Hahaha yote hiyo ni kutaka maisha wasiyoyaweza.. Ishi kutokana na kipato chako. Hicho wadada wengi hawatakiAsee mi ndio maana huwa nakamua kwa uwezo tu. Hamna haja ya kujitesa kama sina kikubwa ni sina tu nikipata nainjoy daima siwezi kujitesa for fame! Wacha wanawake wahangaike na sikuhizi wanachanwa maboga for lifestyle!
Hili nakubali mkuu, na ndio maana nasema kamua kwa uwezo. Usifosi kujikuna usipofikia by anyhow hata kwa ku risk maisha yako.Wadau, si kwamba biashara hazilipi, biashara halali inalipa, la msingi kila mtu atembee na malengo yake na kuyapigania badala ya kuishi kwa kufuatisha wengne.
Wapo wanaotoboa na mtaji mdogo na wapo wanaofeli, wqpo ambao hata ukiwapa milion 100 waanze biashara, watashindwa lakin wapo ambao wanaanza milion 5 na wanafika mbali.
Ukiwa na tamaa na kukopi naisha ya wengne lazima utatumbukia ktk shughuli haramu ambazo ndizo pesa hupatikana kirahisi lakin ni ghari ktk maisha...
Ukimwona mwenzako ametoka out na ametumia milion 1 sku moja usikurupuke, huwez jua kaipataje na inawezekanana anatoka out kwa mwaka mara moja.
Kwa hiyo tembea na ndoto zako, pigania malengo yako
Si lazima uwe tajiri kama mengi, LIVE YOUR LIFE
Kweli kabisa kama uwezo wako ni laki usitumie million kwa kuwa flani anatumia ili ujifananishe nae. Tunakwamaga hapo tu. Zetu dagaa....kuku tamaa tu!Hahaha yote hiyo ni kutaka maisha wasiyoyaweza.. Ishi kutokana na kipato chako. Hicho wadada wengi hawataki
H
aahaaaaaa, eti kukutanulia mapaja, naona sasa mmechoka kutanuliwa mapaja na ma golddigger mmeamua nyinyi kuwatanua marinda kufidia hela ya matumizi mtoayo, shauri zenu na dhambi zenu.
Sasa nakulipia apartment USD1000, matumizi kwa mwezi USD1000, kwanini nisiwe nakula ndogo tu kufidia hasara zangu. Nikichoka nakuscrap unakuwa kama --------
nachukua mwingine anayetrend mjini naye analiwa anascrapiwa.. TAMAA ZAO NDIO ZINALETA YOTE HAYA..
We ukiacha ka salary kako mfano laki 8 kenye makato ukapiga mishe moja ikakuingizia 10M chap!Sijui kwanini huwa hawaridhiki, Ukibutua mkwanja maramoja si utulie ufanye mambo Mengine?
Duuuuuuh!!!
Unajikuta unayo mfanyia ndio anayo penda, utaishia kujitesa tu kumkomoa mwanamke ni kazi sana, haswa hao wa mjini..Sasa nakulipia apartment USD1000, matumizi kwa mwezi USD1000, kwanini nisiwe nakula ndogo tu kufidia hasara zangu. Nikichoka nakuscrap unakuwa kama --------
nachukua mwingine anayetrend mjini naye analiwa anascrapiwa.. TAMAA ZAO NDIO ZINALETA YOTE HAYA..
Aiseee!We ukiacha ka salary kako mfano laki 8 kenye makato ukapiga mishe moja ikakuingizia million 10 chap! Hivi utaacha kweli? Money is addicting na lifestyle yako itakuwa wild ghafla. Je,utaweza kuacha mkuu? Sio kama hawapendi ila kuacha ni ngumu.
Salute kwa wana walioingiza hio hela kwenye mizunguko ya kawaida. Kama dogo hamidu ana coaster na bajaji zake zinapiga kazi ina maana hela inaingia tu hata akiacha hizo mambo. Pengine kama ana maduka nayo yatamtoa freshi tu.Aiseee!
Ni tamaa tu lakini na hizo life style.
Lakini Kama unajielewa, unaacha Kabisa aisee.
Unaona Sasa wamekamatwa.
Utamu wote wa Maisha kwishney.
Inaonekana kodi ya apartments imeshuka siku hizi hapo? US$1000 maeneo gani hayo?
Inaonekana kodi ya apartments imeshuka siku hizi hapo? US$1000 maeneo gani hayo?
