuna kabinti kamoja kakiunga bundle kanaenda kwenye page ya resty_fish_bbq ama salometsyi ama askvin farms mara zanana. Yani ana admire watu wa design hio sana na anawish siku afanye awe kama hao.
Namwambia it took a lot of hard work and committment! Na pia mtaji...usidhani ukiwa na kamilion ka 1 unaweza yafanya yale kisa uliskia alianza na mtaji wa elfu 7,10,20 hahahah! Tulia mafanikio ya mtu yana siri kubwa sana. Dont take it lightly!
u
Huyo rest food bbq naye Ana vibubu trunker na yeye.
Plus plus dreads Kama za bint Mwasha.
 
Ukiwakuta wanaongelea mafanikio sasa utasema ngoja nichukue laki na Mimi nianze kazi ya vitumbua hutoboi ng'oo
😂😂😂😂😂 anakwambia anza na ulichonacho tu...shenziii kabisa sasa we tia laki yako biasharani sehemu haieleweki uone kama kuna mtu atakuja hapo!

Mtu anaekwambia anza tu yeye alitumiwa dollar 5000 na kakaake aliyeko marekani. Unaona biashara imesimama inavutia machoni unahisi kweli alianza na sh.20,000/=
 
Wanakuambia nlianza biashara na mtaji wa 50000/ Ona sasa Nna bilion[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha wanyooshwe tu

Ova
Wewe una ka laki 5 kako unaona bora uanze mdogo mdogo tu..Aisee hela inakata unaona husogei hahah af mwenzio ana kibubu unaona anajaza noti kana kwamba ndio faida amepata kwenye business yake.
 
Wewe una ka laki 5 kako unaona bora uanze mdogo mdogo tu..Aisee hela inakata unaona husogei hahah af mwenzio ana kibubu unaona anajaza noti kana kwamba ndio faida amepata kwenye business yake.
Hahaha mjini mambo mengi sana... Mwenzako biashara ya ubuyu eti hadi kanunua kiwanja na kujenga. Kaanze wewe uone kama hata pesa ya kununua bodaboda utaipata
 
Hahaha mjini mambo mengi sana... Mwenzako biashara ya ubuyu eti hadi kanunua kiwanja na kujenga. Kaanze wewe uone kama hata pesa ya kununua bodaboda utaipata
😂😂😂😂😂😂😂
 
Wadau, si kwamba biashara hazilipi, biashara halali inalipa, la msingi kila mtu atembee na malengo yake na kuyapigania badala ya kuishi kwa kufuatisha wengne.

Wapo wanaotoboa na mtaji mdogo na wapo wanaofeli, wqpo ambao hata ukiwapa milion 100 waanze biashara, watashindwa lakin wapo ambao wanaanza milion 5 na wanafika mbali.

Ukiwa na tamaa na kukopi naisha ya wengne lazima utatumbukia ktk shughuli haramu ambazo ndizo pesa hupatikana kirahisi lakin ni ghari ktk maisha...

Ukimwona mwenzako ametoka out na ametumia milion 1 sku moja usikurupuke, huwez jua kaipataje na inawezekanana anatoka out kwa mwaka mara moja.

Kwa hiyo tembea na ndoto zako, pigania malengo yako

Si lazima uwe tajiri kama mengi, LIVE YOUR LIFE
 
Unaishia kusema life is not fair.. Kumbe kuna vitu behind the scene.... Wadada wa mjini wanawahadaa sana wenzao
Asee mi ndio maana huwa nakamua kwa uwezo tu. Hamna haja ya kujitesa kama sina kikubwa ni sina tu nikipata nainjoy daima siwezi kujitesa for fame! Wacha wanawake wahangaike na sikuhizi wanachanwa maboga for lifestyle!
 
Back
Top Bottom