Unajikuta unayo mfanyia ndio anayo penda, utaishia kujitesa tu kumkomoa mwanamke ni kazi sana, haswa hao wa mjini..
Hahaha kama PABLO ESCOBAR. Jamaa alikuwa untouchable pamoja na mwenzie EL CHAPO!Enzi nipo mkoani nkajua Dogo hamidu ni MTU Wa front kumbe ye mwenyewe chawa tu Wa boya flani.
Biashara ya madawa bongo ikifanyika ujue kuna Baraka ya vigogo Wa serikali na ndio maana ikienda tofauti wanaenda okotwa kama panya vile.refer huyo Abdul eti drug lord unajificha kwenye ceiling board kama sio upuuzi ni nini si bora uache hiyo biashara haramu,unafanya biashara haramu alafu unakuwa mtumwa Wa vigogo flani serikalini.
Ukiachana na huko Mexico na Colombia,hapo south kwenyewe drug lord humsogelei kizembe,mpaka umpate ujue kuna damu zimemwagika,drug lord na serikali ni vitu viwili tofauti kabisa.drug lord ana jeshi lake kama waasi sasa ma drug lord Wa kibongo kutuchapia dada zetu na upuuzi upuuzi mwingine Wa kujiharibia maisha Tu yeye na familia yake
Hahahaha alikuwa anainjoy mtulinga wa kile kichaliiHaahaaa, mkuu mlitaka kuwakomoa kibao kimegeuka mmewapa kitu amaizing mpaka wanawashangaa mlichelewa wapi kuanza mapema, Ulimuona Amber alivyokuwa anacheza na pu..b wakati jamaa anazibua mtaro...Mungu asimamishe dunia walah..too much.
Sasa hiv shoka limepungua makali[emoji23][emoji23] so true anakuwaga na nyodo za hapa na pale .Yule ndo mwenyekiti benchi la UFUNDI ndo maana unaona hadi yule wa Sauz anampapatikia kufa.Ila hana majigambo anakula kimya kimya bila kumgasi mtu..
Mkuu penzi lao lilinoga nazi acha tu mpaka jina la KIKI likazaliwa ufupisho wa majina yao ya mwanzoHuyu Kinje naye chapa ilale na anamkosi wa kukimbiwa na wanawake?
Narcos season 3 [emoji23][emoji23][emoji23]..Narcotics ni nomaMara nyingi huo mzigo huwa unakuwa ni wa mamlaka husika ya kupambana na madawa ".... inapotokea wame kuchoka kutokana na kuhusika kwako na hiyo biashara na wamesha kuonya mara kibao kuwa uachane na hiyo biashara kwa sababu tayari umesha julikana na unaichafua nchi katika jumuia ya ki-mataifa. .
Lakini wewe hautaki kuelewa somo ... basi wana kuandalia zengwe la kukupoteza ... wana kuja kwako wakiwa na huo mzigo "... halafu wana kusingizia kuwa ni wakwako "....Au ya weza kuwa katika harakati za huyo jamaa alipishana ki-maslahi na mkuu mmoja aliye kwenye system so huyo mkuu ana amua kumtoa kafara tu
Mkuu zipo, Masaki, Mbezi beach,Mikocheni, Mbezi beach, Msasani nk.. Inategemea na quality lakini kwa 2.3mil/month unapata mpaka upanga..
40 yake nae itafika kama ya mamake mkubwa yule alwatan wa Upanga[emoji40]Ila mboni nae katiwa jamani, haa! halafu hana kitu cham maana, mwanamke yule katiwa mpaka na Etoo!? Kisa apate hela ya kwenda jumapili white sands hotel...watu bwana halafu wanataka eti nao WAOLEWE?! wanaume wana kazi ngumu.
Naskia pale karb na regency wanalipa $8000 sijui ni kweli?Inaonekana kodi ya apartments imeshuka siku hizi hapo? US$1000 maeneo gani hayo?
Mkuu umeongea fact! Na bahat mbaya wana spend as they earn so hata kuwekeza hamnaWe ukiacha ka salary kako mfano laki 8 kenye makato ukapiga mishe moja ikakuingizia 10M chap!
Hivi utaacha kweli? Unaambiwa ukipiga nyingine succesfuly una 20M.
Rapid money making is addicting na lifestyle yako lazma itakuwa wild ghafla. Je,utaweza kuacha mkuu? Sio kama hawapendi ila kuacha ni ngumu.